wengine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infinite_Kiumeni

    Elewa hivi ili usiwakatishe tamaa wengine ili ujisikie vizuri/ uonekane bora

    Kila mtu anamkatisha mwengine tamaa kwa namna moja au nyingine. Lakini ni juu yetu kupunguza hizo tabia, na kuruhusu wengine wawe bora zaidi. Unapoona mtu anajitahidi, usimshushe chini. Angalia maneno yako unayoongea. Maneno yako ni kioo cha akili yako. Inaonesha akilini mwako umejaza nini...
  2. Chizi Maarifa

    Wenye akili au wanaotumia akili huwa wanakufa haraka kuliko hawa wengine

    Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema. Walikufa kwa natural death au kuuawa. Soma history usibishe. Angalia wapigania uhuru na mageuzi wa Africa...
  3. Mcqueenen

    Tukubaliane: Wanaohubiri kwenye mabasi, masokoni na njiani ni Omba omba kama ombaomba wengine

    Bila kupepesa macho au kumung’unya mung’unya maneno lets keep it one thousand. Hawa watu wanaohubiri kwa maspika, kwa makelele iwe masokoni,njiani au kwenye mabasi au wale wanaoimba gospel barabarani kisha kuweka bakuli au kuomba sadaka ni omba omba tu kama omba omba wengine. Na Wala hawapo...
  4. Mganguzi

    Kufuru ya wanadamu inapotaka kubadili sayansi ya Mungu

    Ujinga wa Elon Musk ni pale pesa yake inaweza kubadili sayansi ya Mungu. Elon Musk ana mkakati kabambe wa kuhamishia makazi yake kwenye sayari ya Mars na tayari tunaambiwa Huko mji umeshaanza kujengwa Mungu ametupa Dunia Moja tu kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi, tumeichafua na kuinajisi kwa...
  5. R

    Kama Mwalimu anaweza safiri mpaka mkoa mwingine kwenda kuipigia kura CCM, tutegemee nini kwa wananchi wengine?

    Habari Jf ,Ni aibu kuona nchi kama Tanzania baada ya miaka 60 ya Uhuru bado ina changamoto nyingi sana ambazo hazitakiwa kuwepo ,kibaya zaidi bado CCM inaendelea tu kuwepo madarakani. Kwa kifupi CCM haitakiwi kuendelea kuongoza hii nchi kutokana na muda iliopata lakini haifanikiwa kuondoa...
  6. anti-Glazer

    Nina kipato kwa mwezi nataka gari wewe unaleta kujua. Wengine hawataki ushauri ni maelekezo

    This is mei dei. Happy birthday dear workers world wide. Kwa wasiojua siku hii inazingatiwa na international labour organization- ILO. Niende kweny point yangu. Nilianza kuhangaikia maisha long ago. Age is so so so going fast. Nyumba yangu ya kupunzikia sio kulala. Ninayo. Watoto yesu...
  7. jastertz

    Kwanini Uking'atwa na mbu panawasha na wengine hawawashwi?

    Wana JF! Naombeni kujua kwanini Kuna mtu aking'atwa na mbu anawashwa na mwingine hawashwi..??
  8. DR HAYA LAND

    Mashabiki wa Simba wengine hawajitambui Kabisa

    Nimemsikia mjinga Mmoja kupitia Uhuru Fm anamlalamikia Kijana Mlinda mlango Ally salumu eti hawezi kudaka mechi kubwa yaani , kuongea ongea tu mfano wa walevi.
  9. Street brain

    Maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee

    Daaah, ngoja niteremke moja kwa moja kwenye point,, Simba alipokuwa cafcl maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee na sahivi niwasikie, NASEMA HADI FA HAMTAPATA YAANI MTAKANDAWA POTE POTE MKIVUKA AZAM FC MNAKUTANA NA MWENYE KUU YA JANGWANI YAANI MTAPOTEANA MPAKA MSEME JINA LA UTOTO LA...
  10. Poppy Hatonn

    Arusha flood nadhani imewachukua watu wengine leo. Video

  11. GENTAMYCINE

    Kwanini 'Mahausigeli' wengi ni wepesi Kushika Mimba tofauti Wanawake Wengine?

