wiki

  1. Wakusolve

    Makamu wa Rais kesho kufungua wiki ya Sokoine

    Kama inavyojieleza Kwenye Picha hapo chini
  2. GENTAMYCINE

    Upepo wa Wiki hii si mzuri sana ' Kinyota ' Simba na Yanga chezeni ' Kiumakini ' mno mechi zenu za ASFC Leo Shinyanga na Kesho Dar es Salaam

    Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%. Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium...
  3. Mung Chris

    Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo tatu au zaidi ya hiyo kila wiki?

    Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka.
  4. B

    TFF wanatatizo gani jamani kwanini Simba haichezi katikati ya wiki kisa maandalizi?

    Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu ligi yetu. Ukiangalia Chelsea kacheza Jumamosi na Jana iumanne kacheza why Simba tunawekwa ubwete sana. Niwaambie viongozi wa Simba kama wanaona kukaa tu bila kucheza mechi kisa mashindano ya kimataifa tunashusha viwango vya wachezaji. Mimi ni...
  5. Lager

    Mrejesho: Kumuacha Grace imeshindikana tena hata baada ya kumkazia kwa wiki mbili

    Niliamua kumkataa na kutokutaka asije gheto ili kuomba misamaha yake ya kitandani!, Jambo lililodumu kwa wiki mbili tu wakati nilijua forever. Mara hii baada ya kuona nimeshikilia msimamo kwa muda mrefu akaamua isiwe tabu akaja gheto kwa lazima lakini hakufanikiwa kuingia maana angeingia tu...
  6. beth

    Hali ya kisiasa nchini Somalia yapelekea Rais kutoa rai ya kufanyika Uchaguzi wiki kadhaa baada ya Wabunge kumuongezea miaka miwili madarakani

    Rais Mohamed Abdullahi Farmajo ametoa rai ya kufanyika Uchaguzi baada ya kitendo cha Wabunge kumuongezea miaka miwili madarakani kusababisha sintofahamu Nchini humo. Kumekuwa na shinikizo la Jumuiya za Kimataifa ambazo zilitishia vikwazo kufuatia uamuzi wa Rais kuongezewa muda. Wananchi...
  7. pinno

    Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

    Wakuu! Wasalaam! Najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema, Ni hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki...
Back
Top Bottom