Mwandishi wa hii makala anaitwa Clare C, ni mtu aliyesoma China, anaelezea alivyokuwa akibaguliwa na wachina kwa mfano alikuwa akikaa kwenye seat kwenye chombo cha usafiri wachina wananyanyuka, wanadai eti waafrika tuna HIV na Ebola.
Alikuwa akipita njiani wanamchukua video, wanamkodolea macho...