wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Aliyemuelewa Mkurugenzi wa TPA, Plasduce Mbossa atusaidie kufafanua hili

    "DP World atafanya kazi maeneo yaleyale aliyopewa kulingana na masharti ambayo tumemuwekea. Lakini bandari zote zitaendeshwa na TPA au mwekezaji mwingine au mwendeshaji mwingine wa ndani au wa nje ambaye tutakubaliana naye." - Mkurugenzi Mkuu TPA, Plasduce Mbossa
  2. NECTA 2023: Wanafunzi 359,424 wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili wamefeli, Wengine 211,997 hawakufanya Mtihani

    Matokeo ya Mitihani ya Upimaji Kitaifa kwa Wanafunzi wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili iliyofanyika Oktoba na Novemba 2023 yameonesha Wanafunzi 147,837 (8.73%) wa Darasa la 4 hawakufanya Mtihani wa Upimaji ambapo Wasichana ni 60,835 (7.04%) na Wavulana ni 87,002 (10.50%). Pia, Wanafunzi 257,396...
  3. Hili ndio swali ambalo Kinana, Majaliwa na CCM wengine hawawezi kulijibu

    Na kama Mwenyekiti wa ccm akizuiwa kuteua Wasimamizi wa Uchaguzi , hizi porojo za ccm kuchapisha fomu moja ya mgombea wa urais zitazimika mithili ya Mshumaa jangwani . Watapaswa kuachia fomu hata mia moja ili apatikane miongoni mwao mwenye uwezo wa kupambana majukwaani na kushawishi wananchi...
  4. Wengine mnaoa familia gani? Milioni 22 mahari pekeee? Nonsese

    Hivi kuna wanaume wwngine wapoje? Yaani unamuomba msamaha mwanamke mrudiane hivi unajua akili za mwanamke akijua kwamba weww mwanaume ni bwege?mjinga au mpumbavu? Ok ila nisiseme sana maana kuna watu wanasema maumivu ya mapenzi ni yanauma sana ila sijajua aisee ila wewe umewahi kupigwa na...
  5. Hawa ndio watu 3 pekee wanaoendesha Tanzania wengine wote ni wafuata maelekezo!

    1.Rais wa Nchi, MHE. Samia Suluhu Hassan -Rais wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu -Yeye jukumu lake kubwa ni ku control hali ya Usalama na Siasa ndani na Nje ya Nchi 2.Dkt. Moses Mpogole Kusiluka-Katibu Mkuu Kiongozi -Yeye ni Katibu wa Rais na Mkuu wa Utumishi wa Umma-anaratibu shughuli zote za...
  6. Video: Hatimaye aliyeongoza mashambulizi ya Octoba 7 awahishwa kule waliko wengine, auawa

    Jamaa sasa hivi anafaidi mabikira.... The IDF says it has eliminated the company commander of Hamas’s elite Nukhba force in central Gaza’s Deir al Balah in an overnight airstrike. It says Adel Msammah commanded the Nukhba terrorists who carried out the attack on Kissufim on October 7, and...
  7. Iran yaweka orodha ya viongozi wake ambao Israel inasaka kuwaua kama ambavyo imeua wengine kimya kimya

    Yaani Israel ni balaa....... After an Israeli airstrike killed senior IRGC commander Sayyed Razi Mousavi, Iran International published names of who could be Israel's next targets. Following Prime Minister Benjamin Netanyahu's speech on Saturday night, in which he warned Iran and stated he would...
  8. Kama kahutubia mbona kila ninayemuuliza anasema hajui alichozungumza, huku wengine wakiishia Kusonya tu?

    Mkufunzi wangu Mmoja wa Somo Communication aliwahi kusema ukiwa ni mwenye Hadhi yoyote ile jitahidi sana Hotuba zako ziwe zinaendana na Mood ya Watu wako kwa wakati husika au ukiona labda hukubaliki nao au una Gundu Gundulile dhidi yao sitisha Kwanza Kuzunzumza nao ( Kuwahutubia ) kwani...
  9. Z

    Hospitali binafsi siyo wa pigaji wa hela kama wengine wanavyofikiria

    Kiukweli hospitali binafsi hazipati au kupiga hela kama wengine wanavyofikiria, tofauli na hospitali za Serikali ambazo zinapata ruzuku kutoka Serikalini pamoja mishahara kutoka hazina, private hospital zinajitegemea 100% katika kutoa huduma zote. Hakuna ruzuku yoyote wanayoipata kutoka...
  10. B

