wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Mkoa wa Pwani mnastahili pongezi kwa kutoa Mawaziri wengi

    Hakika nyie Ni maalum haswa nchini, 1. Jafo, 2. Mchengerwa, 3. Ulega, 4. Ridhiwani, 5. Kipanga.
  2. Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! Ujinga, maradhi na umasikini is real.
  3. Sijawahi kuona mwanaume anaependa kunyandua wanawake wengi akiwa mnene

    Shalom, Fuatilia kichwa cha habari ndivyo ilivyo uzoefu wangu ana wanaume wanyanduaji wengi wao hawanaga vitambi. Na wengi wao afya mgogoro. Karibu kwa mjadala na uthibitisho Ni hayo tu Wadiz
  4. L

    Viongozi wa Simba mmetufanya wengi tuwe Waasi dhidi ya timu yetu

    Sisi Simba ni timu ya mioyo yetu, hatufaidiki wala kunufaika na chochote zaidi ya furaha, watu wanasafiri kutoka Bukoba, Mbeya, Kigoma wengine wanatumia baiskeli kuja kuwasapoti nyie viongozi na timu kwa ujumla. Miaka ya hivi karibuni ilikuwa nadra sana kusikia Simba ikizozana na mashabiki...
  5. Kwanini Watu wengi wanapotuma Voice Note wanarudia kuzisikiliza tena na tena?

    Unajua sielewi kabisa 🤣🤣, Huwa wanataka sikia sauti zao zinavyovutia au kuhakiki tu? Najau wengi mshafanya hivi ebu nambieni sababu inayokufanya kusikiliza sauti yako tena ni nini?
  6. Wadada wengi sasa wamekuja na huu ujanja mpya, wanaume tuwe makini

    Hello, Utakuta uko na mdada kwenye environmental setting moja, mnaanza kuzoeana, mdada atakachofanya ni kuwa ata-flirt na wewe, ataweka idea of sex mbele yako, mwanaume ukijaa, mizinga inaanza, mara naomba vocha, dinner, etc, wengine siku hizi hawasubiri umtongoze, akikuona uko vizuri kimfuko...
  7. Mbowe ndio Amebeba Idea ya CDM, kama ilivyo Odinga, Malema, Tsvangirai(RIP) na wengine wengi.

    Mbowe ndio amebeba Idea ya CDM, kama ilivyo kwa Raial Odinga kwa ODM au Malema kwa EFF, au ilivyo kuwa kwa Morgan Tsvangirai na mfano mzuri ni huyu mwamba alie mpelekesha vilivyo Mugabe na Baada ya kufa Chama chake kimepotea kabisa. Uzidhanie Raial Odinga akiondoka pale ODM itabakua na nguvu...
  8. L

    Licha ya fursa inayotokana na teknolojia ya Akili Bandia watu wengi wanaichukulia kama tishio kwa ajira zao

    Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo inavyoonekana kwamba matumizi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) yanashika kasi sana duniani. Maendeleo haya ya haraka yameanza kubadilisha sekta nzima ya teknolojia na kuonesha uwezo wa kugusa nyanja nyingi za maisha ya kisasa. Kwa sasa inaonekana...
  9. Hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi zenye wanafiki wengi zaidi duniani?

    Tumekuwa tukisikia mashirika kadhaa yakifanya tafiti kubaini mambo kama vile 1. Nchi yenye furaha zaidi. 2. Nchi yenye watu wenye IQ kubwa zaidi. 3. Nchi yenye uhuru wa kutoa maoni nk. Je, hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi yenye wanafiki wengi zaidi duniani? Hii record huenda...
  10. Umuhimu wa kuwa na watoto wengi uko wapi

    Nauliza hili.!! Ni kwanini familia zenye watoto wengi hasa nchini Tanzania zinakosa kushirikiana na kusaidiana kwenye mambo mbalimbali ya kifamilia pindi yanapotokea mfano maradhi, msiba, ama sherehe Wazee wetu wanazaa watoto wengi kwa lengo la kupata msaada pindi wanapohitaji lakini cha...
  11. Mbunge Shabiby: Wapigaji wameongezeka serikalini, sitasifia kila kitu

    Mbunge wa jimbo la Gairo mh Shabiby, wakati akichangia hotuba ya bajeti kuu amemshukia kama mwewe waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa tabia yake ya kutaka kuwa mzuri kwa kila mtu na kila taasisi imesababisha awe na mipango mingi isiyo na tija kwa taifa ikiwemo hela kutopelekwa kwa wakati kwenye...
  12. Mbali na kuwa na washirika wengi wanaomuunga mkono Russia, kwa USA, Russia ni kama yuko peke yake!

    Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia SA Marafiki ambao wamekukubaliana kuweka ushirikiano pamoja ili kumdhibiti USA ni, China, Iran...
  13. T

    "Ni Tanzania tu utasikia biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi" Yerico Nyerere

    "Unaweza usiamini kwamba ni Tanzania tu inatokea kwa mara ya kwanza duniani, kwamba biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi. Yes amini Mwendokasi inakufa huku ongezeko la wateja ni kubwa sana na haina mpinzani ni wao tu Dar nzima. Hivi sisi ni akina nani? sisi ni MANYANI" Anasema Yerico...
  14. O

    Rungu la TRA limepita na wengi mtaani kwetu

    Vipi uko kwenu huku hadi vibanda vimefungwa sana. Shida nini? Watu wanaanza biashara wengine mitaji michanga ukirogwa ukaingia kwenye frame na mtaji madogo unaumia
  15. Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA asema "Waandishi wengi wa Habari hawajui kusoma tarakimu"

    Meneja Huduma za Utangazaji kutoka TCRA, Inj. Andrew Kisaka, amesema asilimia kubwa ya Waandishi wa Habari hawajui kusoma tarakimu hasa wakiandikiwa ili wasome, kwani wamezoea maneno isipokuwa tarakimu za laki kwani ndizo wanacheza nazo kila wakati, hivyo hivyo ameiomba Tume Huru ya Taifa ya...
  16. Hii ndio sababu inayofanya Tanzania kutokuwa na maprogrammer wengi?

    Wakuu Habari zenu? Niingie kwenye mada moja kwa moja, Naona hii ndio sababu ya kuwa na maprogrammer uchwara wamzee wa kucopy hawaanzagi kuandika code from the beginning hata uwape bei gani, wao ni mwendo wa nipe wiki mbili tunamaliza faster kumbe anaangaika na kumodify code za watu. Sababu...
  17. Rais anafahamu kuwa viongozi wengi Serikalini wanategwa ili waangushwe na mahafidhina, mafisadi na wezi?

    * RC Makonda alisikika akisema kuwa watu wanamfuatilia, * Balozi Polepole akitokea Arusha siku moja alikuta nyumbani kwake kaporwa nyaraka, * Mhe Ole Sendeka majuzi kakoswakoswa kuuawa kwa risasi wkt akiwa ktk gari; * Mhe Dugange alipopata ajali ya gari mwaka jana alisingiziwa kuwa ktk...
  18. Tuhifadhi sehemu zetu za siri dunia tunayoenda wengi watapotea.

    Miaka ya themanini dunia ilikuwa inaandikwa kwenye kitabu Ni aghalabu sana kwa mali au sehemu ya mawazo ya muandishi kupotea sababu ya upatikanaji wa hizi nakala za waandishi,watu walihifadhi maandishi kama inavyohifadhiwa mali na kwakiasi kikubwa tumeikusanya elimu ya vitabu vichache na...
  19. Kwanini Chawa wengi wa Chura wa Bahari ya Hindi wanashutumiwa kuwa na Tabia ya 'Upiga Muluzi' pale 'Magomeni kwa Macheni' Dar es Salaam?

    Yaani ukiwaona Wengi wao na ukatulia zaidi utagundua ama ni Wapiga Miluzi au huko nyuma Walipiga mno tu Miluzi.
  20. Watu wengi sana wanasumbuliwa na Psychological Trauma

    Muda sio mrefu nimetoka julwaa la love connect nimeshtushwa sana kuona watu wanavyowaponda watu ambao wanatafuta wachumba/ wake Wengine wanatumia mwavuli eti wanafanya utani na masihara kiukweli watu wanatrauma nyingi sana, wana-vidonda kwenye mioyo yao na wamekosa msaada. Huwezi kuwa mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…