wema

Wema Bank Plc, commonly known as Wema Bank, is a Nigerian commercial bank. It is licensed by the Central Bank of Nigeria; the regulator of the nation's banking sector. As of 2019, Wema bank operates the largest digital banking system in Nigeria, ALAT By Wema, which is fully in use in all of the nation's thirty seven states and territory. Wema Bank is the fastest growing commercial bank in Nigeria.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Wanaume Wema na Watiifu katika Mahusiano yao ndiyo huteswa zaidi Kimapenzi na Wanawake

    Haya siyo maneno yangu bali ni maneno ya Mwanasaikolojia mmoja ambaye huwepo sana katika Kipindi huko Channel Ten ambapo huwa anazungumza na kuchambua Mambo mbalimbali ya Kisiasa, Kiuchumi, Kijamii na Kimahusiano. Ngojea GENTAMYCINE niendelee hivi hivi tu kuwa Mkorofi mbele ya Wanawake ili...
  2. waungwanaTz

    Simulizi za waungwana: Si kila asemaye asante basi katendewa wema

    ASANTE Baada ya kugundua mumewe anamsaliti, mke wa chuwa alimtazama mumewe usoni. Akamsogelea karibu zaidi, akambusu shavuni, kisha akamwambia “Asante sana mume wangu” Tofauti na busu la mkewe, ambalo lilimkumbisha Chuwa busu la Yuda kwa Yesu. Asante ya mkewe,ilimweka Chuwa njia panda...
  3. realMamy

    Umewahi kuwatendea wema waliokukosea?

    Hakika katika maisha ya kawaida kukwaruzana kupo as long as bado tunaishi. Watu wanakosea watu kwa kujua ama kwa kutokujua. Mwingine anaweza kukufanyia kitu kibaya na hadi ukashindwa kufikia malengo yako kisa yeye. Duniani vikwazo vipo hasa vya hapa na pale. Sasa mtu anaweza kukukosea akiwa...
  4. Under-cover

    Sitosahau wema niliofanyiwa

    Habari wakuu, nimekumbuka wema nikiowahi kufanyiwa hatimaye mpaka sasa tumefanyika kuwa ndugu, kuna watu wana mioyo mizuri na wema ndani yake. Ipo hivi 2020 kipindi niko chuo, ilikuwa imefika muda wa kwenda field na ilikuwa ni jijini Dar es salaam, basi nilikuwa na best angu yeye ndio kwao na...
  5. haszu

    Watu wema wenye kujali utu na sio pesa bado wapo

    Watu wanasema wachaga wanapenda pesa, ila ukweli na utu wanao sana, sitaki ku generalize kwenye ubaya wala uzuri. Katika harakati za ujana, nilikua na mahusiano na mrembo mmoja, ni mzuri kweli. Sikua na nguvu ya pesa, yule dada alinikubali zaidi kwa muonekano wangu, aoshee anahandsome boy...
  6. chiembe

    Pre GE2025 Tundu Lissu ni funzo kubwa kwetu walimwengu, hakika tenda wema nenda zako, Leo Lissu anamtukana Mbowe?

    Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe. Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema njaa kama Mdude hawataelewa) ikatumika kuhakikisha Lissu anatibiwa. Lissu kapona, kafukuza mke, kaoa...
  7. MALKIA WA TABASAMU

    Tenda wema, nenda zako...

    Nimekutana na rafiki yangu wa kitambo kwa ghafula. Ni mahala ambapo hata ndotoni hakuna kati yetu ambaye angeamini kama tungekutana baada ya miaka 13 ya 'tusitambuane'. Ilikuwa miaka ya ujana mbichi wenye utoto ndani yake. Alinipora "Shilingi niloithamini kabla hata sijaonja kuitumia" zingatia...
  8. Mwanamke wa mithali 31

    Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

    MITHALI 18:22 Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA. WAEFESO 5:31 “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja. 1 WAKORINTHO 7 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke...
  9. Cute Wife

    Dada wa Wema Sepetu akutwa na hatia ya utakatishaji fedha Marekani

    Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana na utapeli. Mshtakiwa mwenzake, Nafise Quaye, (47) raia wa Nigeria ambaye pia anaishi Worcester...
  10. T

    Asante Mungu muumbaji wa Mbingu na Ardhi kwa wema na Rehema zako

    Namshukuru Mungu kwa wema wake kwangu. Pamoja na changamoto mbalimbali ninazopitia hapa duniani, bado wema wake ni mkuu mno kwangu. Ndugu wasomaji wa ujumbe huu, nawasihi tuwe na tabia/desturi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu hata kwa kidogo tulichopewa. Shukrani hufungua milango mingine ya baraka...
  11. Mjanja M1

