wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤

    Wakuu,haya tuambieni Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤
  2. JanguKamaJangu

    Majambazi waliovamia Kampuni kuiba Petrol na Dizeli wajeruhiwa kwa risasi

  3. BARD AI

    Rais Chakwera apiga marufuku Safari za Nje za Viongozi pamoja na yeye mwenyewe

    Rais Lazarus Chakwera amesitisha mara moja safari zote za Kimataifa zinazomhusisha yeye na maafisa wote wa Serikali huku akiwaagiza Mawaziri wote walioko nje ya nchi kwa sasa kurejea haraka Nchini humo. Pia, Chakwera ameweka vikwazo vya Safari za ndani ya Nchi na kupunguza kwa nusu ya mgawo wa...
  4. Lycaon pictus

    Watu wanaoishi kwa kuwinda na kukusanya kama Wahdzabe wana afya kuliko wakulima, wafugaji na watu wengine

    Mtaalamu mmoja alisema kuwa afya ya binadamu ilianza kuzorota pale alipoanza kulima. Huu ni ukweli kabisa. Babu zetu walipokuwa wanaishi kwa kuwinda na kukusanya walikula kila aina ya chakula. Walikula matunda, majani ya miti, nyama, asali, mayai ya ndege, wadudu, mizizi, samaki nk nk. Watu hawa...
  5. Majok majok

    Viongozi wa Simba ndio tatizo la kwanza kwenye klabu, wajitathimini wao kwanza kabla ya kuwatoa kafara wengine!

    Viongozi wa Simba na mwekezaji wake ni watu wa propaganda nyingi sana na wamekuwa wakiishi hivyo kwa mda mrefu walicheza na akili za wanachama wao! Jambo hili limekuwepo kwa mda mrefu na ilikuwa ni suala la muda tu ufike waumbuke, awa wakina Try again, mangungu, Mo mwenyewe, wamekuwa ni watu wa...
  6. SAYVILLE

    Wengine hili janga la derby ya leo tuliliona linakuja kitambo

    Wakati wengine wanaangalia tu matokeo ya uwanjani na timu inavyocheza, wengine tumekuwa tunaangalia mazoezi ya Simba na kuanza kuona mapungufu ya kitimu kuanzia huko. Nakumbuka kuleta uzi nikikumbushia umuhimu wa "Rondo" katika kutengeneza wachezaji wenye uwezo wa kumiliki mpira. Hilo ni zoezi...
  7. M

    Makomandoo wa HAMAS waangamiza wanajeshi wengine watano wa Kizayuni kaskazini magharibi mwa Ghaza

    Nov 05, 2023 06:50 UTC Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa Gaza na kukiri duru za Kizayuni kwamba Tel Aviv imenaswa katika mtego wa wanamapambano wa Palestina...
  8. M

    Siwezi kupoteza muda kujadili mpira wakati mimi sina uhakika wa maisha

    Nauza kangala kwenda mbela. Hapa sasa hivi kuna walimu wanakula kangala , wanachanganya na ambiance na Shimha. Siwezi kupoteza muda kujadili simba na Yanga wakati mimi sina uhakika wa maisha bila kuganga njaa. Ni upuuzi na ujinga. Kujadili Ligi ya Uingereza, Ufaransa, Bundesliga mpaka koo...
  9. GENTAMYCINE

    Kumekucha: EFM Radio kuja na Muundo Mpya wa Kipindi kitakachokuwa Kinawazumgumzia Simba SC tu na siyo Wasiojua Wengine

    Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club. Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner...
  10. GoldDhahabu

    Kuna watu wanaomwabudu chatu?

    Ilitokea mkoani Geita mwaka 2019. Walimtolea sadaka na kumwomba awabariki. Kwao, nyoka aina ya chatu si kiumbe cha kawaida, bali ni mungu. Lakini miaka minne imeshapita sasa tokea hicho kituo kitokee Geita. Bado huo utamaduni upo Tanzania?
  11. S

    Hawa hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja

    Uwezo wao wa kupambanua mambo na kupangua hoja ni mdogo sana. Ni kama hawana kabisa uwezo wa kujenga na kupangua hoja. 1. Mary Chatanda kashindwa kabisa kuitumia platform ya yeye kuwa mwenyekiti wa UWT kuwashawishi wanawake kwa hoja kumchagua mgombea urais wa ccm kwenye uchguzi mkuu wa 2025...
  12. GENTAMYCINE

    Nini kinaendelea? Ihefu FC waliofungwa wamekubali ila wengine ndio wanaumia!

