Ni Jambo la kufurahisha, tayari baadhi ya watumishi serikalini,ajira mpya 2023 wamepata mishahara yao ndani ya mwezi wa sita baada ya kuripoti kwa wakati, japo wapo watumishi wengine wengi nao mchakato unaendelea. Kongole kwa serikali kwa kujua mazingira magumu ya watumishi wapya na kuwawaishia...
1. Chama
2. Inonga
3. Phiri
4. Sakho
5. Baleke
Wasajiliwe wengine Saba (7) tu Wazuri kama hawa Watano (5) niliowataja hapa ili Kutimia Idadi ya Wachezaji wa Kigeni Kumi na Mbili (12) Wanaotakiwa ili Simba SC irejeshe Hadhi na Heshima yake.
Mali zote za nchi hii ni zetu sote watanzania bila kujali dini zetu
Hakuna mwenye haki zaidi ya mwingine kwenye Mibaraka ya Mungu juu ya nchi yetu Tanganyika
Tunaweza kutofautiana kwenye Imani, lakini hiyo haiondoi Utanzania wetu
Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii tuliyopo sasa, sote ni...
Ikumbukwe hawa walikua mahabusu kule magerezani, ila Urusi kwa kuishiwa mbinu ikawapa uhuru baada ya wao kuwahusisha kwenye vita, sasa wamerudi mitaani na kuanza kupiga matukio, kunao wanabaka watoto wadogo wa hata umri wa miaka 10, Urusi inapitisha sheria ya kuwahasi....
One brutal alleged...
Mahakama kuu kanda ya Arusha leo 16/06/2023 imewaachia huru watu 12 wakiwemo Mashehe waliosingiwa kesi ya Uongo ya Ugaidi.
Walifunguliwa kesi No. 65 ya 2022 na kunyimwa dhamana, ambako wamewekwa selo kwa zaidi ya miaka 10.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu atoe haki kwa wote waliotunga unyama huu...
Nimekuja kugundua kuwa yamkini Tunawaonea sana huruma watu ambao kwa namna moja au nyingine wala hawajal maisha yao kabisaa.
Juz kati nikiwa naelekea Arusha nikawa nachek tv, nimekaa kwenye bas wameweka vidoeo ya Jux ile Sugar Dady, (mimi sio mpenz wa kuangalia hiz video za vijana wetu kwakua...
Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa.
Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba.
Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole...
Picha: Kushoto ni Freeman Mbowe, Kulia ni Amosi Makalla
Katika hatua ya kuonesha kujipendekeza kulikopitiliza, RC Amos Makalla amesema:
"Rais Samia Kuna watu eti wanakukosoa kwa maboresho ya Bandari zetu ilhali umefanya jambo hilo kwa uwazi Bungeni kama Azimio. Yeye Mbowe (Freeman) hasemi kama...
Jambo letu
Haitoshi tu kuwa na mafanikio makubwa bali tumia nafasi hiyo kuwasaidia wengine kufanikiwa pia. Tunaelewa ili ufanikiwe ulipita vikwazo vingi, ulishinda mengi; tumia muda huu kuwa mwalimu wetu.
Maendeleo ni kama bahari na hakuna bahari yenye kisiwa kimoja na kisiwa hakizuii kingine...
Nafuatilia bunge live saa hii. Ninachokiona ni mkanganyiko mkubwa wa hoja juu ya suala la bandari na "mkataba" na kampuni ya Dubai ya DPW.
Nimegungua kuwa upo mkanganyiko mkubwa kati ya wabunge, huku wengine wakisema haya ni makubaliano ya awali kuhusu mikataba itakayofuata.
Wapo wanaosema...
Kidogo kidogo tunanyata kwenye mambo ya Teknolojia, lakini hata pole pole ni mwendo.
Najua hapa kwetu Tanzania kwenye suala zima la Teknolojia bado tupo nyuma lakini bado wapo wadau wanaopambana kwenye hii sekta na wanaweza kuwa inspiration.
Uzi huu weka mtanzania yeyote unaemjua ambae...
Katika Kuadhimisha Siku ya Madaraka huko nchini Kenya Rais Ruto kasema anakosa Usingizi akiwaza Kupanda kwa Gharama za Maisha kwa Wakenya na hali Ngumu ya Maisha.
Chanzo: Gazeti la The Standard.
Nami GENTAMYCINE Rais wa JamiiForums namjibu Rais Mwenzangu wa Kenya Ruto kuwa napata mno Usingizi...
Mambo mengi muda mchache, mbele kwa mbele, ulimwaga unga wenzako wanamwaga mboga, Mrusi vita vimemkuta ndani, hawa ni Warusi walioamua kumuondolea Putin uzembe maana amesababisha maafa ya Warusi kwenye vita kule Ukraine, vita ambavyo havina tija kwa Urusi.
Warusi wameuawa kwa maelfu pale...
Kuna hili tatizo linalopata wanawake wakati wa kujifungua hasa wale waliopata Uzazi pingamizi na kuwafanya washindwe kuzuia haja (kubwa na ndogo).
Tatizo hilo linatibika na Kupona kabisa na huduma hii kwa sasa inatolewa bure kabisa. Kama mgojwa yupo kijijini na akawa hana nauli ya kwenda...
Naomba ujumbe huu ufike tuokoe vijana na mabinti, ndoa, na mahsiono hali ni mbaya sana.na sio fair kabisa.
Upishi wa penzi na tendo ni Jambo asilia na ni vema libaki kuwa asilia.
Matumizi ya mkongo, puturu na viagra huleta mifarakano na sintofahamu.
Maisha ya sasa si ajabu kumkuta binti mdogo...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema ana imani mahakama itamsaidia Rais katika eneo la utoaji haki. Dr. Tulia amesema kuna watu hawaelewi kama mhimili wa mahakama nao unafanya kazi ya kumsaidia Rais.
Dr. Tulia amesema anaamini watu huwa wanasoma vitabu vya dini, ambapo...
Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe.
Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda)...
Napenda kutumia nafasi hii kuwaasa wananchi wachukue tahadhari kwani Simba wamekuwa wazururaji tena hawana lengo wala shughuli yoyote ya maana wanayofanya mjini na wakati mwingine wanaweza kuwadhuru bila sababu yoyote.
Simba hao wenye hasira kali ambayo haijafahamika chanzo chake wamekuwa...
Wakuu hii dunia kuna watu wanafaidi asee, hii pesa yaani mane,mavumba au madafu yanatunyima vingi sana.
Cheki huu mjengo ambao ameureview Supercarblondie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.