Habari za weekend wanajamvi,
Nina tegemea kupata 4M ndani ya siku kadhaa zijazo kusema kweli natamani nifanyie jambo ili izalishe imebidi niombe mawazo kwenu wadau.
Matumizi ya kawaida ninayo lakini nimeona kuiwekeza ni wazo zuri zaidi.
Je , ama niwewe ungefanyia nini?
Nawasilisha.
Zaidi...
Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote.
Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote nilipokwama ni kugharamia technology yake maana watu wa IT wamenipigia gharama inafika million 8 mpaka 10...
Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote.
Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote nilipokwama ni kugharamia technology yake maana watu wa IT wamenipigia gharama inafika million 8 mpaka 10...
Niwaombe watanzania na wote wenye mapenzi mema na taifa letu kutoa mawazo yao ambayo yakitekelezwa au kuboreshwa yatasaidia:
Kuinua uchumi.
Kutengeneza ajira mpya.
Kukuza biashara.
Kuanzisha bishara.
Kuvutia wawekezaji.
Kuongeza ukusanyaji wa kodi/mapato.
Kuboresha miundombinu.
Mawazo sio...
Ni wakati sasa kwa Chadema kurudisha imani kwa wananchi ili iwe na nguvu kama ilivyokuwa wakati wa Dk Slaa.
Inaonekana wakati wa awamu ya tano walikuwa hawapambani na CCM bali na mtu mmoja ambae kwa sababu alikuwa na ushawishi mkubwa kisiasa aliwamaliza kabisa kisiasa. Huyo ni hayati JPM, sasa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru.
Mama endelea kutumia hii salamu kila mara.
Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
Wadau mambo vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono nitashukuru.
Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo za...
Wadau mambo Vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono ntashukuru.
Ok. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo...
Habari wanajukwaa.
Ee Bwana ee, nimekuja kwenu wana jukwaa, kuomba tusaidiane mawazo kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Baada ya kumaliza chuo 2019, Mungu alinifungulia mlango nikapata kazi ya miaka miwili na NGO x hapa Nchini, kutokana na msoto uliopo kitaa niliona ni vyema nijibane niweze...
Kwanza tupeane pole ya msiba,KWA maana marehem alikua kiongonzi wetu wote kama Rais, that's jana nimeshinda kwenye tv mpaka macho yanauma ili kushudia safari yake ya mwisho,hivyo ni wazi mh jpm(Rip) Chama chake ilikua posta kwake ila barua ilikua ni ya wazi KWA watanzania wote.
Mada husika...
Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia.
Wananchi hao wamesema uamuzi wa waziri wa ardhi wa kuwataka kumlipa mzungu tsh 6400 kwa kila mita moja ya mraba kufidia maeneo yao ya...
Naweza kukosea kichwa cha habari mniwie radhi.
Nina wazo la kuwarudisha wakazi wa mjini kwenye vyakula vya asili vilivyowapa bibi na babu nguvu na afya njema. Corona imekuwa alarm ya kujitafakari kuhusu kula kwa afya.
Watu wengi mjini hula chakula kisafi na si chakula kizuri, kwa tafsiri ya...
Habari wanajamii wenzangu.
Je, ukipata hela ni wazo lipi bora kulifanya kati ya mawazo yafuatayo?
1. Kununua kiwanja au viwanja kwaajili ya uwekezaji wa baadaye.
2. Kufanya biashara ya mazao.
3. Kuhifadhi pesa fixed account au tresuary bond na bills.
4. Kununua vyombo vya usafirishaji Kama...
Habari, wapendwa. Uandishi wa riwaya na simulizi ni kazi ngumu na nyepesi kwa wakati mmoja! Ngumu kama mwandishi anatazamwaa na rundo la karatasi nyeupe huku akiwa na kalamu bila uhakika anaanzia wapi. Uandishi pia ni mwepesi kama mwandishi ana 'sense' ya angalau pointi A, B na C kabla...
Kuchagua wazo la biashara ni jambo la awali na muhimu kulifanya kabla ya kuingia kwenye biashara husika. Hatua hii inahitaji umakini wa hali ya juu kwakua ukikosea hapa kitakachofuata ni kupoteza muda, nishati pamoja na pesa.
Kabla ya kuchagua wazo la biashara itakubidi kuzingatia mambo...
Naomba nitoe ushauri kuhusu vitambulisho vya wamachinga.
Kwa kifupi Watanzania wengi atupendi kulipa kodi sasa inahitajika elimu na kueleweshwa na kupewa mazingira rafiki kulipa kodi.
Niende kwenye main point yaani wafanyabiashara wadogo wameongezeka kwa kiasi kikubwa mno kila kona wamepata...
Kenya imejiunga rasmi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kama Mwanachama asiye wa kudumu kwa kipindi cha miaka miwili ijayo, kuanzia Januari Mosi, nafasi inayotarajiwa kuwa muhimu kwa mataifa ya Afrika.
Taarifa: ITV Tanzania
Leo wakati nawaza kuhusu vipindi kadhaa vya television Tz nikajikuta napata aidia ya kipindi kizuri sana ambacho naamini kikisimamiwa vizuri basi channel husika itatazamwa sana.
Lakini nataka hili wazo niliuze kwa mmiliki wa TV, channel au media yoyote ambayo inarusha Maudhui kwa Kiswahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.