wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watu wanakufa wameacha legacy, wenyewe wanakufa wameacha kisilani. Hata kama ni ngazi ya ukoo!

    Na kalaga baho Nongwa Wazee sina neno kubwa leo, nimekumbuka sana uwepo wa advanced marginalised Community nchini. Niliwah kuandika habari zao humu ndani kwamba, hao watu wametokea katika makalio ya dunia. Yani huko ndugu zangu kila kisanga kisanga, wamakonde wanaitaga "ng'anya". Huko ukikaa...
  2. K

    Vyama vya upinzani mnapaswa kujilaumu kwa wananchi kujiandikisha daftari badala ya kutumia kadi za kura

    Zoezi hili limekuwa la AIBU kubwa kwa nchi inayoongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Iweje marehemu, watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, walioachana na waume zao na hawapo kwenye eneo hilo mfano Wilaya ya Tarime waandikishwe?. Mimi niliitwa na CHAMA fulani kuwa niorodheshwe lakini...
  3. Wanawake wanatafuta hela kwa lengo la kutupindua wanaume ili waishi wenyewe iwe rahisi kuongeza maasi duniani

    Salaam sana " Watakuja masingle maza hapa na wanawake mafeminist pamoja na wanaume wajinga na wavivu kuwajibika kupinga waraka huu wa kweli kuhusu hawa viumbe wazuri malaika na mauwa ya duniani zawadi kwa wanaume, wanao tafuta hela zao wenyewe" Ndugu zangu kama tujuavyo tokea enzi na enzi...
  4. Wajue:Wanaume Wanaokwenda Njia Yao Wenyewe (Men Going Their Own Way- MGTOW )

    Wanaume Wanaokwenda Njia Yao Wenyewe (MGTOW )ni jamii ya mtandaoni yenye msimamo dhidi ya wanawake na yenye mtazamo wa chuki dhidi ya wanawake, ikihamasisha wanaume kujitenga na wanawake na jamii, ambayo wanaamini imeharibiwa na harakati za ukombozi wa wanawake (feminism). Jamii hii ni sehemu ya...
  5. Q

    Tumeyataka wenyewe, ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianze kurusha mawe

    Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe. Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi. 1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani. 2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel. 3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza. 4. KGB - Shirika...
  6. Lema: Nilitegemea mpaka sasa baada ya statement ya Rais Samia kuhusu mauaji ya Ally Kibao basi Waziri Masauni, IGP wawe wamejiuzulu

    Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini akieleza kushangazwa kwake mpaka sasa kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na IGP kutujiuzulu kufuatia tukio la kutekwa na kuuawa kwa Ally Mohammed Kibao. Niliposikia Ali amekamatwa ameshushwa kwenye basi...
  7. Watibeli tunalaani matukio ya utekaji na watekaji wenyewe

    Mpo salama Wakuu! Watibeli tuliuchukia ûtawala wa awamu ya Tano siô Kwa sababu Hakuna mazuri àmbayo hayakufanywa na ûtawala huo. Yapo. Lakini màtukio ya utekaji, Mateka kuuawa, miili kuokotwa mahalimahali NI Moja ya mambo yaliyotufanya Sisi kuuchukia ûtawala wa awamu ya Tano Ñàona utekaji Kwa...
  8. Maharusi mnajichoresha wenyewe

    Maharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn? Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia vitu vya uongo.
  9. K

    Wananchi polepole wameanza kuandamana wenyewe

    Serikali ilikuwa inafikiri maandamano nchini ya Chadema hayana tija. Sasa bila Chadema kuna maandamano makubwa matatu kwenye ngome za CCM! 1. Kuhusu kutekwa watu huko Simuyu 2. Ngorongoro-kuhamishwa 3. Simanjiro kudai maji
  10. Wamasai wameweza. Umoja waliouonyeshea ndîo Ushindi wenyewe

    Kwema Wakuu! Sitaki kujua Nani yupo Sahihi na Nani hayupo Sahihi. Nafuatilia wanachofanya Wamasai Huko Ngorongoro. Nimevutiwa na umoja waô, hii inamaanisha soon watakuwa na Ñguvu. Nakumbuka Mwezi wa nne mwaka huu nilikiwa naenda kumzika Bibi yàngu mzaa Mama, ndàni ya Basi Siti ya Kulia kwetu...
  11. M