    Ushauri wangu kama uko Nyumbani na una Housigeli ambaye ama Wewe Baba Unambandua au Mwanao Anambandua au Nduguyo hapo Kwako na hata Shemeji yako Anambandua tafadhali tumia Condom au Waambie Wavae mpira kwani Mtafiti Huru GENTAMYCINE nimegundua Mahausigeli wanaongoza kwa Kushika Mimba kwa haraka...
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    Jamii ya Kitanzania inatuchukulia simple sana sisi walinzi, wengine tuna elimu zetu na fedha tunazo

    Hello! Inachekesha sana. Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi. Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha, awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi. Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine...
  13. Mwachiluwi

    Wachaga tupe siri na sisi wengine

    Hellow africa Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄 Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa...
  14. S

    Nikiona watanzania wanateseka wanakaa wiki kwasababu ya ubovu wa barabara wengine barabara inapita juu ya maji inauma sana

    Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa Victoria) Km 3.2 kwa gharama ya Ths. 700 Bilioni wakati kuna njia mbadala kuna vivuko. Uwanja wa ndege...
  15. Ushimen

    Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

    Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana. Kuna siku niliiona pale Pestana Dodoma majamaa wameshiba na miili imejengeka vyema, wamevaa vipens vifupi hadi...
  16. Nyamwage

    Baadhi ya wageni huwa sio wastaarabu kabisa

    Hi, Tabia zako zinatosha kukuelezea wewe ni mtu wa aina gani. Imagine mgeni anafukuafukua msosi kama yuko mgodini kutafuta nyama, lengo lake ni nini au anataka wenyeji tule pilau kavu? Binadamu wengine jau kweli, hawa ndio wale ndugu akifa wanakuja kung'ang'ania mali ambazo hawajui hata...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Wengine ukituheshimu kwa Pesa tulizonazo tunakuona Kama Mnafiki na Kiberenge

    WENGINE UKITUHESHIMU KWA PESA TULIZONAZO TUNAKUONA KAMA MNAFIKI NA KIBERENGE. Anaandika, Robert Heriel Tajiri wa Tibeli Wengine vipesa tumeanza kuvishika mapema. Hizi miambili miambili, sijui tumilioni. Hivi Kwa kweli tumebarikiwa mapema mno lakini hiyo haitufanyi tuheshimiwe au tudharau...
  18. HERY HERNHO

    Mashambulizi ya Urusi yaua watu 8 na kujeruhi wengine zaidi ya 20 nchini Ukraine

    Mashambulizi ya Urusi huko mashariki mwa Ukraine yamesababisha vifo vya watu wanane na kuwajeruhi wengine zaidi ya 20. Mkuu wa Majeshi ya Ukraine amesema mashambulizi makali yanayofanywa na vikosi vya Urusi yaliendelea jana Ijumaa katika eneo la Sloviansk na maeneo mengine ya Donetsk, mashariki...
  19. Killa Cam

    Tafuta hela ikusaidie uzeeni

    Tafuta hela iwe mlizi wako usitafute hela kwa kupata wanawake wazuri. Ukiwa na hela ina kupatia heshima kwenye familia na jamii. Ukiwa na hela ukiumwa inakuwa rahisi kwako kupata matibabu mazuri. Tafuta hela ikupe mke mwema sio mke mzuri, unaweza kuwa na mke mzuri wa sura na umbo lakini akawa...
  20. F

    Rais Samia waonee huruma maskini wa Tanzania, watu wanakufa kwa kukosa dawa huku wengine wakichota mabilioni

    Naomba kuchukua nafasi hii kuandika kwa kifupi kabisa ombi moja kwa niaba ya watanzania. Nakuomba Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia tafadhali wachukulie hatua za kisheria wote wanaohusika na ufisadi wa kutisha unaoendelea katika nchi yetu. Tunakopa matrilioni, lakini tunapoteza matrilioni...
Back
Top Bottom