Watu wengi wamekulia katika jamii ambazo wanaoamini dawa za mitoshamba hazina madhara na kuwa unaweza kutumia tu kiholela holela hata Kama huna ujuzi nao.
Ukweli Ni kuwa mitoshamba Kama isipotumika kwa umakini na kizingatia kipimo stahiki ukawa unabugia tu unaharibu Figo.
Utakuta MTU...
Wanaokuacha kwenye mahusiano wengi walipanga hivyo hata kabla ya hilo kosa wamelotumia kama sababu
Mara nyingi anayeachwa anakuwa na msongo wa mawazo na kujiona asiye faa kwenye hii Dunia na wengine huenda mbali mpaka kujiona wasio na thamani yoyote, je nawe umewahi kuwa hivyo baada ya kuachwa...
Habari wana jf natumai wote mko poa
Hii habari inanishangaza kila kila ninapoenda kununa labda mchele au maharage kila mfanyabiashar nikimuuliza hizi unachukulia wapi huwa wananiambia wanachukulia mikoani afu ukute ana gunia tano tu au kumi
Nimezunguka maduka mengi ila wengi wao wananiambia tu...
Hasa wenye makabila ya asili ya Tanzania
Biashara inaenda vizuri bila tatizo mfanyabiashara anaona haitoshi yafaa kuiwekea ulinzi, anamtafuta mganga kufanya zindiko.
Biashara ikianza kufeli huamini kuna mtu kaingilia kishirikina, suluhisho ni kwenda kwa mganga
Biashara ikiwa na wateja...
“Wafanyabiashara wanashughulika na biashara, huku wanasiasa wakishughulika na siasa.” Katika Maonyesho ya 135 ya Canton, yaliyofunguliwa wiki hii, mwagizaji wa Marekani Steven Selikoff alipozungumzia kauli ya Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen ambaye amemaliza ziara yake nchini China hivi...
Habarini,
Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako.
Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au...
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha Waja wazito.
Kila anayekuja anataka watu waache kulia ili wamtazame yeye kwanza , yaani wanajitanua...
DALILI kuu ya mtu anayeitwa mchawi ni kupata furaha, amani au raja moyoni pindi mtu hasa yule wa karibu naye anapopata matatizo.
Kwanini nasema Watanzania wengi ni wachawi?
Ni kwasababu Watanzania raha yao ni kuona watu hasa wa karibu yao wanakwama, wanafilisika, wanahangahika kusaka ajira...
Wanajamvi naomba ushauri wenu Kwa kuwa napitia kipindi kigumu kutokana na mfumo wa maisha yangu ni kama naisi unaniangusha au nina gundu naitaji kuondoa mkosi.
Mimi sinywi pombe wala sivuti sigara wala bhangi sivuti Kwa ujumla Mimi si mtu wa mambo ya starehe na katika mfumo wa maisha...
Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1.
Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi.
Kigoma ina watu makini sana...
Wengi wetu tulikuwa hivi; kulala na kuchanganywa na binamu zetu, lakini sasa hivi tumekuwa watu wazima, hatuzungumzi tena! Kila mtu sasa ana viwango, matajiri wanakwepa simu kutoka kwa ndugu maskini na maskini wana tabia ya kujitenga ili kuokoa kiburi vyao. Sasa tunakutana tu na kuishi kama...
Ikiamuacha MO dewji ambae amerithi Mali za wazazi wake hakuna tajiri mwingine mwenye degree wala diploma wengi wao wameishia darasa la Saba au darasa la nne, kule Arusha matajiri wa darasa la nne wako wengi sana tena ni watu maarufu sana wameliteka jiji kwa biashara za utalii, madini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.