Naona teknolojia inataka kuipiga kumbo sheria yetu iliyokuwa inadhibiti traditional media-magazeti-tv-redio. Hizi ilikuwa rahisi, unapiga pini tu wote kimya.
Lakini sasa teknolojia inataka kuleta mchezo wa paka na panya,tunakaba huku, teknolojia inaleta hiki,unakaba hiki, inaleta hiki, ila...
TAFAKURI …. AKILI SI YA KUHIFADHI WAZO, BALI YA KUBUNI WAZO.
Unatoka kazini ukiwa na mambo mengi kichwani . Ghafla unakumbuka unatakiwa kupitia kitu muhimu nyumbani . lakini unasema nikifika tu nyumbani nitamtuma mtoto akanunue .
Lakini unapofika nyumbani unakumbana na vitu vingine tena vingi...
Watanzania wenzangu poleni kwa msiba wa Mzee Mkapa. Tunapoendelea kuijenga Dodoma Kama Makao Makuu, ule mpango wa kuwa na eneo la Makaburi ya viongozi na Mashujaa wa Kitaifa ulifikia wapi? Sidhani Kama mfumo wa kuwazika Viongozi/Mashujaa kila mtu kijijini ni endelevu kwani watasahaulika na...
Ningekuwa mwanasiasa au nipo kwenye kiwango cha kusikilizwa na Serikali bila kupingwa kwa asilimia kubwa, basi ningeishauri Serikali kila kipindi cha Sensa kuwe na taratibu za upimaji COVID-19 na maradhi mengine makubwa ya kuambukiza.
Kwenu great thinkers, hapa Naitaji michango ya mawazo yenu namna ambavyo tunaweza kulitumia wazo la mchina katika shughuri zetu.
Mchina ametumia fursa ya kuwasambazia Bonanza wahitaji halafu yeye anakuja kuchukua faida, frem ulipie wewe, umeme ulipie na mlinzi juu yako, Sasa huoni Kama...
Ndugu wana JamiiForum,
Leo waziri wa maliasli na Utalii, Mh Dkt Kigwangala, ameshirikisha umma kupitia anuani yake ya twitter mkakati wa kuvutia watalii kutoka nchi za kiafrika (a strategy for regional tourism). Kwa kifupi, mkakati huu umelenga kuzifikia na kuzivutia nchi zenye mapato makubwa...
Asalam aleykum wapendwa wana siasa na wajenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Hongereni kwa Waislam tunaoendelea na ibada yetu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huku tukikabiliwa na janga kubwa la Mlipuko wa Covid-19. In sha allah mwenyezi Mungu atatufanyie wepesi katika hili.
Hoja yangu ni fupi...
Wazo la RC wa Dar kuwasihi wenye nyumba kupunguza kodi hasa wakati huu wa janga la Korona siyo baya kutokana na hali mbaya ya uchumi kwa wengi kwa kuwa biashara nyingi zimesimama au kufa, ofisi na taasisi nyingi zinashindwa kulipa wafanyakazi wao. Kwa sasa wenye uhakika wa kipato ni watumishi wa...
Habari!
Nimesikitika sana kusikia habari ya mwanaJF mwenzetu kujinyonga kisa ugumu wa maisha.
Tafsiri ya ugumu wa maisha hutofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kulingana na background ya mtu.
Mwingine akisema ninapitia maisha magumu anamaanisha hata kula yake ni ya kimuujiza, mwingine...
NATAFUTA MFADHILI AU MUWEZESHAJI, MTU BINAFSI AU TAASISI
Habari zenu wakubwa kwa wadogo.
Naitwa Omar. Mimi ni mjasiriamali mdogo najishughulisha na perfume napatikana Mwanza. Malengo yangu ni kukuza biashara yangu na kuifanya biashara katika hadhi inayowapendeza wengi.
Nahitaji mtu binafsi...
Hii ni kali wakazi wa Kilimahewa huko Wazo Tegeta wamemshambulia kwa kipigo Mwenyekiti wao wa mtaa ambaye alilazimika kukimbilia karandinga ya polisi.
Mwenyekiti huyo anatuhumiwa kubadili mipaka ya viwanja vya wakazi hao kinyemela na baadaye kuwadai rushwa.
Wakazi wamedai hawamtaki mwenyekiti...
Nimeona Tanzania inaingiza kama Watalii milioni 1.5, ili kupata hizo milioni 500 tulizonyimwa tuzichukuwe ktk kwa Watalii, ni Dola ~USD 330/Mtalii tunaipata hiyo milioni 500.
Ni swala la kutafuta vitu 30 anavyofanya Mtalii hapa kwetu na kumuongezea Dola 10, kwa Muzungu wa first World country...
TOPTRUST HELP DESC (A standby force) “ 0693354479 “
Baada ya kupitia nyuzi nyingi humu nilipata wazo!
nikachukua hatua ya kukusanya taarifa zote muhimu za jiji la DAR ES SALAAM kuhusu huduma wanazohitaji watu ili kurahisisha maisha yao na kuokoa muda.
sasa naweza kukusaidia
Kila eneo...
Watu wengi tumekuwa tukilalamika kuhusu kukosa mitaji ya kufanya biashara na kutuwezesha kujiajiri. Ukosefu wa mitaji umekuwa ni kilio cha vijana, wazee, walemavu, wakina mama na kila mtu. Hata mimi ni mmoja wa hao ambao nilifikiri kwamba nahitaji mtaji ili niweze kutimiza malengo yangu.
Katika...
Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.
Mfano mashindano ya Moira...
Binafsi sina tatizo la kinadharia kwa CHADEMA kujitoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na hata sitakuwa na shida ya msingi hata wakijitoa Uchaguzi Mkuu. Tangu zamani nilikuwa naamini kuwa kama unaona hutendewi haki ni lazima uoneshe kuwa kweli unaamini hakuna haki. Baadhi ya matatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.