wiki

  1. MK254

    Ndani ya wiki moja, ndege nyingine ya kivita yaanguka Urusi na kuua, hivi zina nini?

    Mindege ya kivita inajiangukia yenyewe sijui inatunguliwa au marubani wamejichokea au wanetu wa Ukraine waliopo Urusi wanafanya yao.... A Russian warplane slammed into a residential building in the Siberian city of Irkutsk on Sunday, killing both crewmembers, authorities said. It was the second...
  2. King Kong III

    Kamanda wa Bavicha Calvin Lekule afariki dunia -Alitabiriwa kifo wiki moja nyuma

    Habari wana JF, Chadema imepata pigo kwa kumpoteza kamanda Calvin Lekule ambaye alikuwa mpambanaji sana, Lekule alikuwa mwanaharakati kama alivyo mdude, alikuwa anapinga sana police brutality na uonevu wa aina yeyote kwa vitendo na bila kuogopa. Wiki moja iliyopita alitabiriwa kifo na mmoja wa...
  3. GENTAMYCINE

    Vipindi vya michezo vya redio "vitanoga" sana wiki hii nzima

    100% vitakuwa ni vya kupongeza mafanikio ya Simba SC na 100% vitakuwa ni vya kuelezea uozo na kufeli kwa Yanga SC huko CAFCL.
  4. Sildenafil Citrate

    CDC: Dakika 150 za mazoezi mapesi zinafaa kwa wiki

    Kwa mujibu wa Kituo cha Udhibiti na Kinga ya Magonjwa Cha Marekani (CDC), mtu mzima anashauriwa kushiriki mazoezi mepesi kwa walau dakika 150 kwa wiki. Mazoezi huongeza utimamu wa afya ya mwili na akili, ni jambo jema katika kujikinga na maradhi ya mwili, hasa yale yasiyo ya kuambukiza...
  5. sanalii

    Wanaume JamiiForums wanaadhimisha wiki ya kulia lia kuombwa hela na wanawake

    Ni ajabu watu wanataka kubadilisha mboga wakati hawamudu. Watu wagumu kuelewa, utandawazi umeongeza mahitaji ya binadamu, bando, usafiri, simu nzuri, saluni, kodi ya pango na mengine mengi huko nyuma hayakuepo. Ni ajabu mtu anataka mwanamke wa miaka ya 80 kule kijijini hakuna simu, hakuna saluni...
  6. Mowwo

    Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

    Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia. Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza...
  7. Lycaon pictus

    Ni vema hili tatizo la umeme likatatuliwa haraka. Kazi zinafanyika siku mbili kati ya saba za wiki

    Au huu mgao ni huku tu? Wanakata Jtatu, tano na leo ijumaa. Wanawasha siku mbili za wiki na wikiendi. Hii inasumbua uchumi wa watu sana. Taifa litaendeleaje kwa kufanya kazi siku mbili. Fanyeni mpango kutatua hii shida. Hatuwezi enda hivi hadi mvua zije mabwawa yajae.
  8. J

    Zaidi ya malori 600 yamekwama mpakani mwa Kenya na Tanzania kwa zaidi ya wiki moja

    ITV wametangaza kuwepo kwa foleni ya malori inayofika kilomita 7 kule Namanga yakisubiri kuingia Kenya Madereva wamelalamika sana na kusema hawaelewi sababu za msingi Waziri wa Biashara Namanga kuna tatizo gani? J5 ubarikiwe sana ==== Zaidi ya Malori 600 ya kusafirisha bidhaa kutoka...
  9. ankai

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba ni dhahiri sasa amelewa madaraka. Ni kweli kwamba hajui madhara ya kauli aliyotoa kuhusu kuivamia Kenya?

    Yaaani nimeshindwa kuelewa mshauri wa masuala ya usalama katika nchi analeta utoto kama huu duuh
  10. Khadija Mtalame

    Mwanafunzi wa kike kidato Cha 6 kanifata kanambia Ana MIMBA Ina wiki 3(ushauri hapo)

    [Habari wanajukwaa! Mwalimu mmoja amenifata kuniomba nimshauri kitu! Kuna mwanafunzi kamfata leo, kamwambia Ana tatizo kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge. Ila mwl. kagoma kunijua vidonge, na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya. Ndio...
  11. E

    Mwanafunzi wa kike kidato Cha 6, kanifata kanambia Ana MIMBA Ina wiki 3(ushauri hapo)

