waziri wa ulinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

    Nyuki wa Mama mpo? Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa...
  2. U

    UTEUZI Jenerali Aziz ateuliwa kuwa Waziri wa ulinzi Iran, rubani wa ndege za kijeshi F-14 Tomcat, aliongoza kikosi cha anga miaka 4

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo. Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne...
  3. U

    Netanyahu kuwatumbua Waziri wa Ulinzi, Mkuu wa Majeshi na Mkuu wa Kikosi Maalumu cha Ujasusi jeshini cha Shin Bet

    Wadau hamjamboni nyote? Ni suala la muda tu kabla ya watajwa hapo juu kutumbuliwa Waziri wa ulinzi yeye anasubiriwa arejee kutokea ziarani Marekani nchini Marekani. Ilikuwa atumbuliwe mapema lakini cha Ismael haniyeh kilichelewesha tangazo hilo Taarifa kamili hapo chini: Mungu ibariki Israel...
  4. Tlaatlaah

    Haingekuwa rahisi kwa IGP Kenya kuendelea kuhudumu kwenye nafasi yake huku Waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa ulinzi wamefutwa kazi

    Ukimya wake tangu maandamano ya Gen Z yalivyoanza uliibua maswali na mashaka mengi juu ya uwezo wake, weledi wake yeye na wa jeshi la polisi kwa ujumla, na kwa yeye kuendelea kuhudumu kwenye nafasi alikua nayo jeshini. Polisi kuwapiga risasi hadi kufa waandamanaji wa Gen Z, kulitia dosari na...
  5. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi na JKT aongoza waombolezaji kumuaga Brigedia Jenerali Chakila

    WAZIRI WA ULINZI NA JKT AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA BRIGEDIA JENERALI CHAKILA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 26 Juni 2024 ameungana na kuongoza Waombolezaji Katika Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi Msalato, jijini Dodoma, kuaga...
  6. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa mgeni rasmi mahafali ya Chuo cha Ukamanda na unadhimu Duluti

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) Juni 15, 2024 amefunga rasmi mafunzo ya mwaka mmoja ya Ukamanda na Unadhimu katika Mahafali ya 38 ya Chuo cha Ukamanda na Unadhimu Tanzania zilizofanyika katika Viwanja vya chuo hicho, Duluti Arusha. Mahafali hayo ambayo...
  7. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi akiwa kwenye ziara nchini Ethiopia

    WAZIRI WA ULINZI ZIARANI NCHINI ETHIOPIA Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 04 Juni, 2024 amefanya mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Ethiopia Mheshimiwa Injinia Ayisa Mohamed Mussa katika Ofisi za Wizara ya Ulinzi nchini Ethiopia...
  8. C

    RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

    Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
  9. BARD AI

    Waziri wa Ulinzi: JWTZ si sehemu ya Siasa, ni taasisi mahsusi kwa kazi mahsusi

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si Kisiasa Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 amesema, maeneo ya Jeshi ni maalum kwa...
  10. Ojuolegbha

    Waziri wa ulinzi atoa pole vifo na majeruhi ya wanajeshi wa tanzania, drc

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Stergomena Tax (Mb), atoa salamu za pole Kufuatia Vifo na Majeruhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Walioko DRC.
  11. PureView zeiss

    Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

    Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi... Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo...
  12. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  13. Kingsmann

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanyau teuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi kama ifuatavyo: i) Amemteua Mhe. Deogratius John Ndejembi (Mb.) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)...
  14. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi aongoza waombolezaji kuaga mwili wa Meja Jenerali Gimonge (Mstaafu), Machi 13, 2024

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Machi 13, 2024 ameongoza waombolezaji kuaga Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Christopher Keraryo Gimonge (Mstaafu) katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo Jijini Dar es Salaam. Akitoa salamu za rambirambi Waziri...
  15. BARD AI

    Waziri wa Ulinzi wa Liberia ajiuzulu baada ya Wake wa Wanajeshi kuandamana kushinikiza nyongeza ya Posho

    #LIBERIA: Waziri wa Ulinzi, Prince Charles Johnson III amejiuzulu nafasi yake baada ya Wake wa Maafisa wa Jeshi kuandamana kwa malalamiko ya Waume zao kutoongezewa Mshahara huku wakiishi maisha duni katika kambi za Kijeshi. Wanawake hao waliandamana na kuweka Vizuizi kwenye Barabara zinazoingia...
  16. M

    Rais Biden, Waziri wa Ulinzi na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani washitakiwa katika mahakama huko Marekani kwa kusaidia uzeshwaji wa Genocide Gaza

    Rais Joe Biden awa rais wa kwanza katika historia ya Marekani kufunguliwa kesi ya uhusika wa mauaji ya Kimbari. Hii inatokana na msaada wa silaha na kiintelijensia na kushindwa kwake kuchukua hatua stahiki zilizomo katika uwezo wake kuzuia mauaji ya kimbari huko Gaza. Kesi hiyo imefunguliwa na...
  17. B

    Maswali megine juu ya afya ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani

    09 January 2024 Washington DC Maswali Mengi Juu Ya Afya ya Waziri Wa Ulinzi wa Marekani https://m.youtube.com/watch?v=xHZWbI5w3NY Waziri wa Ulinzi jenerali Lloyd Austin aligunduliwa kuwa na saratani ya tezi dume mnamo Desemba 2023 na alipata matatizo baada ya upasuaji mdogo aliofanyiwa ili...
  18. Stephano Mgendanyi

    Balozi wa India Nchini Tanzania amuaga rasmi Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax

    Balozi wa India Nchini Tanzania Amuaga Rasmi Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dkt. Stergomena Tax Tarehe 03 Januari, 2024 Balozi wa India nchini Tanzania, Mheshimiwa Binaya Srikanta pradhan amemtembelea Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa Dkt.Stergomena Lawrence Tax (Mb), ofisi kwake Upanga...
  19. Ritz

    Waziri wa Ulinzi wa Israel kachanganyikiwa asema watu wote wanaounga mkono Hamas wafe wote

    Wanaukumbi. WAZIRI WA ULINZI WA ISRAELI ANASEMA WATU WOTE WANAOUNGA MKONO HAMAS LAZIM WAFE WOTE. Alisema wafuasi wote wa Hamas wa Palestina duniani "wanapaswa kufa" hata wale wasio na silaha "waliovaa suti" Baada ya kipigo huko Gaza kila kiongozi wa Israel anasema lake kila mmoja...
  20. Ritz

    Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wasaidie kupatikana kwa Mateka

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka. “I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the...
Back
Top Bottom