Ndio maana wanaume wengine kabla haja lala Na mwanamke mpya huwa wanaomba watumiwe Kwanza picha za utupu at least waone muonekano WA ndani.
Siku hizi imekuwa NADRA Sana kukutana Na mwanamke ambae Hana makovu makovu au maukurutu katikati ya mapaja.
Tatizo Ni Nini? HII ishu huwa inanikata sana...
Ndugu zangu naomba mnisaidie wapendwa!
Iko hivi Mimi ni mweusi lakini Nina shingo jeusi sana tofauti na rangi ya sehemu zingine za mwili! Nimetumia home remedy imeshindikana na sitaki kujichubua!
Naombeni msaada wenu !nipeni njia itakayonipa matokeo chanya pasipo kujichubua.
Nawasalimu kwa jina la HIP HOP
Mwana mziki wa Hip hop P mawenge a.k.a P the Mc katuacha na mshangao wadau na wapenzi wa muziki wa hip hop baada ya kutoa ngoma inayokwenda kwa jina la NAHAMIA WEUSI.
Ikumbukwe kwamba P mawenge ni member wa kundi pinzani la weusi linalotamba kwa jina la Kikosi...
Hata kama ujabahatika kutembelea nchi za Europe au America. Lakini utakuwa umejionea kwenye social media
Kuna baadhi ya vitu sisi weusi tumekuwa tunavipenda na vimekuwa sehemu ya utamaduni wetu. Mfano bling jewellery, hair(mfano extensions, wigs, n.k), cosmetics, vyakula na vingine vingi...
Katika sehemu mbali mbali nimeona wazanzibar weusi na machotara wakikataa asili yao ya kutokea huku bara, sasa sijajua wanaukataa ukweli kwanini.
Hapo zamani wafanya biashara wa watumwa walifika visiwa vya zanzibar na kulikuwa na watu wenye asili ya kibantu wachache kwenye visiwa hivyo, hawa...
Kwako mheshimiwa balozi wa China Tanzania
Naamini huu ujumbe utakufikia
Mimi nakuuliza swali, kwa nini ndani ya nchi yenu China kumekuwa na kampeni mbaya kabisa za kibaguzi dhidi ya watu weusi, mnafikia hatua za kuwafundiha watoto wenu chuki.
Kwa nini mnawabrainwash watoto wenu kupitia chuki...
Wakubwa nlipitia sana life la Msuba na Chiga nyingi wakati nikiwa na saka life.
Sasa yale maisha nisha ya kacha ila kinacho ni boa lips zimeungua zimekuwa nyeus flan hivi kiasi kwamba kila mtu akiniona ananiambia vipi unavuta bangi asee huwa na boreka kinyamaaaa.
Au ukipiga story ukicheka...
Nelson Mandela aliitwa GAIDI na makaburu weupe wa Afrika ya Kusini na kufungwa jela kwa miaka 27. Baadaye gaidi akawa rais wa nchi... naye alikiri kwa kusema, In my Country , we go to prison first, and then we become President!...
Nelson Mandela (1918–2013) was a South African black nationalist...
Kuna wimbi kubwa sana la Wamerekani weusi wanahamia Africa na Tanzania lakini uhamiaji wanakuwa na wasiwasi.
Mawazo yangu badala ya kuwanyima viza tufaute utaratibu mzuri wa win win situation.
Wengine ni walimu, wajasiriamali tunaweza kuweka utaratibu wa wenyewe kuishi na bado kunufaisha...
Kwa asili mimi ni mweupe lakini kuna hali ya weusi kwenye paji la uso hali inayofanya kuwa na rangi mbili. Kwa mtaalamu mwenye uzoefu na hii hali maana JF ina watanashati wengi tuelimishane ni sabuni au mafuta gani yataondoa hii hali ya mabaka, nimejaribu apricot scub sioni matokeo.
Nawasilisha.
Duniani leo karibu kila aina ya muziki utakuta watu weusi wana mkono wao. Kama hawakuanzisha basi walichangia pakubwa kuanzishwa kwake. Na sehemu kubwa ni wamarekani weusi.
1.Raggae, huu mziki ni kama ni wa watu weusi tu. Wameanzisha na wanauendeleza.
2. Jazz, huu wa watu weusi.
3. Hip hop...
Nimesikia kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi kwa sababu wanakimbia kuchanjwa kinga ya corona.
Pia sababu nyingine ni kuipenda TZ kwa sababu ya JPM walivyokuwa wanamhusudu.
Hivi kwanini wanaume wafupi wakivaa suti hawapendezi. Hta hawakai vizuri wanakuwa km wametundikwa au wamefunikwa hawapendezi hta kidogo. Unaweza kusema ni kafurushi sijui cha nn. Wanakuwa hawaeleweki.
Alafu awe mfupi halafu mnene hee ukimuona unaweza ukageuza njia kwa hofu. We km unajijua...
Nimefanya utafiti wa takwimu za rangi na matabaka ya kijamii na ambavyo wanaathirika na mfumo wa utoaji haki na kuzuia uhalifu nchini Marekani
1. Wamarekani Weusi wako hatarini zaidi kuuawa na polisi
Takwimu ambazo zipo wazi kwa matukio ambayo polisi wameua raia kwa risasi zinaonesha kuwa kwa...
Katika race zote duniani nafikiri watu weusi ndiyo wanaongoza kuvaa kwa fasheni na kujipamba. Mambo ya mikufu mikubwa na ghali, pete nyingi, bangili na hereni ni kawaida kwao, hiki si kwa manaume au kwa mwanamke.
Mtu mweusi popote duniani anahusudu sana mavazi na anatumia gharama kubwa sana...
Wakuu, leo tugusie hawa watu wanaitwa Wamarekani weusi, hawa jamaa bana wanahistoria ndefu sana na yenye mateso, ila Mungu si athumani pamoja na kupitia mateso yote still wapo wana exist.
Tunajua kwamba wamarekani weusi ni ndugu zetu waliochukiuliwa utumwani miaka 400 iliyopita, waliuzwa kama...
Of course habari zao za kesi za kusafirisha madawa ndizo tunazozisikiaga ila amini usiamini hawa ni idadi ndogo sana, ila ni vile tu ndio habari pekee ambazo wengi huzisikia.
Aisee hawa viumbe waliotapakaa kila kona ya dunia sio siri wana kitu cha ziada.
Huko Marekani Wanaijeria wanafanikiwa...
Kiukweli linapokuja swala la mwanamke kwangu inabidi awe mweusi kwakweli.
Huwa inanipa hisia za ushindi kwamba nimepata mwanamke adimu ambaye hajajichubua na ni mwafrika orijino.
kwa sasa nimeo na mke wangu ni mweusi, na hata hapo zamani nilikuwa kinganganizi msumbufu mno kuhakikisha binti...
Yani ukipita instagram, kila mtu anauza dawa za kuchubua ngozi ili "kutakatisha ngozi"
Muda huo huo tunasikia watu fulani wanasafilisha dada zetu kunyanyaswa nje ya nchi!!
Tunasikia, ndani ya lugha ya kiswahili, ngozi ngeni zikisifiwa: "flani flani ana mzuri kweli kwani ana-asili ya kihindi"...
Wakuu...
Katika kipindi cha makuzi yangu kuanzia naanza kujitambua mpaka kipindi cha miaka ya kuanza kubalehe hivi nilikuwa na midomo (lips) ambazo hazikua na weusi hata kidogo. Hazikua zimeokoza ile pink lakini zilikuwa na rangi nzuri tu.
Baadae sijui nini kilitokea. Kwa sasa nina lips nyeusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.