Wana Simba SC Wenzangu hivi kweli tukuacha Unafiki wetu na Roho Mbaya yetu iliyopitiliza Beki wetu Henock Inonga kacheza vyema kwa Msimu huu kuliko Beki wa Yanga SC Dickinson Job?
Dickson Job ambaye Kacheza vyema Beki wa Kati, Beki za pembeni ( Kulia na Kushoto ) na Kazimudu villivyo unaweza...
Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM ametoa tahadhari wa Wananchi dhidi ya Matapeli wanaojifanya kutaka Katiba Mpya kumbe ni Kwa maslahi Yao binafsi ya Kisiasa..
My Take
Naunga mkono hii hoja maana suwaoni asasi za kijamii kupigania Wananchi badala yake ni Vyama vya siasa ndio wako mbele mbele...
Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
Sisi ndiyo Simba, ile kauli ya nguvu moja huwa ina balaaa usiombe ukutane nayo.
Makelele yalikuwa mengi sana hapa mjini, oohhhh kombe kombe, kibaya zaidi wakatutukania kocha wetu. 😡
Nyie Yanga mkae mkijua shughuli haijaisha tunapanda ndege na nyie tunaenda kuwazika huko ngeledeki.🤫
Aisee kama hujaajiriwa kipindi hichi cha Rais Samia sidhani kama utaweza tena kupata ajira za serikali.
Miaka ijayo kutakuwa na mtu atakuja kwa mgongo na sera za Magufuli naye atapata Urais, na hapo ndipo kilio kwa wasomi kitakuwa kikubwa zaidi ya kile cha awamu ya tano. Ukizingatia idadi ya...
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.
Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.
Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
Habari wanaJamiiForums.
Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana...
Watanzania maskini na wa hali ya Kati Km mie kwanini mnapenda kushobokea matajiri au watu wanaopiga hela ambao hawakusaidii hata kidogo? Naona mamilioni mnaowafuata Insta wenzenu wanapiga pesa za matangazo cjui promo cjui ubalozi nyie hamuambulii hata mia zaidi ya kupoteza bundle tu ambazo...
Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na hatuwadai viongozi hakika malengo yetu ya msimu tumefanikiwa. Tuna kombe la robo fainali, kombe la kufa...
Hapo nyuma niliwaletea Rhumba lake Kali liitwalo Se Yo na hata bado hatujatosheka na Utamu wa huo Wimbo tayari Fally Ipupa katuletea Rhumba lingine Kali na Tamu liitwalo MAYDAY.
Litafuteni haraka ili mlisikilize ila kwa Mimi GENTAMYCINE sasa nataka kuingia Chimbo nijue ni kwanini huyu Mtoto...
Juzi nimesikitika mnoo. Koloz wameolewa lakini kiunaume, mnajidanganya wazee kuolewa kuolewa tu. Hongereni pia kuiwakilisha Afrika Mashariki ma kati na kwa hatua ile mliyofikia Kyle Moroko. Nina hakika hata hili la NbC hapa kwetu mtalisikia kwenye Bomba.
Leo nina machache sana ya kushea, Moja...
Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu.
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua Kama Mayele na Beki mbovu Mwamnyeto.
Naombeni wana Yanga SC Wenzangu wote hapa JamiiForums Kesho...
Napenda kuwashauri ndugu zangu Watanzania kujifunza Kiswahili kwa bidii na azma thabiti. Ingawa Kiswahili ni lugha yetu ya asili, ina faida nyingi ambazo hazipaswi kupuuzwa.
Kwanza kabisa, Kiswahili ni lugha inayotumiwa sana katika nyanja mbalimbali kama vile biashara, utalii na utamaduni. Kwa...
Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake.
Hata kama hana kazi alishakuibia?
Alishakuja kukuomba bia?
Alishakuja kukuomba chakula?
Balimi buku jero. Bia nne mtu analewa hoi!
Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu
Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo
Kuringa sana ni kama mtu anateringia gari la mkopo kama vile ni lake
Huku tukijisahaulisha ukweli mchungu...
Heri ya Pasaka!
Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa...
Mimi banaa, nmekulia kwenye huu ustaharabu wa Kila mtu na Sahani yake.
Lakini napo ilikua inanibidi kumwambia mwanandugu tuchanganye Msosi tule fasta fasta , sio kwamba lengo lilikua nikumpiga KO kama ambavyo wengi wasomaji mwaweza kudhania, la Hasha, lengo ilikuaga ni Ili tuwahi kumaliza...
Watanzania wenzangu naomba mniunge mkono tuachane na hizi dini za kuletewa na meli ndege na majahazi!
Kama miaka mia iliyopita walitufundisha kuoa mwanamke mmoja tu tena hakuna kuachana mpaka kifo kitutenganishe tuliwaelewa japo kishingo upande tukauweka pembeni urijali wetu wa kuoa wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.