wenzangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    Kuna muda nahisi na kuona kuwa imani ndiyo kizuizi kwa waafrika au sijui mnaonaje wenzangu

    kwanza salaam! MBALI NA KATIBA KAMA IMANI NI MAENDELEO KWANINI TUSIFUNGE NA KUOMBA TUYAPATE? Natambua kuwa ipo nadharia ya dunia ni duara,unavyopanda mchicha hutaotesha mbuyu abadani kwa nadharia hii inanikumbusha karne moja iliyopita wengi wa mababu zetu walikuwa ni weupe walidanganywa na...
  2. Teslarati

    Maishani mwangu hamna watu ninaowadharau zaidi ya wanaume wenzangu wasiohudumia watoto wao

    Kwanza huwezi kuwa hauhudumii mtoto wako na ukajiita mwanaume, wewe ni mvulana bado. Yaani kama hujafikia level ya kuwa responsible kwa outcomes za matendo yako ikiwemo kidinya papuchi wewe huna sifa za kuwa mwanaume kamwe. Hapa siongelei wanaume wanaojua kwamba wamesingiziwa watoto lkn wale...
  3. Mbulukenge

    Msaada wana JF wenzangu, nina msongo wa mawazo

    Napitia changamoto za msongo wa mawazo, nafikiria kujiua tu. Napitia mfululizo wa matukio yakunikatisha tamaa kabisa. Nmejariwa kusoma but sijawahi kupata kazi. Kinacho niumiza zaidi nlikua nmeachiwa gari 2 za home coaster kufanya biashara. Nlikata TLB ya special hire nmefanya kama miezi...
  4. MubengaJr

    Vibarua wenzangu tuliopita JKT tuliporudi nyumbani tukaambiwa tujiajiri tukutane hapa

    Niwakumbushe vijana wenzangu, ukiamua kwenda JKT kwa matumaini utakuja kuvaa magwanda ya mabaka ili tukuogope mtaani na unajua kuwa huna connection, fahamu wewe umekwenda JKT kufanya kibarua. Mimi nilihitimu kufanya kibarua changu JKT mwaka 2015. Sasa hivi bado ninajitafuta kitaa sielewi...
  5. Mhafidhina07

    Nimeshawahi kulogwa ila kuna vitabu nikisoma najihisi kuwa sijarogwa ila ni akili pandikizi, waswahili wenzangu mnasemaje?

    366 meditation on wisdom- stoicism, law of universal n.k nimejaribu kusoma baadhi ya vitabu lengo ni kuongeza maarifa zaidi kwenye nature law na kujua kwa undani kuhusu akili inafanyaje kazi na vipi naweza kuisaidia jamii yangu kupitia elimu yangu ila by then I was dumb na haswa kuhusu mambo ya...
  6. passion_amo1

    Nasema nanyi wanaume wenzangu

    Wakuu habari za uzima? Leo nataka niongee na baadhi ya wanaume wenzangu wanaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwao kana kwamba sisi wanaume hatukosei kwenye jamii wakati maovu yote yanayofanywa na wanawake ni sawa tu na maovu yote yanayofanywa na wanaume. Wanawake wanaochepuka...
  7. Chizi Maarifa

    Wapalestine wenzangu mmeniacha peke yangu, msikate tamaa

    https://www.aljazeera.com/news/liveblog/2024/1/19/israels-war-on-gaza-live-us-support-for-israel-ironclad-despite-rebuff sisi Hamas.... tutaendelea kupeana tough na kuwatia moyo wenzetu. hali ya Israel najua kwa sasa ni mbaya sana wanakufa tu kama kumbikumbi. naona wenzangu kama mmepotea...
  8. azithromycim

    Nafanyiwa figisu na wafanyabiashara wenzangu kwenye biashara yangu

    Habari Wana jamiiforum. Bila kuwachosha naenda kwenye mada moja kwa moja. Nimejikamua Kama kijana nimeamua kufungua liquor store yangu mkoani Tanga ambayo inafanyakazi masaa 24 kila siku za wiki. Sasa nauza vinywaji kwa bei ambayo Mimi napata faida Mfano:- Highlife -2000 Double kick -2000 Block...
  9. Trubarg

    Wanaume wenzangu huwa mnarudi nyumbani saa ngapi?

