Serikali ya Tanzania imeahidi shirika la fedha Duniani la IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za vifo na maambukizi mapya ya ugonjwa wa covid 19 kila wiki kuanzia mwishoni mwa mwezi Septemba 2021 kama masharti mojawapo ya kupewa mkopo.
Serikali iliomba mkopo wa zaidi ya Dollar Milioni 500 za...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali inaandaa utaratibu wa wiki ya uchanjaji ambayo inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Septemba au mwanzoni mwa mwezi Oktoba.
Msigwa ameyasema hayo Jumapili Septemba 12, 2021 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa ya wiki.
''Serikali moja ya...
Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) limeonya hatari ya kuisha kwa chakula cha misaada kuanzia wiki hii katika eneo la mapigano la Tigray nchini Ethiopia.
Zaidi ya watu 900,000 wapo katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa ikiwa ni kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha...
Ndani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao:
1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry)
2. Tonil Somaiya (Shivacom)
3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam)
4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel)
5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group)
Kina yakhe wangapi...
Mmakonde kaamua kumkata matumaini kabisa
Binafsi nashangaa kuona hii ni video ya pili mfululizo ya kiba haijafika kilele cha trending, Nahisi ni sababu Ali kiba kaanza kulipia matangazo ya kulipia fb na insta ya sponsored (kama la kwenye picha ya chini), haya matangazo unaweza kuchagya...
Kwanini redio Ebony FM inayosikika Iringa, Dar , Njombe, Mbeya imekuwa ikipiga nyimbo za maombolezoo tangu mwezi uliopitaa mpaka mwezi huu bado tu wanaomboleza, hakuna kipindi chochote tofauti na nyimbo za dini na misiba
Nina shida ya pesa
Iphone X
Ina wiki 2 tu.
Gb 64.
B.Health 100%.
Face id.
Truetone.
Nina shida na pesa.
Box lipo.
Charger na earphones zipo.
Kiufupi mzigo ni mpya.
Bei maelewano.
Number.
0683011003
Nasikia unapanga kufanya Press Conference yako ya Kutapika Nyongo yako dhidi ya Simba SC hasa Watendaji wake kati ya Jumatatu au Jumanne ijayo.
Nami pia nakuonya mapema sana just ya hili kwani ukitekeleza hii adhma yako utakuwa umekaribisha Mashambulizi hatari ya Kiyahudi dhidi yako.
Wakati...
Leo nalazimisha kuwatania wakwe zangu, wachaga!
(sisemi nimeoa mchaga yupi)
Mimii nimeoa huko kwa hiyo msifure kwa hasira na mkani RIP mie chasaka!!
Wiki ilianza na mangi Wilfred Massawe, mambo ya viti moto yamekuwa magumu kwa hiyo kaanza utapeli.
Akajiita Katibu uenezi wa chama Tawala na...
17 July 2021
Mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI azungumzia hali ya tishio kwa afya-ya-umma (public health ), umasikini na ukosefu wa ajira kwa vijana Tanzania
Mwenyekiti wa chama cha NCCR - MAGEUZI Mh. James Mbatia kwa kina atoa angalizo juu ya gonjwa kubwa lililo janga la kidunia la corona covid-19...
Ifike tu wakati sasa tukubalini kuwa 'tumesharogwa' na Moshi (Mvuke) wa Mwenge ndiyo maana tunapelekwa na kufanyiwa watakavyo na tunaenda nao hivyo hivyo tu.
Si muda mwingi tulikuwa tunamjadili sijui Sadala baadae akaja Mzee Mpili kabla ya akina Msukuma na Muhongo kutuchanganya zaidi na Zawadi...
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule ameifunga Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (GESECO) kwa muda wa wiki mbili baada ya moto kuwaka katika bweni la wavulana usiku wa kuamkia leo Julai 14, 2021.
Kutokana na uamuzi huo, wanafunzi wote wametakiwa kurudi majumbani, na wanafunzi wanaosoma...
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown” kama njia mojawapo ya kupunguza maambukizi ya Covid- 19 nchini humo.
Hatua hiyo imekuja kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Corona nchini Afrika ya Kusini. Ramaphosa alisema...
Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
Kesi ya mauaji ya Sharon Otieno aliyekuwa mjamzito ambayo Gavana wa Migori Okoth Obado ni mshukiwa mkuu Mahakama ya Nairobi imeamua kuisikiliza wiki ijayo.
Katika kusikiliza kesi hiyo Jaji Cecilia Githua aliamuru upande wa mashtaka kuleta mashahidi wawili.
Kesi hii iliyopaswa isikilizwe...
Wengi ni wageni kabisa. Hawajawahi kabisa kufanya utumishi wa umma wala ABC za kuongoza wilaya.
Ni vema wapigwe klash program Ili wafanye kazi yao kwa weledi.
Tunahitaji viongozi ambao maendeleo ndiyo kitakuwa kipaumbele chao, viongozi wabunifu. Ikiwezekana wapewe na malengo na wapimwe kwa hayo.
Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu.
Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
Maafisa utumishi mliopo humu tunaomba mtwambie, sasa ni wiki ya pili mfumo LAWSON haupatikani nchi nzima.
Tatizo ni nini na itarejea lini? Fomu yangu ya mkopo imekwama mezani kwa hii wiki ya pili sasa kisa mfumo!
Tasac mfumo wao nao haupatikani hewani itakikanavyo.
Kwa nini mifumo mingi inasumbua sana jamani kwa sasa?!
Mfumo wa mikopo benki mbovu mwezi unaenda wa pili sasa.
Inakwaza sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.