Nilizoea kuwaona wachina Dar es Salaam tu lakini nimeshangaa kuwakuta wachina hadi huko Kigoma vijijini, mwanzo nilidhani labda ni wakandarasi kwenye miradi ya barabara, lakini hapana, unawakuta wapo barabarani wanazurura, nilishangaa mpaka wanauza vyombo, yaani wanakodi gari na kuanza kukopesha...