    Habari wanajukwaa! Mwalimu mmoja anaefundisha Jangwani girls, amenifata kuniomba nimshauri kitu! Kuna mwanafunzi kamfata leo ,kanambia Ana tatizo ,kwamba Ana MIMBA Ina wiki 3, hivyo anaomba msaada wa kununuliwa vidonge, Ila mwl.kagoma na akamjibu kwamba atampatia jibu baaae na Cha kufanya...
  12. J

    Naarifiwa wiki hii wanaopita kwenye barabara za Mwendokasi Kimenuka wanakamatwa na maafisa wa UDART, hawaangalii Jeshi, Polisi wala nani

    Kipindi cha mwendazake watu walikua na adabu hasa kufuata sheria bila shuruti ila kwa sasa Mama wanamchukulia poa, pale Jangwani barabara za Kasi wako MP kabisa inamaa Polisi nao wamweshindwa kazi. Tanzania ni nchi ambayo kufuata sheria hasa kwa viongozi ni kitendawili wakati Ulaya ndio takwa...
  13. adriz

    Wiki ya pili sasa siipati huduma ya Freebasic imeondolewa au?

    Moja kwa moja.. Nilizoea bando likikata kuingia Freebasic kupitia line yangu ya Halotel kucheki habari BBC na kuperuzi Jf lakini halo umebadilika sasa sio kwa kutumia app wala browser inagoma shida ni nini wakuu hii huduma bado ipo kweli ? #UziTayari
  14. Checnoris

    Hatimaye nimemsahau. Nilikuwa nikimpigia au kum-SMS mara 10 kwa wiki, nimetulia

    Huyu ni mke wa mtu. Nilikuwa ninaomba dua niachane naye, ikashindikana, nisi muwaze ikashindikana, nilimtumia pesa na zawadi kibao. Jf ilinishauri sana kiachana naye, nilijitahisi sana. Nikajijuta siku Moja nikaipiga shoo moja ya hovyo sana. Nilikuwa dhaifu asna na nikijua na yeye hakuifurahia...
  15. JF Member

    Maji Dar ni shida - Ubungo hadi Kibaha hakuna maji kwa wiki moja sasa

    Wizara ya maji - Dawasco, embu tatueni hili tatizo. Wananchi wanapata shida. Line ya Morogoro road Ubungo hadi Kibaha hakuna maji. Pia soma: Dar: Waziri Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA, Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake KERO - Waziri Juma Aweso atoke...
  16. N

    Aliyempiga mwakinyo ashangazwa na usanii wake: anthony crolla asema wiki yote ali behave kiajabu ajabu

    Kumbuka ukiwa una insult inteligence ya watu kwa kujiona we mjanja kuna wajanja zaidi yako , utaooongea yooote lakini hii issue wazee wa kazi waseme waingilie kati wafatilie hata bettings za nchi mbalimbali kuna aibu nyuma yake sasa hata bondia aliyekupiga kabaki na butwaa..he Liam Smith left...
  17. Kiranja Mkuu

    BRELA mnatia aibu; kusajili jina la kampuni zaidi ya wiki mbili?

    Inasikitisha, zamani kusajili jina la biashara ilikuwa ni siku tatu za kazi lakini sasa hali imekuwa mbaya sana. Biashara majina yanachukua zaidi ya mwezi mmoja.
  18. Frumence M Kyauke

    Karibu Bongo sehemu ambayo kifurushi cha wiki kinaisha kwa siku

    Bongo ni sehemu ambayo kifurushi cha wiki kinaisha kwa siku 😂
  19. Nobunaga

    Ikiwa Siku ya sensa hakutakuwa na mapumziko, basi sensa inaweza kuchukua zaidi ya wiki kukamilika

    Kwa mujibu wa Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Mama Anna Makinda ametoa tangazo kwamba siku ya sensa, tarehe 23/08/2022 ambayo itakuwa Jumanne, haitakuwa siku ya mapumziko. Haya ni maajabu. Kwa mujibu wa historia ya sensa za miongo miwili iliyopita, inaonesha ili kuwapata watu wote...
  20. Mwamuzi wa Tanzania

    Kuna ulazima gani semina ya sensa kufanyika wiki 3. Huu ni urasimu, siku 1-3 zingetosha kabisa

    Habari! Natafakari hapa kazi ya siku moja inamezwa vipi na semina ya wiki tatu sipati majibu. Kazi ya ukarani ambayo sifa ni kidato cha 4 na kujua kutumia smartphone tu. Programs zote zipo kwenye hizo simu /tablets, kwanini isiwe siku moja ya kuelekezana masomo ya utaifa na uadilifu na siku ya...
Back
Top Bottom