wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto Songwe

    Nchi moja serikali mbili: Unafahamu kuwa bado China ipo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe?

    Chukua hii kwa ufupi: Nchi ya China inayopatikana mashariki ya mbali ya bara la Asia. Hii ni nchi moja yenye serikali mbili zilizo katika mgogoro wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo havijatamatika toka 1949 mpaka sasa. Katika nchi ya China kuna serikali mbili zinazo ng'ang'ania mamlaka ya...
  2. S

    Hata Wapalestina wenyewe wameshinda kuelezea Historia yao halisi

    Kutoka Tovuti Rasmi ya Mamlaka ya Palestina, Nchi takatifu imeeanza kukaliwa tangu miaka 6000 iliyopita lakini cha ajabu wameshindwa kusema wao wanaundugu na watu gani wa enzi hizo https://travelpalestine.files.wordpress.com/2014/11/motaguide.pdf
  3. M

    Wakristo kuleni vya kuchinja wenyewe katika Krimas na mwaka mpya

    Sherehe za krismasi na mwaka mpya ni ibada maalumu Kwa wakristo. Ibada itakuwa ya maana iwapo mtakula Vyakula vilivyoandaliwa Kwa maombi yenu bila kuchanganya maombi ya miungu wengine. Lakini Kwa upendo mkubwa Msisahau kununua nyama za mabuchani Kwa ajili ya wageni wasio wa Imani yenu...
  4. Ituzaingo Argentina

    GAZA: Tukiendelea kuwatia adabu mpaka wataondoka wenyewe

    Wapiganaji wa Al-Qassam (H@M@S)wakilenga wanajeshi 10 wa Israel waliojificha nyuma ya kifaru. Source TRT Source Aljazeera Pamoja na kusaidiwa na Nchi za Magharibi kubomoa maghorofa, kupiga mahospitali, mashule, kuuwa wasio na hatia, waandishi wa habari (Journalists), walimu, watoto, wamama...
  5. Kinyungu

    CCM Ina Wenyewe!

    Mkiambiwa muwe mnaelewa! Chagua Isaack Mwigulu Nchemba kwa nafasi ya ujumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bara🤣🤣🤣 Hasa wewe johnthebaptist Wengine hawa hapa
  6. Doto12

    Waafrika mnaibiana wenyewe. Huu ni ukweli. Wanasiasa wanafilisi nchi zao

    Siasa za weusi ni nyeusi tii Kwa mfano nauli mpya mwananchi anaunafuu gani. Wanasiasa wanamiliki magari nauli kupanda mbunge anabariki tu. Huku akionheza madaladala. Ni nani anasimama kumtetea maskini
  7. M

    Kitila Mkumbo: Hakuna chama chochote cha siasa Duniani kimeshinda uchaguzi kwa kuwa ni bingwa wa kukosoa

    "Ukisoma literature utaona kwamba hakuna chama chochote cha siasa duniani ambacho kimeshinda uchaguzi kwa kuwa tu kimekuwa ni bingwa wa kukosoa. "Chama kinashinda uchaguzi kwa kuwa kimeweka sera mbadala na kikaonekana, kina safu mbadala ya uongozi, kuwa na mikakati mbadala ya ya kutatua...
  8. Expensive life

    Nilikuwa nausuburia kwa hamu uzi mpya wa simba utoke ila kwa haya ma mo mo moooo yaliyojaa kwenye jezi mtavaa wenyewe

    Siwezi kuvaaa hii jezy aisee
  9. S

    Kampuni ya SuperFeo Ruti ya Songea-Arusha-Moshi mbona mmeanza nyodo na maringo? Au kwa vile mko wenyewe?

