Naomba kufahamishwa kwa nini katika nembo za kada za afya(sina hakika kama ni zote) zina nyoka.Nyoka ni alama ya nini,anawakilisha nini na kwa nini nyoka isiwe chura au binadamu.Nakumbuka katika nembo ya pharmacy kuna nyoka na hata katika nembo ya Muhimbili kuna nyoka pia si chuo si hospitali...
Robert Kennedy Jr. claims that Bill Gates owns the World Health Organization (WHO) and called the Microsoft founder "the most powerful man in public health."
Kennedy Jr., the son of Robert F. Kennedy and the nephew of John F. Kennedy, made the claims in an interview on YouTube channel...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja tangu uanze kama ukishindwa kudhibitiwa
Mkurugenzi wa WHO Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti amesema kuna uwezekano COVID19 haitosambaa kwa kasi barani humo kama...
Tanzania is one of the country in Africa which never responded quickly to the deadly COVID-19 which broke out from Wuhan city in China. President John Pombe Magufuli allowed activities to continue running normally and now the disease is treating the citizens from Tanzania otherwise.
The...
Information has been leaked that china knew of the covid19 outbreak in late November 2019. The doctors who blew the whistle were immediately arrested and detained with two of them dying in custody from covid19.
December 15nth 2019, China signed a trade deal with America with a very interesting...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
In a highly significant development, Professor Luc Montagnier, the French scientist who shared the 2008 Nobel Prize in Medicine for discovery of the human immunodeficiency virus (HIV), has added his voice to those who believe the new coronavirus was created in a laboratory. Interviewed on the...
A Popular Sudanese Model has just entered her name into the Guinness World Record Books after she was confirmed to have the Darkest Skin Tone in the World.
Nyakim Gatwech who born was born on 27th January 1993 in Ethiopia has endeared to herself many fans due to her attractive and rare skin...
Infodemic (plural infodemics) means excessive information about a problem or situation such that the solution is made more complex( information +epidemic)
In today's world pushed with the advancement of science and technology the production, and diffusion of information has increased...
Supastaa wa zamani wa Inter Milan na Chelsea, Samuel Eto'o amewatolea uvivu maprofesa nchini Ufaransa kufuatia matamshi yao yasiyofaa juu ya Afrika kipindi hiki ambacho ulimwengu unatafuta ufumbuzi dhidi ya kupambana na ugonjwa wa Virusi vya Corona.
Hakuna dawa ambazo zinaweza kuzuia ugonjwa...
The rapid rise in coronavirus cases in Tanzania is partly a result of the government ignoring the international medical recommendations on social gatherings etc, says Dr. Moeti, the Africa director for WHO, at a briefing today.
In Tanzania, the number of confirmed coronavirus cases has...
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bwana Pompeo amesema Marekani inaweza sisirudi nyuma juu ya uamuzi wake wa kuiondolea ufadhili WHO.
Pompeo anasema haoni sababu ya kutumia pesa za umma kufadhili WHO, shirika ambalo limeshindwa kuzuia usambaaji wa virus vya corona na shirika ambalo limekua...
Virusi vya corona: WHO ilijua kuhusu virusi vya corona miaka miwili iliopita
Ugonjwa uliopewa jina X ulisemekana kuwa na hatari na huenda ungelisababisha janga la kimataifa
Mnamo mwezi februari 2018, kundi la wataalam wa shirika la Afya duniani WHO lilichapisha orodha ya magonjwa ambayo...
Azimio la Rais Donard Trump la kumtaka Tedros ajiuzulu limechukua sura mpya ambapo chama cha Republican kinataka kuweka mazingira ya kumtaka Tedros ajiuzulu kwa sababu ya kushindwa kudhibiti HIV na sasa COVID-19.
Sababu hizi zinaweza kutumika kama silaha kuu ya kuhakikisha Kiongozi mwingine...
Afrika huenda ikawa kitovu kipya cha mlipuko wa virusi vya corona, Shirika la Afya duniani WHO limeonya.
Kumekuwa na ongezeko kubwa la visa vya ugonjwa huo wiki iliopita.
Kumekuwa na zaidi ya visa 1000 na zaidi ya maambukizi 18,000 kote barani Afrika kufikia sasa , ijapokuwa viwango hivyo viko...
If you as a man has a woman who have these 7 qualities, never let her Go.
Men are amazing and the fact is that a good man must always want the right women. Because they love Good things... Everything Good Good Good. The fact is that if you are a man, you will just always want the right woman...
Dr Tedros alianza kuonekana kwenye televisheni duniani akitoa maelezo mbalimbali kuhusiana na ugonjwa wa COVID-19.
Pia aliweza kuonekana akijibu masuali mbalimbali ya waandishi wa habari juu ya maendeleo ya ugonjwa huo na taarifa zingine nyingi tu kupitia mitandao kama ya twitter na kadhalika...
Maamuzi ya Bw. Trump, [the disgraced president of the United States of America.,] kuzuia kutoa ada na mchango wake kwenye shirika la afya duniani ni ya kusikitisha mno.
Madhara yake ni makubwa mno. Na ni wazi kuwa yatasababisha milipuko na kushindikana kuyazuia maradhi mengine mfano polio...
China imeiomba Marekani hii leo kutimiza wajibu wake kwa shirika la afya ulimwenguni, WHO baada ya Rais Donald Trump kusimamisha ufadhili kwa shirika hilo akilituhumu kushindwa kulishughulikia ipasavyo janga la virusi vya corona.
Waziri wa mambo ya kigeni wa China Zhao Lijian amewaambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.