wenzangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PROFOUND NOTION

    Wakristu wenzangu, nyie mnaombaje hadi kujibiwa maombi yenu. Tusaidiane kwa mapenzi ya kristu

    Nimefunga, nimeshirikisha, nimeomba alfajiri lakini bado tabu ninayopitia inaendelea kunitafuna. Tusaidiane wakuu.
  2. Fortilo

    Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

    Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do. Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali, nimepoteza washikaji wengi sana wengi ma fighter na majina yao yapo humu JF. Wengine X.... Tumesafiri...
  3. chinatown

    Wazazi wenzangu embu jifunzeni kitu hapa kwa nilichokiona nikiwa safarini

    Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na abiria kumi pamoja na mimi.Tulikaa sana pale kama dakika therasini.Tukaanza safari ya DAR...
  4. Perry

    Hivi nyie wenzangu mnawezaje kuishi na wanaume wazubaifu?

    Kuna raha fulani wanawake hupenda kuona mwanaume akiwa na mishe mishe nyingi. Yaani, kaingilia mlango huu, katokea huku, kisha kafika nyumbani, kakaa lisaa limoja, na kuendelea na misele yake. Mwanaume anarudi na mazaga mkononi, mnapiga stori, mnataniana, mnafurahi na kucheka. Kwa kifupi...
  5. comrade_kipepe

    Wanaume wenzangu MNAWEZAJE kutulia na Mwanamke mmoja?

    KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa. Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga...
  6. Brojust

    Wanaume wenzangu hebu nisaidieni, inawezekana mimi ni mgeni kwenye haya mambo

    Salaam wakuu. Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama. Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini. Nawasilisha...
  7. Tlaatlaah

    Huruma imenijia ghafla wadau na wanasiasa wenzangu hasa makamanda kwenye jukwaa hili

    Hivi yule kiongozi wa BAWACHA Aliedai alitekwa, akateswa na kudhalilishwa huko kwenye misitu kibiti anaendeleaje kwasasa makamanda? Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apone haraka. Nimewiwa kumjulia hali tu kwakweli, my friends, ladies and gentlemen 🐒 Mungu ibariki Tanzania.
  8. Magical power

    Product of Tanganyika ; P.O. Box **** KAWE Daressalaam. Inawakumbushani pic. Wahenga wenzangu ?

    Product of Tanganyika ; P.O. Box **** KAWE Daressalaam. Inawakumbushani pic. Wahenga wenzangu ?
  9. Magical power

    Wahenga wenzangu mnaikumbuka hii movie

  10. M

    Kumbe ndio maana huwa nawaona walimu wenzangu wanatembea na mikeka kama 20 barabarani. Madeni yanaleta stress

    Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu. Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni. Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu.
  11. 6 Pack

    Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

    Niaje waungwana Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa. Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel...
  12. Naju23

    Mrejesho: Wazee wenzangu wa 50+

    Kwanza mimi ni mzee wa 51. Sioni dalili yoyote wanaoyopitia wenzangu wa 40s na 50s Jambo moja tu ni hamu ya tendo imepotea japo kikiwaka minawaka kweli kweli mpaka mwanamke anaomba maji. Wenzangu hali ikoje? Magonjwa kama Pressure Sukari Kuishiwa nguvu za kiume Kanza tezi dume Nk Ni...
  13. nzalendo

    Mrejesho: Wazee wenzangu wa 60+

    Sabah al kheir, Naam, ni kuhusu yule mtu mzima mwenzangu ambaye nilimuomba ushauri. Wengi wenu mliniambia nijitose. Basi, nikampa maneno matamu ya kiutu uzima... lakini hakukubali wala hakukataa, akapiga kimya. Zikapita siku kadhaa nikiwa naendelea kutafakari, huku nikiwa na hofu. Wasiwasi...
  14. Maleven

    Nyie wenzangu wake zenu wanaomba msamaha?

    Mi akijitahidi sana anasema "basi sawa yameisha" Au "tufanye yaishe" Na likiwa more obvious anajifanya kulia, lakini hawez sema " Nimekosa mume wangu sitarudia" Kwanini?
  15. Eli Cohen

    Eti ma-senior wenzangu katika kilele chao kati ya Ray-C na Lady Jay Dee, nani alikuwa bora kuzidi mwenzie?

    Mamaa wa kiuno bila mfupa. Binti machozi, Komando Jide Kuleni vyuma kidogo: https://youtu.be/mJs7rPVBRn4?si=ueTatlNOl8Z78ZRU https://youtu.be/N046uBmyZZQ?si=ks60wBXIhtUHrv8s
  16. papag

    Marekani: Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote

    Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani. Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
  17. Loading failed

    Wenzangu mkiambiwa hamna utu na wake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha yaendelee?

    Ndugu zangu.. Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo Sasa . Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata...
  18. K

    Tunawaonesha dharau wananchi katika kutamka itifaki zetu, tuwaombe radhi kisha tujisahihishe tukae kwenye mstari

    Nilisikika huko Ndotoni Katika Ulimwengu wa Kiroho pale nilipotekwa na Majambazi ya kisiasa na Kisha kuvutishwa Bangi bila ridhaa yangu kisa tu wanadai maneno yangu yanawaamsha watu na hivyo kuweka Hali ngumu ya kuwanyonya Kama zamani wakati ule wakiwa wananchi hawajielewi. Nikaanza kuropokwa...
  19. Gai da seboga

    Wazee wenzangu wa Airdrops ' Sasa Binance Wamekuja Na Moonbix, Wakati wa kupiga Hela.

    Binance ni exchange number 1 Duniani nayo wamekuja na airdrops kwa Jina la Moonbix Hii ni rahisi na tutaunda $1000 kirahisi zaidi. Inakuchukua sekunde 11 kujoin n kuwa rewarded https://t.me/Binance_Moonbix_bot/start?startApp=ref_715554966&startapp=ref_715554966&utm_medium=web_share_copy
  20. Bunchari

    Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

    Habari ndugu zangu Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi...
Back
Top Bottom