Habari za uzima wapendwa, natumai mko poa japo changamoto hazikosekani hiyo ni sehemu ya maisha.
Maada yangu inahusu changamoto ya WhatsApp,katika kutuma audio kwa mtu,, kuna audio ambazo nilimtumia mtu zikagoma kuna maneno haya hapa chini inaandika na mimi sijajua tatizo ni nini,,kuna audio...
Habari wakuu.
Hebu tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Insta ilikuaje kwako.
Mi nakumbuka nilikuwa makongo sekondari aise, yaani swagga zetu ilikuwa ni kupendeza kuvaa vizuri; mademu tuliburuza sana aise bila shida yoyote maana hakukuwa na swagga za kuonekana wewe unamiliki simu kali...
Umuofia Kwenu wana JF,
Kwa uchunguzi na utafiti nilioufanya,wengi wa watu walioficha Last seen na Read receipts kwenye whatsapp wana makandokando katika mishe wanazofanya...Ukitaka kujua mtu kama ni wa magumashi angalia whatsapp ,kama kaficha last seen na read receipts kuna kitu anakimbia...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Wewe binafsi unalichukuliaje hili suala la blue ticks za whatsapp kukaa muda mrefu (wiki moja)? Ni kwamba, huyo mtu yupo busy sana au ameamua tu kukuonesha dharau?
MFANO MDOGO APRIL 2018
=========...
Mtandao wa kijamii na mawasiliano WhatsApp umefanya maboresho katika mfumo wa uhifadhi na nafasi 'Storage' kwa kurahisisha namna ya upatikanaji wa data/mafaili (Picha, Gifs, Video na Stika) zinazochukua nafasi kubwa katika simu yako. Zana hii itashuhudiwa kwa watumiaji wa WhatsApp duniani kote...
Mtandao wa Whatsapp sasa kuwa na ujumbe unaotoweka, kipengele kilichoundwa kuwawezesha watumiaji kuondoa nyayo zao za kidijitali (Digital footprint).
Sasisho hilo ambalo limeanza kutoka Alhamis, watumiaji wataweza kuweka chaguo kwenye jumbe yeyote, inaweza kuwa kwa mtu mmoja mmoja au kundi...
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >...
Riziki Pembe, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar ameeleza namna ambavyo Wizara ilivyokuwa ikiendelea na shughuli zake pindi alipokuwa hospitali kwa matibabu ya maambukizi ya Corona.
Waziri huyo amesema alikuwa akiwasiliana kupitia mtandao wa WhatsApp na viongozi wenzake, akiwemo Naibu...
Mliopo katika nafasi ya kuwashauri Wazee na wadosi washaurini wajifunze kuilinda dhamana waliyopewa.
Whatsapp imekuwa uchochoro wa kuvujisha Siri na mikakati mingi, naumia kuona baadhi ya magrouop ya wadosi yana members ambao siyo wahusika na wanafuatilia mijadala inayoendelea.
Naumia pale...
Mtandao wa WhatsApp, kupitia ma-group ya WhatsApp, umewaza kuwa ni mtandao unaowaleta na kuwaunganisha watu wengi zaidi kwa pamoja pengine kuliko mtandao mwingine wowote katika nchii hii, na hivyo kufanya taarifa zinazokuwa shared kupitia mtandao huu, kuwafikia watu wengi zaidi kuliko...
Wadau mimi nina tatizo moja. Tupo kwenye group la ukoo lina mambo mengi na watu wengi. Sometimes nakuwa busy sitaki kujihusisha na mambo yake. So huwa kama vipi nasoma tu text kama ni muhimu najibu kama si muhimu nataka niwe busy.
Sasa tatizo ni ile hali ya mtu aliyetuma text yeye kujua kuwa...
Hebu tuachane na mambo ya uchaguzi na corona kwanza. Tu refresh ubongo kidogo
Kama dunia yetu hii tunayoishi ingekuwa ni kama vile KIKUNDI CHA WHATSAPP (WHATSAPP GROUP) je ni nani (anapaswa/angepaswa )kuwa admin wetu?
Angalizo: Mambo ya dini yasihusishwe
Tujadili sisi kama sisi ambao tupo...
Akiwa mjini Tunduma, Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini, ameongea na maelfu ya wananchi.
Amezungumza kuhusu hali ya uminywaji wa Vyombo vya Habari nchini, watumishi wa umma kutopewa maslahi yao ipasavyo, kero za wafanyabiashara ndogondogo hususan vitambulisho vya wamachinga...
1. Screenshot then zoom.
2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview.
We will make a millions and millions.
Asilimia kubwa ya status huwa ni madongo.
Kwa mujibu wa wataalamu hakuna kitu kinauma kama mtu...
Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Togo ni miongoni mwa watu waliolengwa na udukuzi uliofanywa kwa zaidi ya watu 1400 katika mtandao wa WhatsApp uliofanywa na Taasisi ya NSO Group ya Nchini Israel
Askofu Benoît Alowonou pamoja na watu wengine watano ambao ni wakosoaji wakubwa wa matendo na...
Hapa ningependa kuonyesha jinsi ya kubadilisha lugha ya simu yako ili uweze kutumia apps nyingi kupitia lugha yetu ya Kiswahili.
Nimerekodi video ya njia ya kufuatwa ili lugha ibadilishwe, iwapo ungependa kutazama jinsi inavyofanywa.
Kwa anayependa kufuata maelezo badala ya kutazama video...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.