Mawazo mengine yanaudhi kabisa; yanaumiza, yanachekesha, yanasikitisha na wakati mwingine yanatia huruma - vyote kwa wakati mmoja. Tulizoea sana mtu akipata uteuzi tunasema "kaula". Ukisikia mtu kateuliwa wako watu nyuma wanaanza kushangilia kuwa angalau "mtu wao" kaula kwamba, hivi vyeo...