    Mimi maximum saa tano usiku. But most of the time saa moja nipo nyumbani. But napenda wakuta watoto bado hawajalala. Sipendi wife kuwalaza watoto mapema hasa napotoka jioni kuonana ma washikaji.
  10. P

    Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

    Umofya kwenu! Husika na kichwa cha mada hapo juu. Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .
  11. Kamanda Asiyechoka

    Makamanda wenzangu, Mbowe hajafurahiswa na hukumu ya jaji Mkeha. Anachowaza ni ruzuku tu. Pia nyuma ya pazia ana jambo..

    Ill will ya mtu huonekana kwa vitendo tu. Tokea hawa Covid 19 wawekwe Bungeni kwa nguvu na Ndugai. Mbowe anaonekana kufurahia jambo Ndio maana hata hukumu ya jana kimtindo hajaifurahia. Mimi nimeona demeanor yake. Anachowza ni ruzuku tu.
  12. Naanto Mushi

    Hivi wakatoliki wenzangu zile ndoa za wengi za misa ya usiku bado zipo? Nataka nifanikishe jambo langu

    Ukweli huyu ninayemuita mke wangu, hatuna ndoa kamili ya kanisani, pamoja na kuishi miaka 8 na kubahatika watoto wawili (Miaka 7 na miaka 3). Sasa msukumo wa ndoa umekuwa mkubwa sana kutoka pande zote, na yeye mwenzangu naona hii kukosa ndoa inampa sononeko maana wazazi wake wanaogopa nisije...
  13. MamaSamia2025

    Faida nilizopata baada ya kujitolea kuwapa wajasiriamali wenzangu namba za machimbo ninayonunulia vitu nchini China

    Jikumbushe kwanza huu uzi; https://www.jamiiforums.com/threads/ninajitolea-kutoa-namba-za-machimbo-ya-china-kwa-wapambanaji-wenzangu.2137915/ Nia yangu ilikuwa kusaidiana bila kujali kupata chochote baada ya hapo ila katika hali ya kushangaza baadhi ya wachina ambao tumeshakuwa marafiki sana...
  14. Mkwawe

    UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

    Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa   Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU Bwana Yesu alisema " Mathayo 10:16 Angalieni, mimi nawatuma...
  15. Liverpool VPN

    Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

    GREETINGS Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa"" Twende kwenye hoja..... Hivi wewe kijana wa kiume mwenzangu kwanini uwekeze kwa mwanamke huku unajua kuwa ukipoteza huwezi vumilia hiyo hasara? BODY:- Mi...
  16. M

    Wana Yanga SC Wenzangu MINOCYCLINE nimeshamaliza Kazi, twendeni kwa Mkapa Simba SC anafungwa 4 kwa 1

    Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu. Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli. Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba...
  17. Expensive life

    Vidume wenzangu hii tuiitaje?

    😀😀😀 Sema chochote utakacho nitakupa.
  18. Mhafidhina07

    Walalahoi wenzangu hivi ili joto hamlioni au mie peke yangu!

    Dar na zanzibar ndani hakukaliki,ivi ndiyo vita au jua lipo closet to the earth.?
  19. Lycaon pictus

    Leo nimefurahi na kusikitika sana baada ya kuwakuta Watanzania wenzangu wanajadili suala la umeme

    1. "Mmesikia hotuba ya Rais, eti kampa miezi sita umeme ukae sawa." 2. "Sasa miezi sita si mabwawa yatakuwa yameishajaa. Umeme utakuwa wa kumwaga." 3. "Wanatufanyia usanii tu." 3. "Lakini mbona maji tunayo mengi tu. Yamepungua maji wapi? Kwanini wasitumie maji ya baharini kujaza kwenye...
  20. MamaSamia2025

    Ninajitolea kutoa namba za machimbo ya China kwa wapambanaji wenzangu

    Ili kuunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM leo nami nimeona nichangie angalau connection ya machimbo kadhaa ya vitu mbalimbali huko China. Haya ni machimbo ambayo nimekuwa nikifanya nayo kazi kwa miaka kadhaa sasa. Ninatumaini itasaidia kwa wapambanaji ambao wanahangaika kupata connection hadi...
Back
Top Bottom