Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
Kwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana.
Yaani Raia wa Tanzania anatekwa na watu wanaojitambulisha kama police, tena mchana wa jua kali mbele ya abiria zaidi ya 60 anauliwa
Kazi yako ni kulinda Raia na mali zao...
Serikali ya Tanzania imeweka wazi sababu ya kumfukuza nchini Kiongozi na Mchungaji wa Kanisa la Christian Life maarufu ‘Kanisa la Kiboko ya Wachawi’, Dominique Dibwe kwa kukiuka misingi na mafundisho ya Vitabu Vitakatifu sambamba na kutoa wito kwa wahubiri wengine kufuata mafundisho ya Vitabu...
Salaam, shalom!!
Mh Bashe amegoma kujiuzulu Kwa hiari, ana tuhuma mahakamani ambazo anatuhumiwa Yeye kama waziri,
Na Kwakuwa, waziri wa KILIMO ni mtumishi wa umma, kuacha ofisi mara Kwa mara Ili kuhudhuria au kushughulikia mashauri yaliyoko mahakamani akiwa na mawakili wa Serikali...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Septemba 6, 2024 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na balozi mpya wa Uingereza nchini. Marianne Young.
Lengo la mazungumzo hayo likiwa ni kujitambulisha kwa balozi huyo pamoja na kujadili masuala ya kipaumbele ya ushirikiano...
06 September 2024
SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024
https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo...
WAZIRI BALOZI DKT. PINDI CHANA ATETA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Benki ya Dunia ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete katika Ofisi za Wizara ya...
Utekaji ni janga kubwa linaloikumba taifa kwa sasa. Ajabu viongozi hawa waandamizi wazunguka na kuhutubia bila kugusia hata kidogo. Je huu ni dalili kuwa hawaguswi na mateso wanayopitia ndugu na jamaa za waliotekwa?
Kabla ya wimbi hili kuibuka, Bashite alitoweka kipindi kirefu bila kujulikana...
NAIBU WAZIRI KATIMBA: SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA FEDHA YA KUKARABATI BARABARA KOROFI NCHINI
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kutenga fedha ya ukarabati wa barabara korofi nchini zilizoathiriwa na Mvua za El - Nino...
ZIARA YA MAFUNZO BUNGENI YA WAFANYABIASHARA WA NGARA YAWA NEEMA KWA BIASHARA ZA KANDA YA ZIWA.
04/09/2024, BUNGENI DODOMA
Baadhi ya wafanyabiashara wapatao 60 kutoka Jimbo la Ngara wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kujifunza uendeshaji wa shughuri za Bunge, kuongea na...
Kiukweli nianze kwa kusema atukuzwe Mungu wa Mbinguni kwa kutupa neema ya siku ya leo. Moja kwa moja nikienda kwenye hoja napenda kuweka hoja mezani kama kichwa cha habari kinavyosema.
Kwa elimu yangu najua sasa tupo katika uchumi huru, unaotoa nafasi ya ushindani kati ya makapuni. Asilimia 99%...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi ) Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka ,Dar es Salaam (DART) kutoa fursa kwa watanzania wenye uwezo kuwekeza katika mradi huo ili kupunguza changamoto na kero zinazolalamikiwa hasa...
Raisi Paul Kagame leo mchana ameridhia kupandishwa vyeo vya ngazi ya brigedia jenerali na cheo cha kanali kwa maofisa kadhaa wa jeshi la Rwanda.
Hatua hii yafuatia hatua ya raisi Kagame kumteua waziri mpya wa ulinzi Juvenal Marizamunda, mkuu mpya wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Mubarak Muganga...
Nimeona taarifa ya kutuambuliwa DC wa Longido kwa kauli kwamba uchaguzi wa 2020 ulifanywa na dola. Lakini pia Waziri Mchengelwa ametumia kauli hiyo hiyo wakati akizungumza na wananchi pamoja na wana CCM?
Je, waziri atatumbuliwa? Nini madhara na faida ya tumbua tumbua? Waliotumbuliwa mishahara...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa na kuwa tayari kwa michuano ya AFCON 2027.
Akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya uwanja huo leo Agosti 29, 2024 Dkt...
ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA
Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA).
Madhumuni ya kikao kile ilikuwa ni kujadiliana kwa pamoja namna nzuri ya kuifikia sekta ya madini kwa...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watoe taarifa kwa mamlaka husika pindi wanapokuta kuna bidhaa zisizo rasmi zimeagizwa kutoka nje, zinazalishwa au zinasambazwa nchini.
Ametoa wito huo Bungeni leo (Alhamisi, Agosti 29, 2024) wakati akijibu swali la Mbunge wa Hai, Saasisha Mafue...
ESTHER MALLEKO AMUULIZA SWALI WAZIRI MKUU, WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO KWA HALMASHAURI ZOTE NCHINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko leo tarehe 29 Agosti, 2024 amemuuliza swali bungeni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ambaye...
Taasisi ya Elimu TET au maarufu TIE, ni chombo cha serikali kilichopewa jukumu la kukuza na kuendeleza Elimu kwa upande wa UKUZAJI MITAALA na UANDAAJI WA MAUDHUI YA MITAALA.
Jambo la kusikitisha saana , kumekuwa na madudu mengi saana katika taasisi hii muhimu katika Elimu yetu. Ni jukumu kuu la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.