wema

Wema Bank Plc, commonly known as Wema Bank, is a Nigerian commercial bank. It is licensed by the Central Bank of Nigeria; the regulator of the nation's banking sector. As of 2019, Wema bank operates the largest digital banking system in Nigeria, ALAT By Wema, which is fully in use in all of the nation's thirty seven states and territory. Wema Bank is the fastest growing commercial bank in Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ni wema gani uliwahi kuutenda ukaishia kujuta mpaka leo

    Nakumbuka nikiwa zangu Msasani beach tumelala kwenye bot bovu alikuja jamaa anakimbia usiku tukamuuliza vipi, akasema kuna maaskari wametimba maskani kukamata wahalifu, basi ilikuwa kama saa tano usiku tukampa hifadhi, ilipo fika kesho asubuhi tukakuta hayupo na kaondoka na viatu vyetu.
  2. wemambayasana

    Wema wangu ulivyoniletea kejeli na fedheha kutoka kwa mama mkwe uchwara

    Ndugu wana JF wasalaaam, Napenda ku-share nanyi hii stori ili iwe fundisho kwa wengine wasije wakafanya makosa kama nilivyofanya mimi. Katika mizunguko na harakati za maisha nikakutana na mwanamke tukaanzisha mahusiano na hatimae tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Hapa hakuna ile ndoa...
  3. Pascal Mayalla

    Kwa Kauli Hii, Rais Samia atabarikiwa sana kuliko Rais mwingine yeyote! Huu ni wema mkubwa kabisa kuwahi kuwa Rais yeyote ukimuondoa Nyerere

    Wanabodi, Nchi hubarikiwa kwa viongozi wake kufanya mambo mema. Kwa kauli hii, ya jana ya Rais Samia alioitoa Bukoba, kwa kutoa msamaha wa jumla wa deni la kodi, za nyuma, Rais Samia atabarikiwa sana kuliko Rais mwingine yeyote!. Huu ni wema mkubwa kabisa kuwahi kufanywa na Rais yeyote...
  4. Komeo Lachuma

    Kweli tenda wema nenda zako, usingoje shukurani

    Nipo kwa sister hapa naaangalia angalia michongo ya kazi hapa Town. Tulikuja Mjini kutafuta pesa siyo kuangalia magorofa. Mimi mtoto wa kiume lazima nijitume. Kama matunda yangu yapo basi lazima niyachume. Kuna siku hapa nliandika namna ambavyo nlimsaidia shemeji kwenye issues zake za ndoa kwa...
  5. Expensive life

    Wema Sepetu amuweka wazi mwanaume wa ndoto zake

    Star wa bongo movie Wema Sepetu amezitaja sifa za mwanaume wakufunga nae pingu za maisha siku za usoni.
  6. Interest

    Diamond alimuimbia Wema Sepetu nyimbo nyimbo tamu, chungu na chachu..

    Ujana, mapenzi na ustaa. Maneno hayo machache yanatosha kuelezea maisha ya Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Kama hukufaidi drama za hawa wawili, bado hujalijua vizuri game la muziki wa kizazi kipya. Kwa ufupi sana, hii ndiyo couple namba mbili iliyokuwa na nguvu kuliko zote katika historia ya...
  7. Nyankurungu2020

    Wazo lenye mantiki: Kama mabeberu ni watu wema wamshinikize rais Samia kutengeneza katiba mpya

    Jambo ambalo mabeberu huwa wanapigia kelele kwa muda mrefu ni kushirikiana na mataifa yenye tawala zenye demokrasia. Mkiwa kwao mabeberu tayari mmetoa ujumbe kuwa kumbe demokrasia yetu hapa nchini ina mapungufu makubwa. Kwa hiyo tunahitaji katiba mpya ili kuondoa hayo mapungufu. Sasa kama...
  8. JanguKamaJangu

    Wema Sepetu awafukuza Lulu, Uwoya nyumbani kwake, yadaiwa walienda kupatanishwa

    Miongoni mwa matukio ambayo yamezua gumzo ni tukio la Wema Sepetu kuwafukuza nyumbani kwake mastaa wenzake wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Irene Uwoya, Kajala Masanja, Jacqueline Wolper na wengine kwa maelezo kwamba hawakumpa taarifa kwamba wanakwenda nyumbani kwake. Wema ameshtukia...
  9. Stroke

    Huu ni upendo, utu wema au mtego?

