who

  1. Shirika la Afya (WHO): Kasi ya usambaaji wa Virusi vya Corona ni kubwa kuliko ya ugawaji Chanjo

    Shirika la Afya Duniani limeonya kuwa kasi ya COVID-19 ni kubwa kuliko ile ya mgawanyo wa Chanjo, ikisema ahadi ya Mataifa ya G7 kutoa dozi Bilioni moja Nchi masikini haitoshi kwani uhitaji ni mkubwa. WHO imesema zaidi ya 10,000 wanapoteza maisha kila siku na Jamii hizo zinahitaji Chanjo hivi...
  2. Who is this Johnny?

  3. WHO: Dozi za Corona zilizotolewa mpaka sasa nchi tajiri 44 %, mataifa maskini 0.4%

    Shirika la Afya Ulimwenguni WHO, limesema nchi tajiri kiviwanda za kundi la G7 zina uwezo wa kutoa dozi milioni 100 za chanjo ya Corona kwa nchi maskini mwezi Juni na Julai pekee kusaidia kufikia malengo ya utoaji chanjo duniani kote katika mkutano wao wa kilele wiki hii. Mkuu wa WHO Tedros...
  4. WHO: Hatuna mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya janga la Corona

    Afisa wa Juu wa Shirika la Afya Duniani amesema WHO haina mamlaka ya kuilazimisha China kutoa taarifa zaidi kuhusu asili ya mlipuko wa Virusi vya Corona Hivi karibuni Nadharia ya kuvuja kutokea Maabara iliyopo Wuhan kwa bahati mbaya imekuwa na mjadala mpya baada ya Wanasayansi kadhaa kutaka...
  5. Museveni: We have clues to ‘the pigs’ who attacked Gen Katumba

    The assassination attempt was carried out in the same style as those that led to the death of over 28 people, including top government officials, in the past seven years. President Museveni has vowed to “defeat” armed assailants who attacked and injured former Works and Transport minister Gen...
  6. WHO: Chanjo zingetolewa kwa usawa, wazee na watumishi wote wa afya duniani wangekuwa wameshazipata

    Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Watumishi wote wa Afya na Wazee ulimwenguni wangekuwa wamepata Chanjo dhidi ya COVID19 ikiwa zingegawanywa kwa usawa Amesema Serikali ambazo zinatoa chanjo kwa watu katika makundi yasiyo hatarishi zinafanya hivyo kwa...
  7. Kauli ya Kufikirisha ya Dkt. Tedros Adhanom wa WHO

    Nimejaribu kuifikiri na kuichambua kauli iliyotolewa na WHO Director General sijafika mwisho ila ni kauli inayofikirisha sana. "COVID-19 not a priority: COVID-19 does not register as a priority for the millions of people affected by the conflict because of the myriad other threats they face...
  8. WHO yaelezea wasiwasi wa kuibuka magonjwa Tigray kutokana na kutokuwepo Huduma za Afya

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 5 Tigray Nchini Ethiopia wanahitaji msaada hususan wa Chakula na wengi wanapoteza maisha kutokana na njaa. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema pamoja na ukosefu wa chakula, huduma za Afya zimeharibiwa na...
  9. Kenyan Who Solved London Transportation Crisis Promoted in UK

    Kenyan scholar, Prof Washington Yotto Ochieng, the man who solved the London transport crisis, has been promoted to serve as a faculty head at United Kingdom's Imperial College. Kenyan High Commissioner to UK Manoah Esipisu made the announcement on the evening of Saturday, May 15, that Yotto...
  10. L

    #COVID19 Chanjo ya China kuidhinishwa na WHO ni muhimu kwa mapambano ya COVID-19 barani Afrika

