Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya 😋😋.
Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
Mtanzania Vivian Larsen aliyekuwa akiishi Nchini Denmark ameripotiwa kukutwa akiwa amefariki nyumbani kwake Nchini humo akiwa peke yake nyumbani huku ikiwa haijulikani ni lini umauti umemkuta wakati mume wake yupo safarini kikazi.
Juhudi za kuwasiliana na Polisi nchini kupata taarifa zaidi...
Tujenge hoja vizuri maana Rais kasema nae huwa anaperuzi JF.
Sasa hajasema ni jukwaa gani, huenda ni jukwaa hili pendwa.
Tulitumie vizuri, tuweke hoja zenye mashiko.
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea sijui nakosea wapi. Nina mchumba wangu tumemaliza mwaka sasa nikimpanda ila hashiki mimba na anaingia period kama kawaida.
Nawaza labda naeza kwenda kujaribu kwa mwanamke mwingine kisha inase na sipo tayari kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya huyu.
Kama...
Habari jf ,kwanza niweke Wazi Mimi ni mfuasi wa lile kundi linalosemwa vibaya la Hayati JPM na msimamo wangu utabaki pale pale ndiye best president to rule this country .
CHADEMA kiuhalisia ukiwatoa Wilbroad slaa na Tundu Lissu hakuna kiongozi aliyewahi kuwa serious na kuchukua Nchi ,ni huwa...
Usikae tu home na vijiwe viisvyo maana.
Hata kama sio Mlevi, Toka nenda Kiwanja ambacho unajua wastaarabu wanakaa.
Huko ukutane na RC, DC, RAS, DAS, DED na Ma CEO mbalimbali. Hawa watu typically ni Walevi, ni wanywaji Pombe haswaa, nahuko Niko wanakutana kupeana michongo.
Sio lazima unywe...
Mashosti, nawaaambia tu kwa uzoefu. Epuka sana mwanaume ambaye si mzungumzaji sana. Mwanaume ambaye yupo serious muda mwingi. Asiye na matani sana. Epuka aina hiyo ya mwanaume.
Mwanaume wa hivi akisimama nyuma yako au akipiga magoti nyuma yako. Wallah nakuambia huko kutawaka moto. They know how...
Mimi ni msichana miaka 30. Naishi Tabata Segerea.
Nilikuwa cashier wa kampuni kwa miaka 3 likatokea tatizo nikaomba ruhusa kurudi kawekwa mtu mwingine.
Naombeni kazi ya duka kkoo sijajuwa utaratibu wa kupata kwenye yale maduka au kama kuna mtu anakazi naomba ntaifanya kwamoyo wangu wote.
Nipo...
Asalaam alaikum?
Nitoe hadhari ya kipekee kwa wanaume, kumekuwa na hamasa za vibwagizo vya kupiga deki uke wakati wa game za minyanduano, hata kutoka kwa baadhi ya watu wenye heshima kama mashekhe, na wachungaji. Imani yangu hawa watu hasa viongozi wa dini nahisi ni feki kabisa.
Nitoe rai...
Kutongoza Mke au Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu na Kumbandua / Kumpekecha?
Kuwa mwepesi Kushawishika na Mke / Mpenzi wa Rafiki yangu wa Karibu ili nilale nae / nimpekeche?
Je, Mimi ni Mshamba na hiki nikifanyacho ni Ushamba na Uzembe na kwamba hawa 99% ya Wanaume Wenzangu wanaofanya...
Hellow
Mimi mpaka leo sijuwagi kwanini washikaji wanakataa mimba za mademu zao ilihali wao ndio wahusika
Ujue kuna vitu unatakiwa ujiepushe navyo kwenye lile tendo mfano hutaki kuzaa na huyo mwanamke basi mwaga njee au vaa kondom au kama huwezi ukitoka hapo mpe p2 japo sio nzuri sana.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.