Shambulio la Ndege lililofanywa na Marekani limemuua Kingozi wa Al-Shabaab anayehusishwa na kupanga mashambulio kadhaa likiwepo la kwenye Kambi Jeshi ya Manda
Marekani imeeleza kuwa Kiongozi huyo anayehusishwa na kupanga mashambulio ya Mpakani mwa Kenya ameuawa pamoja na mke wake ambaye pia ni...
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa siku ya Jumatano, inasema ulimwengu umeshindwa kumlinda mtoto na hatari za kiafya zinazotokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi na lishe hafifu.
Ripoti hiyo iliyopewa kichwa cha habari 'Hatma ya watoto ulimwenguni'imetolewa na timu ya wataalamu zaidi...
Russian collusion, impeachment ( Ukraine scandal ) .Trump ameishia kidedea Democratic Party na member of the media wamechanganyikiwa. Sasa Hivi hamna cha kumfanya .Wafanye nini haswa Trump ashindwe
Riches are sweet when a man is alive and enjoying all the riches but when breathe seize, all is gone and all you experience at that time is left for those you left behind to decide.
Some take the pain of burying the dead man in good casket and even special burial ground just to give the last...
When you see American $ you find written In God we trust, so sad news President Obama admitted to be homosexual, you can imaging the head of states to be homosexual. I'm a christian and I believe that the God Creator the Almighty's uses the leader to pass His blessings and graces through...
Shirika la afya la ulimwenguni, WHO kwa mara nyingine linataraji kuitisha kikao cha kamati yake ya wataalamu baadae hii leo ili kujadiliana kuhusu iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vyaCorona kama dharura ya afya duniani.
Virusi hivyo tayari vimeshawaua watu zaidi ya 160 na zaidi ya...
I smell a fish
To me the death of Kobe Bryant sound like it was premeditated.
Ndege haiwezi kulipuka yenyewe bila sababu hasa ikizingatiwa kuwa kabla ya kuruka ili fanyiwa thoroughly check up.
There was a foul play, something like Yale Yale ya Samora Machel.
Ukiona maji yapo ndani ya chupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.