    Sijajua Simba SC mchezo ujao anacheza na nani ila namuonea huruma kwani ule mpira nilioucheza dhidi ya Al Ahly FC kwao na Waarabu kuutafuta muda mwingi kwao (hao nitakaokutana nao NBC Premier League) baada ya jana kumfunga mbabe wake mtu naenda kuucheza maradufu yake na nikimsamehe sana napiga...
  13. F

    Kama si Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na wazalendo wengine haya yasingetokea

    - Ukomo wa mkataba umekua miaka 30 tofauti na IGA ambayo haikua na ukomo. -DPW imepewa magati manne tu (no.4 hadi no.7) tofauti na awali ambapo ilipewa magati yote. - Gati no.0 hadi no.3 yataendeshwa na TPA kwa kushirikiana na DPW. Na gati no.8 hadi no.11 yatatafutiwa mwekezaji mwingine. -...
  14. 101 East

    Momba: Kila Familia/Vijana ni lazima kulima Korosho na Ufuta

    Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa na Serikali za Vijiji vyao na watapewa adhabu ya kwenda kulima kwenye mashamba ya wenzao waliolima ufuta na korosho, bila kulipwa chochote...
  15. lee Vladimir cleef

    Simba ndio timu peke Tanzania kupata nafasi ya kuanzisha mambo,na wengine hufuata baadae.

    Ni karama itokananyo na bidii,haiji hivihivi. Simba ndio timu pekee kwa Tanzania kupata nafasi nyingi za kuweka historia.kisha timu nyingine hufuata baadae sana. Mfano,kombe la Afrika mashariki lilipoanzishwa timu ya Simba kwa tanzania Ikawa ya kwanza kulitwaa. Simba Ikawa ya kwanza kuingia...
  16. 2019

    Iran ndio taifa pekee la Uislamu wa ukweli wengine wanafiki tu

    Toka Gaza ikumbwe na mashambulizi ya Israel hakuna nchi ya Kiislamu iliyothubutu kukemea unyanyasaji huyo kwa raia lakini 🇮🇷 imethubutu mara kadhaa kusema huenda ikaingia na kusababisha mzozo kuwa mkubwa zaidi. Saudia iko wap na uwezo wake? Qatar je kwann wasitoe hata vifaa? Misri jirani kabisa...
  17. Chizi Maarifa

    Hawa wanapiga Jalamba muda wote. Kocha anaingiza uwanjani wachezaji wengine

    Imagine mmekaa pembeni ya uwanja, upo bench. Unaamka unapasha misuli moto. Unapiga jalamba. Kocha anaamka anamnyanyua mchezaji benchi anamwingiza uwanjani. Wewe anakuacha unaendelea kupasha misuli moto. Anasimama tena akimuita mchezaji mwingine atoke. Unakenua meno kuwa sasa ni zamu yako...
  18. Father of All

    Kumbe mataifa yanayokalia wengine nayo yanakaliwa na kijipande kidogo cha ardhi kiitwacho Israel!

    Kwa waliofuatilia mgogoro wa Israel na Palestina na namna mataifa koloni na makubwa yanavyojipendekeza na kujivua nguo, bila shaka kuna siri ambayo dunia inapaswa kuifanyia kazi. Ni kama wanakwenda Israel kuonyesha nadhiri zao kama wanaogopa kitu fulani. Baya zaidi, hata waarabu amabao ndugu...
  19. Mjukuu wa kigogo

    Ni kwanini wanawake wanamkubali sana Mwamposa Bulldozer kuliko wachungaji/ Wahubiri wengine

    Nimefanya utafiti mdogo tu ,jinsia ke inamuamini sana Mwamposa Bulldozer kuliko watumishi wa Mungu wote.Nini kipo nyuma ya pazia?
  20. Eli Cohen

    Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

    Wapalestina wa buza na kitambaa cheupe mna habari? Taarifa ni kuwa Jordan, Egypt, Syria, Lebanon, Iraq, Saudi Arabia and Kuwait wamekataa kuwapokea wakimbizi wa palestine. Kumbukeni nchi hizi ni jamii moja huku wakishare dini moja na itikadi moja. Sasa leo wamewakimbia kama hawawajui. Issue...
Back
Top Bottom