Ahlan wasahlan wanajamvi,
Wazima ninyi? Hopefully wote wazima.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Honestly speaking, Rayvanny ndiyo almasi pekee iliyobakia WCB, kivipi?
Twende kazi...
1. Rayvanny ni msanii ambaye ni 'complete package', ana uwezo wa kuandika kuliko wasanii wote...