    Whozu: Nikiachwa na Wema Sepetu nitajiua

    Msanii anaefanya vizuri kwenye kiwanda cha BongoFleva Whozu, amesema kuwa endapo kama ataachwa na mpenzi wake Wema Sepetu basi atajiua kwa kujitosa baharini. Akifanya mahojiano na East Africa Radio Whozu amesema, "Mapenzi yangu kwa Chimama yaacheni kama yalivyo. Nipo kwenye penzi zito siku...
  12. X_INTELLIGENCE

    Rais Samia jukumu la kuwafanya Watanzania wakukumbuke kwa wema lipo mikononi mwako

    Awali ya yote Rais Samia Suluhu Hassan nikupongeze kwa kibarua kizito ulicho nacho cha kuhakikisha Tanzania na Watanzania tunapata maisha bora. Wapo wanao kubedha, wapo wanao kukejeli, lakini tupo tunao kupenda kwa dhati ambao ukizungumza sauti yako inapenya hadi ndani uvunguni mwa mioyo yetu...
  13. R

    Madereva wa Tanzania wanalipishwa zaidi ya milioni moja kwa siku 90 wawapo Zambia; Watanzania wanalipa Visa kuingia DR Congo. Majirani zetu si wema

    Madereva wa Tanzania wanalalamika kwamba Zambia imewakataaa badala yake wanataka madereva wote wanaoingiza magari Zambia wawe RAIA wa Zambia. Dreva mmoja anatakiwa kuwa na siku 90 kwa mwaka, akizidisha siku 90 kwa mwaka anatakiwa kulipia si chini ya milioni moja na laki mbili ndipo aingize gari...
  14. A

    Tetesi: Wema kuzindua ghorofa lake Valentine's Day

    Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
  15. Ivan Stepanov

    2023 inapoisha, unaiacha kumbukumbu ipi ya wema kwa watu? ili kwa watu ili ukumbukwe kwa wema?

    Habari za weekend. To cut the story short ni kwamba, jana nikiwa mihangaikono, nilipokea simu toka kwa jamaa yangu flan anaitwa Gozbert. Ni jamaa yangu ila sio kusema ni mtu wangu wa karibu sanaaa, hapana. Yeye tumefahamiana kanisani. Ni mtumishi wa umma katika kada ya afya. Siku ya kwanza...
  16. bbc

    Wanajamiiforums mko wapi?

    Ni vizuri pale unapokosa kuona "uzi" wa mwana/wana JF katoka "ukumbi" huu tuliouzoea, tuulizane mko wapi? Mpo lakini mmetingwa na shughuli au mmetoka kabisa kwenye ukumbi JF? Mfano mzizimkavu, mwifwa, emmyta na wengine wengi mpo?
  17. sanalii

    Usimfanyie wema kupitiliza mke wa mtu

    Kama ikitokea mke wa mtu anahitaji msaada, basi iwe kwa kiasi usijifanye unajali kupitiliza sio vizuri. Sababu ni kuwa, binadamu tuna athiriwa sana na wema, ukimfanyia mtu wema ambao hajafanyiwa au hafanyiwi inaleta tashwishi moyoni. Mfano: Mfanyakazi mwenzako (mke wa mtu) anaumwa, itoshe...
  18. M

    Mwanamama mateka wa Kiisrael mateka wa Hamas, aandika barua kuwashukuru Hamas kwa wema wao na asema anatarajia urafiki wao utaendelea

    Katika hali ya kustaajabisha, mateka wanaohojiwa wamekuwa wakiwashukuru Hamas kwa junsi walivyokuwa wakiwatreat vizuri. Hali hii imepelekea mamlaka za Israel kuwapiga biti mateka kuwa wakae kimya kuhusu jambo hilo la sivyo watanyamazishwa. Alianza bibi mmoja mzee wa Kiyahudi akielezea jinsi...
  19. Glenn

    Bado watu wema wapo-kuna mtu amenionyesha wema sana

    Hello wakuu sana; Siku zilizopita nilipoteza bag langu dogo lenye vitu vichache lakini muhimu. Ndani ya bag kulikuwa na ; -Suruali 3 za jeans -Raba za nike pair 2 -shati 2 na nk -kadi 4 za bank tofauti -kadi ya gari -leseni ya udereva -kadi ya gari -××pasi ya kusafiria -cheki ya bank nk. -...
  20. Hance Mtanashati

    Naona Wema siku hizi anazidi kutakata ule Utanzania sweetheart unamfiti vyema

    Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema kwamba ameshazeeka. Kwa muonekano alionao sasa hivi ajiandae kupokea dili kutoka kampuni mbalimbali...
Back
Top Bottom