wema

Wema Bank Plc, commonly known as Wema Bank, is a Nigerian commercial bank. It is licensed by the Central Bank of Nigeria; the regulator of the nation's banking sector. As of 2019, Wema bank operates the largest digital banking system in Nigeria, ALAT By Wema, which is fully in use in all of the nation's thirty seven states and territory. Wema Bank is the fastest growing commercial bank in Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. sanalii

    Usimfanyie wema wa kuzidi mwanamke aliye - single au mbali na mpenzi wake

    Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako. Mwanzoni ilikua najua labda ni kwa walio single tu ila sasa hadi mke wa mtu yaani unamsaidia jambo kwa wema then yeye...
  2. Lady Whistledown

    Wema Sepetu azua mjadala, adai anapenda kupigwa na mwenza wake

    Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na mwanaume fulani ila hali ikabadilika na kiapo kikayeyuka akaanza kuchezea vitasa vya uhali gani mahabuba.👇 “Nakumbuka zamani wakati naanza mapenzi na...
  3. P

    Rais Hakainde Hichilema amuapisha askari aliyemtendea wema akiwa gerezani kuwa naibu kamishna wa Magereza

    Njia ya Mungu ni fumbo RAIS HAKAINDE HICHILEMA AMUAPISHA ASKARI ALIYEMTENDEA WEMA AKIWA GEREZANI KUWA NAIBU KAMISHNA WA MAGEREZA. KUNA SOMO LA KUJIFUNZA Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ameteua Bwana Kuyomba Bwalya kuwa Naibu Kamishna Jenerali wa magereza "Zambia Correction Service"...
  4. Gordian Anduru

    Tenda wema uende zako

    Wafanyakazi wa posta walishangazwa kuona barua yenye anwani inayosomeka “Kwenda kwa Mungu, Baba SLP, Mbinguni”. Baada ya kujiuliza pa kuipeleka wakaamua kuifungua na kuisoma, ilikuwa imeandikwa “ Kwako Mungu Baba Mimi ni mjane kikongwe kuna vibaka wameniibia shilingi laki moja, mwezi huu sina...
  5. Hismastersvoice

    TCRA imewashindwa matapeli wa mitandao imewageukia raia wema!

    Tarehe 06/11/2019 nilisajiri laini yangu ya AIRTEL na kupewa namba ya usajiri, tarehe 19/07/2021 laini yangu ya AIRTEL ikafungwa kwa madai ya kutosajiriwa! Nikalazimika kwenda kwenye ofisi za AIRTEL na nilichoambiwa huko ni maluweluwe eti siku mbili zilizopita nilisajiri laini kwa alama za...
  6. safuher

    SoC01 Njia sahihi za kulea watoto ili waje kuwa viongozi wema na wenye kutii sheria za nchi

    Habari yako ndugu msomaji. Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na viongozi ambao hawana maadili na wala hawafuati sheria mbalimbali za nchi vile zinavyotaka. Jambo hili sio tatizo dogo kama tunavyolifikiria,na wala sio mazao ya malezi ya mwaka mmoja au...
  7. Muhabeshi

    Usipande mbegu ya UBAYA ukategemea zao la WEMA

    Hii inatuhusu vijana wengi tulio kwenye ndoa na tunaotarajia. Wengi wetu tumekuwa wa kwanza kupoteza heshima ama kutoziheshimu NDOA zetu pia ata na wenza wetu. Hivi ni yupi kati yetu anayeweza kustahamili Ubaya uleule tunaowafanyia kisha kufanyiwa wewe. Kijana mwenzangu JAMBO...
  8. Infantry Soldier

    Polisi kanda ya Dar kuanza kutoa zawadi (Reward For Justice) kwa raia wema wanaofichua uhalifu

    Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums. JUNE 23, 2021: Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya DSM, ACP Muliro Jumanne Muliro ametangaza rasmi kuwa Mtu yeyote atakaetoa taarifa sahihi zitakazowezesha Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM kumkamata Mhalifu akiwa na silaha mfano; bunduki atatoa...
  9. M

    Hakuna tena Mahubiri ya habari njema, kuacha dhambi, msisitizo ni matoleo

    Imani imezidi kumkamata MTU MWEUSI na watumishi wameendelea kusisitiza Kutoa ZAKA na FUNGU LA 10, UJENZI NA MAENDELEO YA JIMBO nk. Hakuna tena Mahubiri ya HABARI NJEMA, KUACHA DHAMBI nk MsisitIzo ni MATOLEO na ili kulipa uzito basi kanisa LITATOA Mualiko kwa Mchungaji/Mtumishi anayejua...
  10. N

    Wema sepetu adai mbali na familia kalinyo hakuridhika na stahiki zake yanga

    haya hayaaaaaa fayaaa fayaaaaaa makanjanja hata kumchimba wema sepetu mmeshindwa? mlewesheni basi pombe kali awamwagie ma story ya mzungu kukimbia huko utopoloni? Oh I forgot issues za utopolo huwaga hamzishikii kidedea,wachambuzi takataka
  11. Infantry Soldier

    Ukitenda wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe ila ukawalipa watoto au wajukuu zako

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Ukimtendea mtu wema leo hii, wema huo unaweza usikulipe wewe bali ukaja ukawalipa watoto wako au wajukuu zako miaka ya...
Back
Top Bottom