wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Mudathiri Yahya uliokuwa ukiwapigia simu siku zote walitaka waonane na wewe ana kwa ana, nadhani umewaona jana?

    Wewe kila siku ukifunga magoli ya ndondocha unapiga simu, washabiki wako wakawa wanasema kuwa viongozi wa Azam ndio unawapigia simu lakini hawapokei, sio kwamba hawapokei, viongozi wa Azam wana adabu sana, kwa sababu walikulea wenyewe, ukaondoka ukarudi tena bado wakakubeba, ukawa unaleta nyodo...
  2. George Charles007

    Nini kitatokea iwapo uko mbele ya hakimu aliyekushuhudia ukivunja sheria, ila ushahidi aliyoletewa kwa ajili ya kukuhukumu unaonesha hauna hatia?

    Mfano hakimu kakushuhudia ukiiba, alafu hakimu huyo huyo ndiye anayekuhukumu akapelekewa ushahidi unaosema huku husika na tukio hilo. Nini kitatokea wana JF?
  3. Msanii

    Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

    Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo ni ya kupewa na wazazi ama jamii yako lakini hayana uhusiano na wewe as mtu. Lakini, unachokitaja...
  4. Stability

    Je wewe au rafiki yako u/aliwahi kufanikiwa kibiashara baada ya kumshirikisha mganga?

    Kuna nyakati unaweza kupitia katika biashara yako ambapo unaona unaelekea kuanguka vibaya sana na bado unafamilia na bills nyingine. Inaweza kuwa sio usimamizi mmbaya ila labda ni factors za hali ya kiuchumi na factors nyingine ambazo hata wewe haulewi mambo yamekuharubikiaje. Inapelekea sasa...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Hupaswi kutafuta fedha, unapaswa kujiongeza thamani ndipo fedha zitakutafuta wewe

    Mtu anayetafuta pesa ataishia kupata pesa ya kula siku moja au mbili kisha atakuwa mtumwa daima. Yaani kila akitaka kufanya jambo lazima ahangahikie pesa ya hilo jambo kisha atalifanya kwa taabu na kurudi tena kuhangahikia fedha . Itakuwa ni cycle ya maisha yake mpaka uzee au kifo No rest time...
  6. Hakuna anayejali

    DOKEZO Nini kifanyike bajaji na bodaboda kutosimama kwenye zebra?

    Habari, katika kutembea kwangu hapa na pale nimegundua tabia za madereva bajaji na bodaboda wengi hawatii sheria za barabarani, gari linasimama zebra lakini hao jamaa wanapita kushoto au kulia au hata wanapishana na mtembea kwa miguu katikati ya zebra. Na wakati mwingine wanaona toka mbali mita...
  7. F

    Nenda tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe chukua kadi ya uanachama mapema utafurahi 2025

    Usisubiri hadi 2025 ifike ndio ukurupuke kutafuta kadi ya CHADEMA hasa kama unataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya CDM. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada, chukua nafasi yako mapema kabla hujachelewa. Nenda kwenye tawi lolote la CHADEMA lililo karibu na wewe, chukua kadi ya uanachama...
  8. Magufuli 05

    January Makamba tunajua Hayati Magufuli alikubatiza kwa moto, Unapoteza muda tu

    Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na tapeli hata siku moja. Hayati Magufuli asingeweza kufanya kazi na mbabaishaji hata siku Moja. Hayati Magufuli alikuwa smart na straight forward. Alikuona wewe ni hovyo akakuweka kando. Sasa umebaki na taarabu tu. Wewe pamoja na kinana mlikuwa na...
  9. Intelligent businessman

    Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

    Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua mapenzi yanaweza kukurudisha nyuma kama usipoingia kwa akili?Ila mapenzi ni matamu sometimes lakini...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Acha uzinzi, unajimaliza wewe mwenyewe

    Kumekucha! Baada ya kuwapopoa wanawake ombaomba wanaojificha kwenye kichaka cha mapenzi sasa nawarudia vijana wazinzi (both men and women). Uzinzi haujawahi kuleta tija kwa mtu yeyote tangu Dunia ianze. Uzinzi ni dhambi, hautoshelezi. Ni tendo lisilokata kiu.
  11. F

    Zitto Kabwe kimsingi ACT ndiyo itakufa zaidi kwa wewe kuondoka

    Vyama vichanga vinataka malezi marefu hadi vikomae na kujengeka vizuri. Waanzilishi wa vyama ndiyo wabeba maono ya vyama na pindi waondokapo kwenye nafasi zao kabla ya chama kukomaa basi chama hicho huishia kupoteza maono. Kwa kuondoka kwa Zitto kwenye uongozi wa juu zaidi wa ACT tutarajie...
  12. Nyani Ngabu

    Kama mpaka leo hujui shida za wananchi, wewe hufai kuongoza!

