wiki

  1. M

    Ziara ya Mkuu wa Nchi huko USA imetugharimu walipa kodi kiasi gani?

    Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500. Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika? Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
  2. JanguKamaJangu

    Erling Haaland kutua Man City, mshahara Tsh bilioni 1.5 kwa wiki

    Mchakato wa Manchester City kuelekea kumsajili Erling Haaland wa Borussia Dortmund unaelekea pazuri hiyo ni baada ya kudaiwa kuwa wameshafikia makubaliano ya mshahara wa paundi 500,000 (Tsh bilioni 1.5) kwa wiki. Man City inataka kukamilisha mapema mchakato huo mapema, ada ya usajili inatwa...
  3. JanguKamaJangu

    Polisi yawakamata watu 632 kwa kuvunja sheria ndani ya wiki tatu

    Taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam: Kufuatia kikao cha ujirani mwema cha tarehe 18 Machi 2022 ndani ya Kanda No. 2 inayohusisha mikoa ya Kipolisi Ilala, Temeke, Kinondoni, Pwani na Rufuji, pamoja na mambo mengine Makamanda wa Mikoa hiyo walikubaliana kufanya Operesheni...
  4. G

    Wakuu mfano mtu kapata HIV leo alafu baada ya wiki ukimpima itaonekana na Je baada ya hio wiki mkisex ata kuambukiza?

    Wakuu mfano mtu kapata HIV leo alafu baada ya wiki ukimpima itaonekana na Je baada ya hio wiki mkisex ata kuambukiza? Nawasilisha
  5. FRANCIS DA DON

    Napendekeza stika za Wiki ya Nenda kwa Usalama zilipiwe kwenye bima, ukikata bima ukague na gari kabisa na vyote ulipie kwa mara moja

    Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani. Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa jukwaani, pakitokea kero basi tunatoa mawazo walau ya kuondoa au kupunguza kero hiyo. Sasa basi...
  6. Analogia Malenga

    Wasichana 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya

    Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya ukimwi katika nchi hiyo. Wizara hiyo imeoa takwimu zifuatazo: Chanzo cha Takwimu: Wizara ya Afya Kenya Takwimu hizi za Wizara ya Afya kenya zinabainisha 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya (Januari...
  7. mugah di matheo

    Goli la kanute, Simba vs Gendamarine miongoni mwa magoli 4 Bora ya wiki

    Caf wamechagua mabao manne yatakayopigiwa kura kupata goli Bora la wiki, miongoni mwa hayo lipo la sadio Kanute ,Simba vs Gendamarine liliofungwa Benjamin mkapa. Source:Mwanaspoti
  8. Magazetini

    Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. Izzi

    Wiki ya ubunifu Tanzania-Kanda ya Njombe

    Habari wanajukwaa, Ikiwa ni mara ya kwanza kwa WUTz kufanyika Njombe, na nikiwa ni mmoja wa waratibu wa jukwaa hili la WUTz Kanda ya Njombe nimeona ni vyema nikilileta suala hili hapa JF. Kwanza ni kwasababu ninaamini kuna wadau wengi wenye uzoefu na fikra tunduizi za kutosha zinazoweza...
  10. Tony254

    Kenya itasoma bajeti yake mapema kwa sababu ya uchaguzi. Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi, Aprili 7, 2022

    Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi wiki hii. Bajeti yenyewe itakuwa ya ksh 3.3 trillion ambayo ni zaidi ya mara dufu ya bajeti ya Tanzania. ======= Budget reading Thursday as MPs end revenue share row These measures will be contained in the Finance Bill, which must be tabled in...
  11. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu la Wiki: Yote Sawa? Mapenzi ya Kinafiki au Heshima ya Woga?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui lipi ni bora katika siasa au yote ni sawa tu? Yaani, unamheshimu mtu si kwa sababu anastahili heshima hiyo bali kwa vile unamuogopa. Unaogopa huyo mtu atakufanya nini. Unajitahidi kumfurahisha kwa sababu hutaki achukie au akushukie. Akinuna unaweweseka. Unajua...
  12. mirindimo

    Wiki sasa tunafatilia passport tunaambiwa kuna shida ya mtandao

    Hii nchi ngumu sana, ni sisi tu tusio toa hela ndio tuna suffer hivi au ni wote jameni? Masikini tue tunaoneana huruma basi 😂😂😄😁 yaani hakuna sehemu salama kwa maskini kote ni spana left and right centre and bottom.
  13. Ghazwat

    FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

    Klabu ya Simba leo Jumapili March 20, 2022 inashuka kwenye Dimba la Stade de L'amitie General Nchini Benin kukiwasha na ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast kwenye mchezo wa marudiano hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC. Huenda mchezo ukawa mkali na wa kusisimua kwa vile kila...
  14. Cannabis

    Diamond Platnumz atajwa kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi mtandaoni wiki hii Afrika. Rais Samia ashika nafasi ya 15

    Mtandao wa Top Charts wa nchini Nigeria umemtaja msanii Diamond Platnumz kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi katika wiki hii. Msanii huyo anakuwa wa kwanza kutoka Tanzania kuchukua nafasi hiyo.
  15. Dr. Zaganza

    Nahitaji Ofisi ya kukodi kwa wiki moja Dar

    Habari wakuu. Iwe maeneo ya kati kati ya jiji au jirani na City Center. Lengo ni tunatoka mkoani kuja kurekodi kipindi cha afya ya ngozi. Piga 0713039875
  16. MK254

    Mafuta mengi sana yagunduliwa Lamu

    Wajuba... mapipa bilioni 4.8 sio mchezo ======= Kenya is just weeks away from announcing the discovery of new oil resources in the Lamu basin, bigger than what was found a decade ago in Turkana, in what could be a turning point for the country’s dreams of reaping petrodollars. Italian oil...
  17. Mwanamaji

    NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

    Habari zenu wakuu. Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka. "Being Quick, Efficient and Consistent is being Good" Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020. Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
  18. John Haramba

    Presha ya Urusi, Bilionea Abramovich kupokea ofa tatu wiki hii za kuiuza Chelsea

    Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich anatarajiwa kushawishiwa kukubali kuiuza klabu hiyo, ikielezwa kuna ofa tatu zitatolewa wiki hii. Kumekuwa na presha kubwa kwa bilionea huyo kuiuza Chelsea kutokana na ukaribu wake na Rais wa Urusi...
  19. S

    Ili kukimbizana na umri kuanzia wiki ijayo naanza kutongoza wanaume

    Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi. Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa...
  20. beth

    Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji

    Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani. Aidha, atashuhudia utiaji Saini baina ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa katika sekta za...
Back
Top Bottom