    Laana Gaza: Weah tayari, njiani Natenyahu, Biden na wengine waja

    1. Binadamu mwenye kauli anaweza vipi kuyanyamazia ya Gaza? 2. Kwamba watoto na wanawake wale, kwa hatia ipi Yarabi? 3. Natenyahu yuko njia moja: 4. Joe Biden ni Suala la muda tu. 5. Kwa hakika ikawakumbe wote, hata walioamua kuufyata makwetu Kenya na Uganda huku.
  11. Wengi bado hamjamuelewa Papa. Wengine tumeanza kumuelewa toka usiku wa manane, ndiyo maana tukafanya maamuzi haya

    Kwa ufupi anacho kisema Papa ni kwamba mfumo wa maisha ya dunia upo karibu kubadilishwa kuwa juu chini.. Kama vilevile shetani alivyo sababisha kubadilishwa kwa mfumo wa dunia ya Adam na Hawa kupitia forbidden fruit. Kabla Adam na Hawa hawajala Tunda, mfumo wa maisha ya dunia ulikuwa...
  12. Barua ya wazi kwa wizara ya afya, tamisemi na wahusika wengine

    Salamu ziwafikie nyote, Naandika kwa wino unaovuja damu pia nitajitahidi kukosoa kwa staha, baada ya hosipitali ya amana kupewa hadhi ya rufaa, kuna hosipitali ilijengwa huku kivule ambayo inajulikana kama hosipitali ya wilaya ya kivule, mgonjwa anatakiwa aanzie hapo ndipo apewe rufaa ya kwenda...
  13. Oya Wazee wa Kazi 'Eagle Wing Obey' wameshaanza 'Kunidukua' au kuna tatizo gani na Simu yangu au za Wengine?

    Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa. Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia...
  14. Na Marais wengine jitahidini Mkistaafu mkumbukwe Vyema na wenye Akili Kubwa duniani kama huyu....

    A new report by World Bank has pointed why late former president Kibaki was Kenya’s best chief executive. Chanzo: The EastAfrican Online Newspaper Na hata tu Chuo Kikuu cha Makerere alichosoma Hayati Kibaki alisifika kwa kuwa Genius na Bingwa ( Mngwena ) wa Somo la Hesabu na Uchumi ila...
  15. Wengine wakistaafu 2030 World Bank itawa 'recognize' kama the best Madafu Nation Chief Thiefs

    A new report by World Bank has pointed why late former president Kibaki was Kenya’s best chief executive. Chanzo: The EastAfrican Kama Hayati Kibaki mpaka leo hakuna Mtu aliyevunja Rekodi yake ya kupata A zote za Masomo ya Hesabu Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda ataachaje kuwa Mtendaji...
  16. ukiweza kumudu mawazo yako, na ukautuliza MWILI wako, hakika utakuwa sehemu ambayo watu wengine watakuita mwenye ku huisha

    ukiweza kumudu mawazo yako, na ukautuliza MWILI wako, hakika utakuwa sehemu ambayo watu wengine watakuita mwenye ku huisha. maana watajibariki katika wewe wote wanao teseka katika kifungo cha ubinadamu. ndiyo maana yoga ni muhimu sana katika kuweka mambo sawa! If you can handle your thoughts...
  17. Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango ashiriki ibada Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska

    Mlokua mnamzushia kifo mna hali gani?Mlokua mnatangaza na kujiapiza kwamba akionekana mtafuta page zenu mshafuta?Mlokua mnapiga ngoma ya nchimbi na kuanza kumpost mpo wapi?Huwezi kushindana na Mungu hata kidogo!! Kwa mara nyingine wahuni na genge lenu mmefail again!! Kama mnadhani mtafanikiwa...
  18. N

    Harmonize, Mbosso, Zuchu, Nandy na wengine ndio wasanii vinara Boomplay kwa mwaka 2023

    Kutoka kwenye kazi mpya za muziki zilizoachiwa mwaka huu zilizoambatana na sauti zilizovuma na video za #challenge mbalimbali ambazo zimevuma, Mwaka 2023 umekuwa mwaka mwingine mzuri kwa muziki wa Tanzania. Tunapoelekea ukingoni wa mwaka 2023, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki...
  19. Kwanini mke mdogo anaogopeka sana na wanawake wengine?

    Hapo vip!! Katika uchunguzi wangu nimegundua mke mdogo katika familia ananguvu sana na anaogopeka sana na wanawake wengine pamoja na watoto wao. Na kama mwanamke wako anakusumbua na hakuheshimu dawa yake jaribu kumuongezea mwezake hapo utakuwa umempiga zaidi ya kumpiga makofi mara ngumi na...
  20. A

    DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

    Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa pili kutokana na makato makubwa ya CWT. Kinachofanyika CWT wanaenda kwa Afisa Utumishi kuzuia Walimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…