waziri wa ulinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena amuwakilisha Rais Samia Siku ya Afrika Uganda

    Mhe.Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) akipokea tuzo aliyozawadiwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na Pan African Women Organization (PAWO) kwa kutambua mchango wake katika Uongozi na maendeleo ya jamii tangu aingie madarakani mwezi March 2021. Waziri wa...
  2. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi Na JKT, Dkt Stergomena Tax akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi 2022/23 Bungeni

    Hotuba ya Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 Bungeni, Mei 19, 2022. HOTUBA YA DKT. STERGOMENA LAWRENCE TAX (MB), WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA...
  3. JanguKamaJangu

    Waziri wa Ulinzi Dkt. Stergomena atoa angalizo kwa wananchi wanaovamia maeneo ya Jeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ametoa wito wananchi kuacha kuvamia maeneo ya jeshi na kuweka makazi kwa kuwa ni hatari kwa usalama kwao na nchi kwa jumla. “Ili Jeshi liweze kutekeleza majukumu yake linahitaji maeneo, na maeneo hayo yanakuwa ni ya...
  4. Roving Journalist

    Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena afungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi, wajadili Mwelekeo wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23

    Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akimkaribisha Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ili afungue Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing). Waziri wa Ulinzi na...
  5. BigTall

    Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena akutana na wanajeshi wastaafu wa JWTZ

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amekutana na kuzungumza na Wanajeshi wastaafu kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kawe Jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili na kuangalia namna ya kuzitatua. Mkutano huo uliratibiwa na Mbunge...
  6. BigTall

    JWTZ: Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena kwa mara ya kwanza atembelea Shirika la Mzinga

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefanya ziara ya kutembelea Shirika la Mzinga kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Shirika. Akiwa katika ziara yake katika Shirika hilo alipata fursa ya kutembelea maeneo mbalimbali na...
  7. beth

    Bulgaria: Waziri wa Ulinzi hatarini kufutwa kazi kwa kusita kusema kinachoendelea Ukraine ni vita

    Waziri Mkuu, Kiril Petkov amesema atamfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Stefan Yanev baada ya Kiongozi huyo kusita kuelezea uvamizi wa Urusi dhidi ya #Ukraine kama vita akisisitiza "Waziri wangu wa Ulinzi hawezi kutumia neno operesheni badala ya vita". Imeelezwa, Serikali ya Mseto itafanya mkutano...
  8. Determinantor

    Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

    Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe. Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire. Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
  9. kimsboy

    Israel: Waziri wa Ulinzi Benny Gantz aiambia Israel ijiandae kwa vita dhidi ya Iran

    Benny Gantz Waziri wa ulinzi wa Israel ametoa maelekezo ya kuishambulia Iran hivi leo mara baada ya kupewa ruksa ya kuichapa Iran. Waziri huyo wa ulinzi ameshalielekeza jeshi la anga jinsi ya kuipiga Iran bila kukosea target. Pia majuzi Iran imesambaza wanajeshi wake mashariki ya kati kwa...
  10. Pdidy

    Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

    Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko...
  11. Father of All

    Uteuzi wa Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na JKT ni mpango au njama za CCM?

    JUMANNE, AGOSTI 24, 2021 MAKALA Rais Samia tuteulie Waziri wa Ulinzi mwanamama Na Nkwazi Mhango KUFUATIA kifo cha aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa, wizara hiyo imebaki na pengo ambalo lazima lizibwe. Kwanza naomba nitumie fursa hii kutoa salamu za...
  12. The Assassin

    Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
  13. B

    Sheria inataka Waziri wa Ulinzi ateuliwe baada ya muda gani, au hata asipokuwepo sawa tu?

    Je, Kuna sheria inayomtaka Rais kuteua Waziri wa Ulinzi baada ya muda fulani pale anapotenguliwa, kuacha uwaziri au kufariki? Kama hakuna sheria je Kuna ulazima wa kuwa na Waziri wa Ulinzi? Na je Nini kilimsukuma JPM kuteua Waziri wa sheria Mara tu Mzee Maiga alipofariki?
  14. Kasomi

    Mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi

    Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke. Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili. Soma TANZIA - Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia
  15. Ileje

    Baada ya kifo cha Waziri wa Ulinzi, ni fursa sasa ya kumtimua Mwigulu

    Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania. Ni wazi Rais Samia...
  16. Nyani Ngabu

    Wasifu wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi

    Other name? Siyo ‘Middle name’? Sex? Marital Status? Tribe? Sina hakika kama yeye mwenye hii resume/ CV ndo aliyeiandika. Mwandishi awe yeye au si yeye, ni nani aliyewafundisha watu jinsi ya kuandika resumé . Taarifa za hali yako ya ndoa na kabila lako zinahusu nini hadi uziweke kwenye...
  17. USSR

    Nani kuziba pengo la Elias Kwandikwa?

    Kifo kimeonesha mwisho wa Elias Kwandikwa mbunge wa Ushetu CCM na Kama ilivyo kwa nafasi za kuteuliwa mh Rais atatakiwa kumteuwa Waziri mwingine kuziba nafasi yake. Sifa za mtu kuteuliwa kushika nafasi ya Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa hupaswa kuwa zifuatazo. 1. Mtu mwenye hofu ya...
  18. Prisonerx

    TANZIA Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia

    Mbunge wa Ushetu na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa amefariki dunia leo hii wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. CURRICULUM VITAE – (CV) SURNAME: KWANDIKWA FIRST NAME: ELIAS OTHER NAME: JOHN SEX: MALE MARITAK STATUS: MARRIED DATE OF BIRTH: 1st...
  19. The Assassin

    Utapeli: Jamaa amtapeli Waziri wa Ulinzi, ajitambulisha kama Katibu Mkuu wa CCM

    Mtu mmoja aliejitambulisha kama Wilfred Masawe mkazi wa kwa mtoni kwa Azizi Ali wilaya ya Temeke, Dar es Salaam amekamatwa kwa kujifanya Katibu Mkuu wa CCM na kumpigia simu Waziri wa Ulinzi na kumtapeli. Jamaa anasema alitafuta namba ya Waziri wa Ulinzi, akampigia na kujitambulisha kama Chogolo...
Back
Top Bottom