    Hii kampuni ya SuperFeo ilianza safari zake za kutoka Songea-Dodoma-Arusha mwanzoni mwa mwaka jana 2002. Tulifurahi sana maana ilikuwa ni ukombozi wa safari ya moja kwa moja kutoka kusini mwa nchi yetu mpaka kaskazini. Kwa wiki huwa na safari 2, walianza vizuri sana, ulikuwa unakata tiketi...
  10. MAGAMBA MATATU

    Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti 2025 na Mgombea Urais 2030

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakati inatakiwa uwe...
  11. Roving Journalist

    Wasio na choo bora kujengewa na Serikali kwa fedha zao wenyewe

    Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imewaagiza watendaji wa vijiji na kata kutumia sheria ndogo za maeneo yao kutoza faini kwa wananchi ambao hawana vyoo bora na kuzitumia katika ujenzi wa vyoo bora kwa kaya ambazo zimetozwa faini hiyo kwa usimamizi mkali wa Serikali zao kwa kushirikiana...
  12. K

    Mfumo wa Ulinzi wa Israel Iron Dome wapata na tatizo la kutungua makombora

    Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa...
  13. GENTAMYCINE

    Nini kinaendelea? Ihefu FC waliofungwa wamekubali ila wengine ndio wanaumia!

    Sijajua Simba SC mchezo ujao anacheza na nani ila namuonea huruma kwani ule mpira nilioucheza dhidi ya Al Ahly FC kwao na Waarabu kuutafuta muda mwingi kwao (hao nitakaokutana nao NBC Premier League) baada ya jana kumfunga mbabe wake mtu naenda kuucheza maradufu yake na nikimsamehe sana napiga...
  14. M

    Je, Saini za Mababa Askofu 37 zimepuuzwa na serikali au wamezipuuza wao wenyewe?

    Kabla sijaendelea, lazima niweke rekodi sawa. IGA IKO VILEVILE, NA INAENDELEA KUWA VILEVILE. Pamoja na kauli tamu za serikali kuwa Imezingatia maoni ya wananchi katika mikataba mitatu iliyosaini na DP World ikiwemo wa HGA, lakini ukweli ni kwamba mkataba mama wa IGA uko palepale. Hii...
  15. Bramo

    Uteuzi wa Makonda: Kosa la kiufundi, CHADEMA Mshindwe Wenyewe

    Wakuu JF, Greetings and I hope you are doing well. Niende kwenye Mada, Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, CCM, Imemteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi akichukua Nafasi ya Sophia Mjema. Pia soma >>>Uteuzi wa Makonda na mustakabali wa...
  16. sky soldier

    Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

    Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa kishindo kwenye Hospitali ya Al-Mamamani na kusababisha mlipuko, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas...
  17. Morning_star

    Wanaume matatizo mengine tunajitafutia wenyewe na yakitusibu tunaanza kulalamikia wanawake!

    Ulishawahi kujiwekea vigezo vya huyo "ke" unayeenda kuanzisha mahusiano naye? Jiulize na jiridhishe anafanyakazi au shughuri gani ili aweze kuishi! Wengi wao hawana kipato chochote zaidi ya kudanga au kufanya ufuska wa chinichini. Hana kazi! Hana biashara! Wengine wanaishi na jamaa mbali kabisa...
  18. R

    Dkt. Slaa amerudi rasmi kwenye viwango vya juu vya siasa Tanzania; kuvuliwa Ubalozi kumempa umaarufu kuliko ubalozi wenyewe

    Dkt. Slaa ataendelea kuwa bingwa wa siasa za upinzani Tanzania. Atazidi kuchota wafuasi wengi awapo Duniani na baada ya kuondoka. Alitambua kwamba amefungwa kifungo cha kidiplomasia akapambana hadi akaondolewa minyororo ya kidlomasia na sasa amekuwa mtu huru. Amechanga karata na huku tuendako...
  19. Nyani Ngabu

    Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza. Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani? Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na...
  20. R

    CHADEMA wakishiriki uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wasije kwetu kulalamika wameibiwa kura....wameyataka wenyewe

    Salama ya CHADEMA nikususia uchaguzi zaidi ya kushiriki. Wawaache wale ambao wana tamaa ya ubunge waende ACT au CHAUMa kuliko kushiriki uchaguzi unaosimamiwa na Makada wa CCM. Wasipoweka msimamo wanakwenda kuchakachuliwa vyakutosha na kisha kupelekwa kwenye meza ya maridhiano
Back
Top Bottom