    India ni nchi inayotengeneza na kutoa chanjo ya Corona kwa wingi zaidi kwa nchi za Afrika kupitia mpango wa COVAX, lakini wimbi jipya la maambukizi ya virusi linalotokea nchini humo litasababisha ugumu kwa utoaji wa chanjo. Kutokana na nchi nyingi za Afrika kumaliza sehemu ya kwanza ya chanjo...
  11. #COVID19 WHO: Mtu 1 kati ya 500 anaweza kupata chanjo ya Ugonjwa wa COVID-19 kwa Nchi zinazoendelea

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ni Mtu 1 kati ya 500 kutoka Nchi za kipacho cha chini ndio ana uwezo wa kupatiwa Chanjo ya COVID19 ikilinganishwa na Nchi zilizoendelea ambapo mtu 1 kati ya 4 amepata Chanjo. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) António Guterres amesema hakuna...
  12. Chanjo ya China ya Sinopharm yapata idhini ya WHO

    WHO imetoa idhini ya dharura kwa Chanjo dhidi ya COVID19 iliyotengenezwa na Kampuni ya China ya Sinopharm. Imeshauri itolewe kwa dozi mbili kwa walio na miaka 18 na kuendelea. Japokuwa Chanjo hiyo tayari imetolewa kwa Mamilioni ya watu China na sehemu nyingine, idhini ya WHO ni mwongozo kwa...
  13. Who Is Leading the 5G Patent Race?

    Wakati sisi huku tunaogopa 5G kutokana na ujinga usio na sababu, wenzetu dunia inaendelea
  14. WHO: 46% ya maambukizi ya Corona wiki iliyopita yametoka India

    Shirika la Afya (WHO) limesema takriban nusu ya maambukizi ya Virusi vya Corona yaliyorekodiwa duniani wiki iliyopita ni kutokea Nchini India WHO imesema India imerekodi 46% ya maambukizi ulimwenguni pamoja na 25% ya vifo vyote vilivyoripotiwa wiki iliyoisha. Katika saa 24 zilizopita, watu...
  15. I'm I the only one who sees something fishy in this pipeline deal?

    I have been thinking about this pipeline deal and I keep asking myself why the pipeline is going to Mombasa instead of Nairobi where 90% of Kenyan factories are located. I'm sure the pipeline will go directly to the Port of Mombasa and where the gas will go after reaching the port I think your...
  16. WHO yaidhinisha chanjo ya Moderna kwa matumizi ya dharura

    WHO yaidhinisha chanjo ya Moderna kwa matumizi ya dharura Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO, limeidhinisha kwa matumizi ya dharura chanjo dhidi ya COVID-19 ya Moderna. Chanjo hiyo ya mRNA ya Marekani inaungana na chanjo za AstraZeneca, Pfizer-BioNTech na Johnson & Johnson kupitishwa katika...
  17. The late President Magufulis' approach to C-19 was scientific and should not be ridiculed by those who do not know a bit of science

    The late President Magufuli may have been ridiculed in the West for rejecting lockdowns and encouraging prayer,but as ex-World Health Organization scientist Dr David Bell explains, Tanzania's late president John Magufuli is not seen as a pariah by many in the scientific community ,he’s infact...
  18. Stowaway: A Man Who Shipped Himself in a Crate

    The copycat who nearly died air-mailing himself home By Jason Caffrey BBC World Service Published 7 April 2015 Last month the Magazine wrote about Reg Spiers, who posted himself from London to Australia in a box in 1964. Spiers inspired another stowaway, Welshman Brian Robson, whose journey...
  19. #COVID19 Tujadili na kushauri Serikali kuhusu chanjo za Covid -19 na ukusanyaji wa takwimu zinazotakiwa na WHO

    Jana rais wetu ameagiza kuundwa task force ya watalaam kuchambua kwa makini masuala haya ya covid 19 na kuishauri serikali hatua sahihi za kuchukua. Pressing issues hapa ni hasa msimamo wetu kuhusu chanjo za covid na utoaji wa takwimu zinazohitajika WHO kila siku. Tujadili faida na hasara au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…