wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Manfried

    MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
  2. Mr Why

    Hongera sana Mbowe kwa msimamo wa kubaki CHADEMA. Tambua kuwa mpango wa kukuondoa ulikuwa kuua Chama. Nashkuru umegundua hilo

    Hongera sana Mh Mbowe kwa msimamo wa kiume wa kubaki CHADEMA, tambua kua mpango wa kukuondoa wewe ilikuwa kuua chama nashkuru umegundua hilo. Mh Mbowe hongera sana ufahamu wako umefunguka kama nilivyokuombea. Mh Mbowe mpango wa kukuondoa CHADEMA ilikua kuua chama kwasababu Lissu ni mharibifu...
  3. kajamaa kadogo

    Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

    Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
  4. Morning_star

    Usijizime data! Wewe kama ni msomi unaijua fika kuzimu hile ya Biblia ikoje!

    Utangulizi: Katikati ya kiini cha dunia kuna joto kali sana, na halijoto ni kuanzia 7200–9000℉ (4000–5000℃) linasababisha kuungua na kufanya uji wa mawe, miamba na madini magumu kama nickel. Hapa kwenye kiini (core/mantle) kuna joto lenye shinikizo (pressure) kubwa kiasi cha kuweza kutoka nje ya...
  5. R

    Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

    Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe. Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
  6. Vegetarian

    Tunapoelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA, nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama

    Tunapoelekea kwenye Uchaguzi mkuu wa chama nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama. Hususan Yeriko, Boniface, Kigaila miongoni mwa wengine. Tangu makamu mwenyekiti TL alivyotangaza nia ya kugombea nafasi ya uenyekiti hao makada wamejitokeza hadharani na kumshambulia...
  7. Alex Muuza Maembe

    Mambo ya Msingi Sana katika maisha

    (1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili. (2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula. (3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika au...
  8. M

    Wanapoona ukuta wewe ona njia

    WANAPOONA UKUTA WEWE ONA NJIA 😊 Njia wanazopita mashujaa ni zile ambazo watu dhaifu waliona ukuta, jicho la shujaa sio rahisi kuona ukuta bali litaona namna ya kuruka huo ukuta 😊 Moja sababu inayofanya matajiri karibu wote waitwe washirikina ni kwa sababu walipita njia ambazo zilionekana...
  9. X

    Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

    Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for...
  10. Rozela

    Kipimo: Kama wewe sio kichaa usikomenti hapa

    Kama una changamoto ya afya ya akili komenti chochote. Madaktari wa akili kaeni karibu mnaweza pata wateja.
  11. Mindyou

    Rais Samia: Kabudi nimeipitia vizuri CV yako, wewe ni mwanahabari mzuri

    Wakuu, Kama ulikuwa unajiuliza kwanini Kabudi amechaguliwa kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo hivi leo Rais Samia ametoa sababu ya kumchagua Kabudi kwenye nafasi hiyo. Rais Samia akiwa anawaapisha viongozi wapya leo, amesema kuwa ameipitia CV ya Kabudi na ameona kuwa yeye ni...
  12. Money Penny

    Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

    Nyieee Wanaume viumbe rahisi sana Alafu wanaume wanatoa sana hela Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana Ushauri: Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa Jamani 1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine 2. Usitoe mzigo...
  13. Mganguzi

    Rais wangu tupe utaratibu wa kuwasiliana na wewe Moja kwa Moja kabla mambo hayajaharibika zaidi nahisi watendaji wako Wanakupotosha hawakwambii ukweli

    Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani tutakupatia maoni yetu ?
  14. Superbug

    Polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele je wewe mwana jamiiforum unaliona hilo aliloliona humphrey polepole likitimia?

    Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
  15. ukwaju_wa_ kitambo

    Afande Sele FT Mr. Nice - Mimi na wewe basi

    AFANDE SELE FT MR. NICE ( MIMI NA WEWE BASI) CHORUS ( MR NICE) Ahadi yangu mimi na wewe ilikuwa ni kuishi wawili/ ( afande sele) - "Aah" Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi /... ( Afande sele) - "Basi" ×2 Nakupenda sana na bado Roho yaniuma/ eeeh Kwakuwa umebadilika mimi na wewe Basi/ ("...
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Wewe ambaye maisha yanakutandika mjini chukua hii password

    Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku? Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani? Muulize mama umekula nini leo? Muulize hayo maswali mawili halafu uone maisha ya mama yako yalivyo huko kijijini. Halafu fanya maamuzi magumu, angalia ni...
  17. dgombusi

    Kama wewe ni smart na una akili, kwanini hujafanikiwa kuwa Tajiri? Inageukia kwamba wewe ni mjinga

    Hii inamaanisha kuwa mafanikio hayategemei tu akili au maarifa, bali pia ni matokeo ya jinsi tunavyoweza kuchangia au kuhusika katika mazingira yanayotoa fursa. Hivyo, iko wazi kuwa mafanikio ya kifedha mara nyingi ni matokeo ya mchanganyiko wa talanta, juhudi, lakini pia ni matokeo ya fursa...
  18. Natafuta Ajira

    Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

    Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande...
  19. Mzee wa kusawazisha

    Kumbe ukikosa vigezo mwanamke Hawezi kuwa na wewe, ila ujinga wa wanaume tunalegeza kamba

    kwa staili hii wanawake wataendelea kutuburuza sana wanaume katika masuala ya maslahi na mustakabali wa ustawi wa maisha yetu. Wanawake wengi wanawinda Mali tu na pesa kwa mwanaume, sasa kama huna kitu ni nadra sana kukidhi vigezo mbele ya wanawake wengi.
  20. Pdidy

    Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    wapendwa mwenye kujua haki za watoto wa nje ya ndoa tupeane madodosoo hapa kwa dini zotee maana watoto wa nje ya ndoa wanaongezeka kila iitwapo leo vyema nao wakajua wazazi wakifa nn maslahi yao kufwatana na dini za wazazi wao kazi kwenu wapendwa... Operation okoa mtoto wa nje ya ndoa
Back
Top Bottom