wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Labani og

    Tafakuri: Mwaka huu Yanga wanashindana na Yanga wenyewe

    🎙️ ALI KAMWE: “Msimu huu Yanga SC wanashindana na Yanga wenyewe, hizo timu nyingine zinawania nafasi ya pili na kushiriki ligi ya mabingwa au shirikisho. Tumejiwekea malengo yakufikisha points 85 ambazo msimu ulipoita hatukuzipata.”
  2. MamaSamia2025

    MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya...
  3. PAGAN

    Hii ni wakina dada wenyewe wanaume wabahili

    Sina mengi ya kusema, natoa ushauri tu kwa dada zangu hasa nyinyi mnaoishi kwenye miji mikubwa. Dada, kama bae wako anajifanya mbahili, hakupi pesa, wewe pika uji asubuhi ukauze kazini kwake. Usisahau kuja kunishukuru baadae.
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Ukifuatilia kile kinachoitwa ujanja wa mjini ndio ushamba wenyewe

    UKIFUATILIA KILE KINACHOITWA UJANJA WA MJINI NDIO USHAMBA WENYEWE Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna Watu Washamba na wajinga kama vijana wa mjini wale wanaojiita na kujiona wajanja. Ninawaita Washamba na wajinga kwa sababu ya mambo wanayoyafanya na yale wanaojivunia nayo. Taikon ni mtu...
  5. Msanii

    Vita vya wenyewe kwa wenyewe Afrika ni matokeo ya viongozi waliokosa utu na hekima

    Mmeshindaje wanaJF wenzangu? Tukiangalia kona nyingi ama nchi nyingi za Afrika zipo ndani ya vita vya ndani ambapo wahanga wakuu ni wananchi ambao kila anayepigana anataka kuwwtawala. Riek Machari na Salva Kiir ni mfano wa kuangalia namna ambavyo kiongozi na aliyekuwa makamu wake wanavyoiona...
  6. Kaka yake shetani

    Kiswahili kinagombewa na Wakenya kuliko Tanzania

    Yani inauma sana hawa wakenya wanajua kutembelea code za Tanzania kwenye fursa zilizopo hapa. Kumbuka Kenya asilimia kubwa imejaa kikabila kuongea na ndio maana lugha yao kubwa ni Kingereza ila suala la kujitangaza kiswahili kipo kwao wameshinda hili. Nimeshangaa fursa hii tumeshindwa kupeleka...
  7. T

    CCM issue ya mipango miji ni kama wameachana nayo, watu wajipange wenyewe

    Serikali ya CCM imekuwepo madarakani kwa miaka zaidi ya 60 nchi hii lakini miji yote Tanzania haijapangiliwa. Miji inajengwa hovyo hovyo, mtu anajenga popote, mipango miji hakuna, hakuna open space, hakuna play grounds, hakuna maeneo ya ujenzi wa huduma za kijamii. Kinachosikitisha ni kwamba...
  8. James_patrick_

    Naona waajiri hawapiti humu, tupo waomba kazi tu

    Tokea hili jukwaa lianzishwe nimejaribu kuomba kazi sana humu ya udereva wa magari makubwa na madogo lakini atakupokea simu moja tu hakuna! Kuna mda naona waajiri awaingii humu. Tupo wenyewe tu tunapeana moyo tu maskini dah!
  9. Mjanja M1

    Zitto ahofia migogoro ya Ardhi kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe

    "Migogoro ya ardhi na migogoro ya mipaka kati ya hifadhi na vijiji, maeno ya Kusini mwa Tanzania tumekuta malalamiko makubwa ya wakulima dhidi ya wafugaji kuvamia maeneo yao na hata kupelekea mauaji, vilevile maeneo ya wafugaji tumekutana na malalamiko ya wananchi kuporwa mifugo yao na Maafisa...
  10. Matulanya Mputa

    Makonda, mkoa wa Mtwara una wenyewe, pole sana Mungu awaponye majeruhi haraka

    P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho. Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao...
  11. B

    Wanawake ni kweli huwa hampendani wenyewe kwa wenyewe?

    Katika kuelimishana, naomba kuuliza wadau hasa jinsi ya kike. Je, kuna ukweli katika kauli ambayo imekuwepo kwa miaka mingi katika jamii zetu kwamba wanawake huwa hawapendani wao kwa wao? Karibuni wadau tuelimishane, kama hili jambo ni la kweli, na ninini ni kisababishi chake, na pengine nini...
  12. G

    Waafrika tunashindana wenyewe, tunaogopa maendeleo ya mwafrika mwengine, tunaridhika tukiwa juu ya mwafrika mwenzetu bila ari ya kushindana kimataifa.