    Hii ni tafsiri ya maendeleo kutoka Kwa lazern muisraeli aliyeishi sana Cameroon,

    "watu duni kifikra hudhani ujenzi wa miundombinu ni maendeleo, yaani barabara, reli, madaraja, hayo sio maendeleo ni mahitaji ya eneo husika tu" Hayo hapo juu ni maneno ya rafiki yangu mmoja kutoka moja ya nchi zilizoendelea na katika maongezi aliendelea kueleza yafuatayo. Mtazamo wa maendeleo...
  12. Kama Viongozi wa Chama Cha Upinzani wenyewe ndo hawa akina NTOBI.. CCM kutoka Madarakani sio rahisi

    Huyu ni kiongozi wa CHADEMA anaeneza uzushi ambao sijui lengolake ni lipi NTOBI @Ntobi_ · 14h Kumekucha! Air Tanganyika
  13. S

    Serikali haioni huu utapeli wa wachungaji? Au wao ya kwao mazuri hivyo wananchi watajijua wenyewe?

    Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum. Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari...
  14. Malalamiko ya Kufunga Maduka, Halmashauri ya Kibaha yasema “Wanafunga wenyewe, hatujafunga sisi"

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri wanafunga maduka ya Wafanyabishara kutokana na kuwadai malipo ya Halmashauri hiyo, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika. Kumsoma Mwanachama bofya hapa ~ Wafanyabiashara Kibaha tunaishi kama digidigi...
  15. Kama Wenyewe tu hamjiheshimu, mnajirahisisha na mnaendekeza mno Tamaa na Pupa ya Maisha, kwanini msiombwe na Mchakazwe hovyo?

    “Sijui kama inawakuta wavulana lakini rushwa ya ngono kwa wasichana ni tatizo kubwa. Inahitaji uwe jasiri na ujue mifumo ya kuripoti”. - Lydia Charles Moyo (31), Mkurugenzi wa taasisi ya @herinitiative alikuwa mmoja kati ya washindi sita waliopata tuzo ya kimataifa ya Global Citizen mwaka 2024...
  16. Nape hajatania wala kukosea, huo ndiyo ukweli wenyewe

    Ingekuwa kwenye nchi ya kidemokrasia na inayoiishi demokrasia, Waziri Nape Nnauye angeshapoteza uwaziri na ubunge wake muda huu. Angepoteza kwa shinikizo la wananchi au kuondolewa na Rais aliyemteuwa. Lakini hapa kwetu, Nape bado anadunda na anakejeli kwa kusema eti amechakachuliwa video yake ya...
  17. Gen z wapanga kuharibu nchi yao wenyewe

    vuguvugu la mabadiliko linalochochewa na vijana hususan Africa Mashariki, yaani katika nchi za Kenya, Tanazania, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudani Kusini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, limechukua sura mpya hivi sasa.... mathalani, kuibuka kwa gen z wa Kenya kulichochewa zaidi na...
  18. Sasa nimeshajua ni kwanini Mataifa jirani kadhaa na hata yanayojitambua ya Nje yanatudharau sana Watanzania japo wenyewe twajiona Wajanja

    “Mimi natamani kwenda nje, na ofcourse lazima nitaenda nje na ukiuliza Nchi gani nitakuambia tudondoke state hapo (Marekani), Madam (Rais Samia) tupeleke zetu state, mpigie simu Mzee Biden mwambie nakuja na Vijana akina Jay Z tuwakute pale tuzungumze, si umeona akina steve wanazungumza na...
  19. Profesa Bengesi: Serikali haikuchelewesha Vibali vya Kuagiza Sukari, Wazalishaji wenyewe walichelewa kuvichukua

    BODI ya Sukari Tanzania imekanusha taarifa za kuchelewa kutoa vibali vya uagizaji wa sukari kwa kampuni za wazalishaji nchini, badala yake baadhi ya kampuni hizo zilichelewa zenyewe kuchukua vibali hivyo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania, Profesa Kenneth Bengesi...
  20. D

    Wakati Kenya wakiharibu nchi yao wenyewe, acha sisi tupambane na maisha

    Wakati Kenya wanaendelea kuharibu Taifa lao kwa upumbavu wa vijana wachache, sisi tuendelee kujenga Taifa letu. Kuna watu hasa Chadema wanawaza kuna siku nchi yetu itakuwa kama Kenya, niwaambie tu “HAIWEZEKANI”, hii ni kutokana na sababu nyingi hasa za Kisayansi, Kijamii na hata asili ya siasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…