Hizi bunduki(neno la kiarabu) ulaya zilianza kutumika miaka ya 1500. Asia, Uarabuni , India na kwingineko hawakuchelewa kuanza kuzitumia. Hata wakati wazungu wanaenda kuchukua makoloni walikutana na watu wenye bunduki.
Ajabu sisi hadi miaka ya 1800 na 900 mwanzoni tulikuwa bado hatujaadapt...
Huyu mwamba ni habari nyingine mazeee
Ana mistari matata sana, kwenye hii sanaaa
Leo nagusia sehemu ndogo sana ya mistari yake kwenye track mpya ya pamoja kutoka weusi (mbuppu)
Pia nitaonyesha uhusiano wa michano yake na jigga
Daah huyu jamaa anajua ukiachilia flow hatari haijawahi tokea...
Msanii maarufu wa rap music Curtis Jackson ama 50 Cent mzee wa just little bit, 21 questions, amusement park amesema watu wachague Donald Trump.
50 Cent ameendelea kudai kua watu wanaosema Trump hapendi watu weusi ni watu waliochanganyikiwa, watu wasio na akili.
Fact Checking: Trump ndie rais...
Njombe ni mmoja wa mikoa 31 ya Tanzania, uliorasimishwa kuwa mkoa mwaka 2012 mara baada ya kutenganishwa na Iringa inayopatikana Nyanda za Juu kusini Kwa Tanzania. Hapo awali Njombe ilikuwa ni wilaya ndani ya mkoa wa Iringa ikiwa ina ukubwa wa eneo la mraba la Km 21,347. Sensa ya mwaka 2012...
Pongezi kwa kusimamia weledi wa fani yenu. Nakumbuka tangu Uchaguzi Mkuu wa 2010, 2015 na wa mwaka huu mmeendelea na msimamo wenu wa kutotumika kupiga kampeni kwenye upande wowote wa siasa.
Hii ni nzuri sana ili kutowagawa mashabiki wenu.
Keep it up
Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.
Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
Vijana 8 kutoka kundi la Tamaduni Music ambao wameji-organize na kuunda kikundi walichokipa jina la Kikosi Kazi Kazini (KK)
Naweza nikasema kwa ngoma mbili hizi walizotoa Kikosi Kazi zinatosha kabisa kuficha nyimbo zote walizowahi kuimba Weusi.
Hivi kama nyimbo ya SALA utaifananisha na nyimbo...
Wasalaam, naongea ukweli umasikini wetu watanzania umetengenezwa na CCM kwa maslahi ya kakikundi ndani ya jamhuri ya muungano kamajiita CCM. Nasema haya maana tangu Uhuru tumetawaliwa na CCM kwa maslahi ya CCM.
Kwanini nasema tunatawaliwa na CCM? Ni kwa sababu mpaka Leo watanzania hatuna Uhuru...
Watu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.
Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao walikuwa weusi.haya walikuwa weusi.so what?
Hebu niambie na maisha yako hayo mazuri au ya kuunga unga...
Msanii wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi nchini Tanzania, Godfrey Nyahongo maarufu 'Bonta Maarifa', ambaye mwaka 2015 alitunga wimbo uliokosoa kabisa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu kuwa ni 'Mauongo Time', amechukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kuwania Ubunge Jimbo la Kahama Mjini.
Bonta kitaaluma...
Wadau naomba kujua tatizo linalofanya weusi kama fungus kwenye patio na jinsi ya kutatua tatizo hilo kwenye hizo pavement. Tafadhalini naomba ushauri kama kuna fundi pia wa kazi hiyo.
Ngozi ya watu weusi inachelewa kuonyesha dalili za uzee ikiwemo kukunjana. Hii ni kutokana na maumbile yetu.
Tukiweza kuimarisha huduma zetu za afya tunaweza kuishangaza dunia kuweza kuishi kufikia miaka 150.
Aging Differences in Ethnic Skin
Neelam A. Vashi, MD, Mayra Buainain De Castro...
Biashara nyingi za wafanyabiashara ngozi nyeusi hufa mwanzilishi akifa tofauti na za wahindi,waarabu na wapemba
Wahindi ndio wanaongoza duniani kwa uwezo mkubwa wa familia kuweza kuendesha biashara.
Nashauri wafanyabiashara wa ngozi nyeusi wapeleke watoto vyuo vikuu vya India wakachuke degree...
Baada ya kifo cha George Foyd nchini Marekani kumezua maandamo katika majimbo mbali nchini Marekani. Huku maelfu kwa maelfu wakiandamana kupinga vitendo hivyo nchini Marekani.
Mwitikio kufuatia tukio Hilo nchi mbali za ulaya zikiwa zimeguswa na hatimae kuanza maandamo na zenyewe.
Maandamo...
Huyu ni Professor Steve Loche, mhadhiri wa chuo kimoja katika jimbo la Massachusetts na ufuatao ni mkasa uliowahi kumkuta kwa sababu tu mi mtu mweusi...anaeleza:
“This is what I wore to work today. On my way to get a burrito before work, I was detained by the police.
I noticed the police car...
Nimeshuhudia sehemu maandamano makubwa sana kipindi hiki cha hivi karibuni baada ya mtu mweusi kuuwawa na polisi weupe huko Marekani, bwana Floyd.
Baada ya hicho kifo watu wameandamana nchi nyingi za bara la Amerika na Ulaya.
Nimeona tshirts, posters na matangazo kibao ya black lives matter...
Hulo Texas Marekani wazungu wafanya maombi ya toba na msamaha kwa Mungu na watu weusi wasamehewe kwa ubaguzi wa rangi, chuki na unyanyasaji waliowafanyia kwa miaka mingi.
Wakuu.
Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu napenda kuwakumbusha vijana wa nchi hii, hasa wale wanaotoka familia masikini mijini na vijijini kuwa imewapasa kuelewa kuwa nchi hii inapelekeshwa na hawa wakoloni weusi wa CCM kwa sababu wao wana advantage moja ya kuwa na urahisi wa kuitafuna keki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.