Idadi ya waliofariki katika mafuriko makubwa yaliyoharibu sehemu kubwa ya ardhi ya Ufilipino mwishoni mwa juma la Krismasi imepanda hadi 51, huku wengine 19 wakitoweka, shirika la kitaifa la kukabiliana na majanga limeeleza leo, huku wakaazi walioathirika wakihangaika kurejea kwenye makazi yao...