    Nilikwenda mahali kupata huduma. Aliyenipokea ambaye baadae nikaja jua kua ni mmiliki ni dada mmoja mrembo tu. Wakati naweka oda yangu tulipata wasaa wa kuzungumza kidogo. Nikapewa muda wa kwenda kuchukua bidhaa yangu. Sasa wakati wa kuichukua nikaona movements ambazo sizielewi na pia sura yake...
  10. John Haramba

    Wema Sepetu amrudia Mungu

    Muigizaji wa Tanzania, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha na kwamba anafanya dua na kumtegemea Mungu katika mambo yote. Hii ndiyo kauli yake: “Mimi ni binti wa Kiislamu nafanya sana dua. Watu wanamuona Wema wa mtandaoni lakini binadamu tunakuwa na...
  11. yuda75

    Maisha anayoishi Irene Uwoya ni maisha aliishi Wema Sepetu miaka 10 iliyopita, Majuto ni mjukuu

    IRENE Uwoya ni mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali; mama wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 33, lakini bado anajiona binti wa miaka 20. Inasemekana kwamba, Irene hana hata kibanda cha chumba kimoja ambacho amejenga, lakini amepanga apartment pale Masaki jijini Dar na analipa shilingi...
  12. RWANTANG

    Tubadilishane uzoefu: Unawasaidiaje vibaka wa maeneo ulipo kuwa raia wema?

    Kama kichwa cha mada kinavyo jieleza tubadilishane uzoefu kuhusu hilo. Kwa upande wangu hujichanganya nao na kupiga nao stori mbili tatu lengo ni kujua misimamo yako na maisha yao ya baadae pia kutambua ambao hawapendi ukibaka bali kuna msukumo unao wapelekea kuwa hivyo Kisha huwaweka pamoja...
  13. T

    Wanaume tujifunze kuishi na wanawake vizuri. Wanawake ni viumbe wema sana

    Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko. Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo yanatoka kwa sisi wanaume. Binafsi toka nimewajua wanawake, naishi maisha ya furaha sana. Wanawake...
  14. I

    Pale ambapo mzazi mwema anapata watoto watukutu na watoto wema wanapata mzazi mbaya

    Kama umejaaliwa kuwa kwenye familia ambayo tabia zako na za mzazi wako zinaendana, yaani mambo mengi yakiwa yanaenda sawia baina yenu basi mshukuru mungu umebahatika sana. Nimeshuhudia sana mifano mingi ambapo mtoto safi amekua akitaabika kutokana na mapungufu makubwa aliyonayo mzazi wake. Kwa...
  15. comte

    CHADEMA kama nyie ni watu wema mje mkanushe maneno haya ya Mh. Mbowe

  16. M

    Hivi kuwa askari polisi ni tiketi ya kudhulumu raia wema?

    Habari RAIA wema wa Tanzania, nimekaa nalo sana moyoni, lakini kila kukicha mambo yanazidi kuwa mabaya kutokana na matendo mabaya ya askari polisi. Siku Mona nilikuwa nimesimama dukani nanunua vocha ghafla defender ya polisi ikaja ikawa inabeba watu hovyo. Kufika kwangu nikagoma nikauliza...
  17. Kasomi

    Wanao jua uwezo na wema wako hawakutaji na wasio jua ndio hukutaja

    Hivi umewahi kugundua kuwa kuna wengi ambao wanajua UWEZO na WEMA wako ila hawakutaji kabisaaaa!!!. Ila kuna wachache ambao wanajua baadhi ya MADHAIFU yako na MABAYA yako na wanabidii sana ya kuyazungumzia. Matokeo yake ni kuwa, mabaya yako yanasikika zaidi kuliko mema yako. Halafu kibaya...
  18. mgt software

    Kati ya Mabinti wazuri waliopata umaarufu na wakapata hasara uwezi kumkosa Tunda na Wema

    Wana JF Wasalaam. Nianze kwa kusikitika kwa kumkosa Warumi, ambaye alikuwa anatupa burudani motomoto za vibweka vya wauza nyago Dar, tumekosa vitimbi vingi safari hii. Leo katika viwanja vya mastaa katika operation pitisha macho, nawaona mastaa wawili wanaooenda kupoteza kutokana na umaarufu...
  19. Cathelin

    Tutende wema; hili la umeme na maji ni pigo sana kwa CCM

    CCM waliamini kabisa kuwa kuwafunga wapinzani especially Mbowe, kutadidimiza upinzani na CCM itatawala kwa raha. Mungu si athumani, umetokea ukame, maji na umeme ni shida Tanzania nzima, serikali ni Kama ime-panic hajui la kufanya. Wananchi Wana hasira Sana juu ya upatikanaji wa maji na umeme...
Back
Top Bottom