Wakuu kwema?
Niende kwenye mada chap chap...
Mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi,kazi yangu inakula mda wangu wote,sipati nafasi ya kusimamia ama kuendesha biashara zingine.
Ila nina hobby ya kupiga picha ni kitu napenda toka utotoni,nikaona ili kuhiendeleza nikasoma mitandaoni na hasa...
Hili ni wazo simple, kwa mtu simple.
Kuna wale watu ambao tayari mjini wanatafuta hela ya kula tu na kulipa kodi, basi hili ni wazo poa kwa ajili yako.
Kwakuwa ndiyo unaanza, Nunua maharage 1kg, mchele 3kg na walau robo ya nyama. Nenda asubuhi sana stendi, pika chakula chako, mpaka saa...
Wasalamu! nawasalimu wote kwa jina la tozo ziendelee.
Tunaishukuru serikali kwa kusikia ombi letu la kuwapa ajira ya mda vijana wasio na ajira kwenye zoezi la sensa ya watu angalau vijana wachache waliobahatika kupata nafasi hio wataambulia kitu baada ya zoezi kuisha.
Si chini ya sh milioni...
Jamani ndugu zangu wana JF, ninalo wazo kabambe la Biashara. Mazingira yote ya biashara nimeshajiridhisha nayo.
Na wazo langu haliko na mambo mengi, lakini kila kitu kipo kwa uhakika. Nipo Dar es salaam
Natafuta mtu tunayeweza kuingia naye ubia katika biashara hii itakayogharimu Tsh 500,000...
JINSI YA KUPATA WAZO LA BIDHAA YA KUUZA MTANDAONI NDANI YA MASAA 24 TU
Najua uwa unasikia story za watu kupiga pesa mtandaoni yaani wanatumia smartphone au PC na internet kupiga mpunga na haujawahi kuwa mmoja kati yao na unatamani nawe upate bidhaa itakayokuwezesha kupiga pesa mtandaoni na...
Moja ya vitu vinavyokera sana nchi hii ni urasimu ulioko katika maofisi, idara, vitengo na taasisi mbalimbali za serikali.,urasimu unaopaswa kuwekewa mkakati maalumu kudhibiti.
Urasimu huu sio kero tu watanzania, bali hata kwa wageni wakiwemo wawekezaji wanaotafuta vibali au huduma nyingine...
Wapo watu wanajivunia kuwa na mawazo ya biashara ila hawana mitaji; ukiomba wakushirikishe wazo lao, wanakataa wakihisi unaweza kuchukua wazo lao na kulifanyia kazi.
Unakuta miaka nenda rudi, mpaka anakuwa mzee bado yuko na wazo lake tu, na hataki kushirikisha watu ili lifanyiwe utekelezaji...
Tutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/=
Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji; atakayeweza kupambanua vizuri, pamoja na kupangua hoja; aweze kuajiriwa na mtu anayeweza kutoa mtaji...
Wana JF
Kuna wakati fulani mtu alikuja na wazo la kujenga mabwawa kila wilaya lakini kiuhalisia kuna wilaya kubwa sana zinakaribia kuitwa mkoa kutokana na ukubwa wa eneo lakini wakazi wachache.
Naona hili linaweza kufeli na serikali isipate kinachokusudiwa. Ili kuwa na kilimo chenye tija...
Zipo tuhuma za ufisadi mkubwa wa kuuza VITALU 48 vya kujenga vibanda vya biashara kwenye eneo la CCM Kata ya Wazo lililopo jirani magereji Tegeta Wilayani Kinondoni.
Wanaotuhumiwa kushirikiana kufanya ufisadi huo ni pamoja na Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Bwana James Mgego na viongozi wa...
Habari nimepata wazo la uwekezaji.
Nimewaza hivi, nikiwa na eneo kubwa lililokandokando ya makazi ya watu halafu nikatafuta wataalamu wa ujenzi wakafanya usanifu wa shimo kubwa sana la kutunzia uchafu wa chooni .
Kitu cha pili natakiwa kununua gari la kunyonya uchafu kwenye septic tank...
Hii idea imenikaa kwa muda sasa na baada ya kufuatilia uzi wa Ni machine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara? nimeipa tafakuri zaidi.
Lakini sio hilo tu fikiria hata masuala ya vita yanayoendelea sasa hivi, kama Russia ingekuwa sio self sufficient country isingewezekana...
Habarini wapendwa, Namshukuru Mungu kwenye hii shughuli yetu ya kubeti nimebahatika kula million 5 naomba mnisaidie kunipa mawazo ya biashara niifanyie biashara gani ya kunipa faida chapchap mimi nipo Chato, Geita
Upinzani nchi hii umekomaa na kuota mizizi kiasi kwamba ni vigumu kufuta upinzani hapa nchini na ndio maana Mwendazake alifeli vibaya katika adhma yake ya kutaka kuua upinzani(kafa yeye kaacha upinzani ukiwa imara kuliko jana).
Kwasababu CCM hawako tayari na pia hawawezi kushindana na upinzani...
Nina wazo ila sijajua kuhusu watu wa mazingira kwao wataonaje hili jambo ila tu nawaza kile ambapo manispaa ya kigamboni mji mwema wanapogombana na wananchi kila mwaka na kupelekea kujua watu kwanini manispaa wasianzishe dampo ambapo watapata pesa na pia lile eneo litafukiwa na kupata eneo kama...
Kwenye maadhimisho ya Mei Mosi nilisikia kitu cha ajabu sana kwenye risala ambacho naamini Muheshimiwa Rais hakukisikia vizuri kwani hakukitolea maoni yake.
Hivi inaingia akilini eti mfanyakazi wa shirika binafsi (Private) aliyekuwa anachangia michango yake kikamilifu huko NHIF akistaafu...
Habari za wakati huu wadau;
Changamoto:
Leo naona niwashirikishe watu FURSA kidogo.Fursa hii sio mpya ila ni ya kipekee.Tunajua kwamba siku hizi mtandaoni kuna mambo mengi sana ambayo mtu anaweza kujifunza na akawa competent an kuingiza pesa.Hata hivyo mambo haya mengi hayajapangiliwa katika...
Jambo ambalo mabeberu huwa wanapigia kelele kwa muda mrefu ni kushirikiana na mataifa yenye tawala zenye demokrasia.
Mkiwa kwao mabeberu tayari mmetoa ujumbe kuwa kumbe demokrasia yetu hapa nchini ina mapungufu makubwa. Kwa hiyo tunahitaji katiba mpya ili kuondoa hayo mapungufu.
Sasa kama...
Habarin wana JF,
Leo nmejaribu kuingiza particulars zangu nikakumbana na changamoto nikiingiza namba ya form4. Yaani wananiambia Necta particulars doesn't match.
Sjiu shida ni nini maana NIDa waliniandika Johni na vyeti vyangu jina ni John. Au utofauti wa herufi I walokosea NIDA ndo na Necta...
Habari za wakati huu wakuu;
Leo nataka niwe BRIEF maana katika maoni ya wadau niliyopata ni kwamba nipunguze urefu wa maandiko yangu kwa sababu baadhi ya watu wana processing power ndogo na wakifika mwisho wa andiko wanakuwa wamesahau ujumbe wa msingi.SO nitakuwa BRIEF
WAZO LINAHUSU NINI?
Wazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.