    Ubinafsi umekuwa ni tatizo kubwa sana kwetu Africa kuzidi umoja wa uafrika wetu hasa katika Loyalty ya ukabila / ukoo / mru binafsi, Mwafrika yupo tayari kumnyima nafasi mwafrika mwenye uwezo kwa sababu za ubinafsi aidha hayupo kwenye kabila / ukoo wake, anahofia akimpa atamzidi maendeleo...
  13. Magical power

    Marafiki zangu walinitenga baada ya kupata pesa

    Kuna washkaji zangu wawili since 2018 nilikuwa napiga nao madeal 2022 wakapata deal 1 wakapiga wenyewe hawajanishirikisha wakanunua subaru 2 starehe kila siku Huwa sijawahi watafta tena wala kwenda kwao leo wananitafta wamekwama hawana pesa tena 😅😅 nashindwa niwajibu nini 🙌🏿🙌🏿
  14. Nkaburu

    Ghana imekopeshwa na Uingereza vito vya Dhahabu-Dhahabu yao wenyewe

    Salaam Watanzania wenzangu. Ghana imekopeshwa na Uingereza vito vya dhahabu. Jambo la kushangaza ni kwamba dhahabu hii ndiyo waliyoiiba wanajeshi wa Uingereza wakati wa vita vya Ashanti. Tafakari: Kukopesha kunamaanisha kuwa kitu kilichokuwa, kinatarajiwa kulipwa pamoja na riba. Kwanini...
  15. Shining Light

    Wazazi msifiche watoto wenyewe ulemavu, usonji na down syndrome

    Hali ya kuwaficha watoto wenye ulemavu, kama vile wale wenye ugonjwa mfanano(Down syndrome) na usonji (autism), ni suala linaloathiri haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya elimu, kucheza na kujumuika na wenzao katika jamii. Wazazi wengi wanaweza kufanya hivyo kwa sababu ya hisia za...
  16. Kididimo

    Nchi yetu nzuri Tanzania tutaiharibu wenyewe kwa kuteua na kutumia watu kama kina Makonda

    It is very funny! 1. Serikali imeweka utaratibu wa kupanga na kusimamia sekta zake mfano ujenzi wa barabara. Leo tumeuacha, Makonda ndiye anapeleka magreda site kuchimba barabara. Nasi tuko kimya tunaona sawa. 2. Vikundi vya kupinga vyama halali vya upinzani vinaasisiwa na vinatumia dini na...
  17. Bwana Bima

    Matatizo ya DRC Congo yatamalizwa na wakongo wenyewe

    Nikiwa nasikiliza idhaa ya kiswahili ya dw Leo mchana moja ya wachambuzi wa maswala ya migogoro huko Congo alitoa ufafanuzi juu ya kikosi kingine Cha SADC Ambacho kinajiandaa kwa awamu nyingine kutumwa huko DRC. Kilichonishangaza ni pale alipoulkuliwa akisema wanajeshi wakongo wanataka vita na...
  18. tpaul

    Utafiti: Profesa Janabi yupo sahihi 100%; watu wanajiua wenyewe kwa upumbavu wao

    Baada ya kufuatilia ushauri wa Profesa Janabi kwa watanzania kuhusu aina ya maisha wanayoishi (lifestyle) na ambayo ni kisababishi kikuu cha magonjwa yanayoua lakini yanayoweza kuzuilika, ilinibidi nifanye utafiti kujiridhisha. Katika utafiti wangu nimegundua kuwa watanzania tunajiua wenyewe kwa...
  19. Teslarati

    Wanawake Usafi huko chini fanyeni lakini msizidi hadi mkaondoa ile harufu ya asili sababu ndio utamu wenyewe huo

    Hii kero nimekua natafuta njia ya kuifikisha kwa pisi husika lakini nashindwa naifikishaje. Unakuta pisi kali na safi lkn papuchi haina ile natural smell hata kidogo, msinielewe vibaya simaanishi 'kitilapia' hapa, namaanisha kale kaarufu fln ambako nadhan ndo wale bacteria wanakatengeneza...
  20. R

    Maajabu: Wanaohubiri Injili ya mafanikio wao wenyewe hawakutajirika kwa injili hiyo!

    Wao wanatuuzia maneno ya hamasa tu ( motivational speeches) na kuchukua kutoka kwetu pesa halisi (real money) kwa kisingizio cha kumtolea Mungu sadaka na matoleo na kutuacha sisi tumekumbatia maneno matupu. Wao wamekuwa mabilionea si kwa kusikiliza mafundisho hayo ya injili ya mafanikio...
Back
Top Bottom