    Tumeshatoka huko. Huko ambako Rais anatenga muda wa kukutana na wananchi wachache na kuzungumza nao juu ya shida zao. Kwa wakati huo, hizo shida za wananchi zilipata afueni? Jibu ni hapana. Jana imetangazwa kwamba Bi. Kiguu na Njia [nasikia jana katua Nigeria huko]naye ataanza tena huo...
  13. G

    Unadeal vipi na Mwanamke anaelalamika pesa unayompa haimtoshi kisha anakubana kwenye 18 aipate wapi wakati yupo na wewe tu, au umpe ruhusa adange?

    Halafu unakuta ni pisi ya kwenda + wife material, umemkuta yupo 22 akiwa bikra (mali adimu), hazijui jeans wala suruali, anakupenda kuzidi unavyompenda. Shida inakuja mwanzoni wala alikuwa hakuombi hela au akiomba ni kidogo tu, ila sasa anakwambia kaamua awe na wewe serios relationship so ni...
  14. mkushiOg

    Utatendewa namna ambavyo na wewe unamtendea mwenzi wako

    Habari wana jamii, me nmekuwaga msomaji wa humu muda mrefu tu na mm sasa nimeamua kuwa member. Moja kwa moja kwenye mada eewe mume mjali na mpende mkeo hata kwa 60% then endelea na mambo yako ya nje huko. Sasa wewe huonyeshi mahaba kwa mkeo michepuko imekuzidiaa tendo la ndoa ni lakutafuta...
  15. O

    Uaminifu: Mke ajitunza miaka 17 kumsubiri mume wake atoke jela. Wewe ungeweza?

    Mwanamume aliyefungwa jela miaka 17 amemaliza kifungo chake na amemkuta mkewe akiwa mwaminifu akimsubiri amalize adhabu yake waendeleze maisha. “Nimefurahi sana kwa sababu mume wangu ameachiwa huru baada ya miaka 17 ya kifungo jela. Nimekuwa nikimsubiri kwa miaka yote. Nimevumilia sana, lakini...
  16. Mr George Francis

    Kama ungekuwa wewe ungefanya nini?

    "Kwa muda mrefu mke alikuwa akidhani kuwa mumewe anamsaliti kwa kutoka kimapenzi na (house girl/ maid) mfanyanyakazi wao wa kazi za ndani. Hivyo, akapanga kufanya mtego ili aweze kufanya fumanizi. Sasa alichokifanya siku hiyo akamrudisha house girl wao kijijini, arafu yeye akaenda kulala...
  17. Eli Cohen

    Wewe au Rafiki yako u/aliwezaje kudhibiti Sex Addiction?

    Too much of something is harmful. Ukishakuwa na uraibu wa ngono ina affect maisha yako katika nyanja za uchumi, afya, perception mbaya kutoka kwa jamii na afya ya mahusiano hususani ndoa. Tofauti kuwa wanaume ndio tunaonekana wapenda ngono sana ila Sex addict anaweza kuwa ni mwanamke pia...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

    Kwema Wakuu! Kuna aina tatu za Maskini. 1. Maskini wa kutupwa (Fukara) 2. Maskini wa kawaida 3. Maskini aliyechangamka. 1. Maskini Fukara Maskini Fukara hili kundi ni wale Watu ambào kula yao ni mshikeshike, hawana pakuishi, yaani hawa ndio huitwa hohehahe. Hawa kwa asilimia kubwa wamekata...
  19. Candela

    Elon Musk anakaa tu na wanawake haoi wewe kapuku unapambana

    Kuna watu wanahangaika na wanawake pasua kichwa kuwatuliza ili wawaoe wawe wake zao. Huko duniani kuna Musk hajaoa na ana watoto zaidi ya 10. Wanaume nawashauri kama unaweza kulea tengeneza tu masingo maza wa kutosha. Kwa mwaka piga mimba hata 3 sio unakaa unasubiri mtoto kila baada ya miaka mi3.
  20. KING MIDAS

    Je, na wewe uliziona ndege 12 zikitembea kwa mstari jana usiku?

    Usiku wa jana mida ya saa moja kuelekea saa mbili niliona ndege 12 zikiwa zinaenda taratibu sana kwa mwendo wa Pole zikipita kwenye anga la nyumbani kwangu Bahari Beach. Mara ya kwanza nilidhania ni vimondo, ila nikasema hapana, nikadhania sasa haya ndio mambo ya UFO yenyewe, lakini baadaye...
Back
Top Bottom