Sijui nini kinaendelea na nini kimewafanya Watanzania waichoke CCM chama tawala.
Ukitazama mikutano miwili moja ya Waziri Mkuu Majaliwa wa wiki iliyopita uliofanyika Mjini Tunduma na ule wa jana wa Chadema chini ya Kamanda Mbowe unaweza kuamini kuwa Chadema ndio Chama tawala mioyoni mwa watu...
Alikuwa ni rafiki ambae ananichangamkia sana haipiti siku bila kunitumia meseji za salamu, alikuwa anapenda tuchat, kukumbushana visa vya shuleni, n.k.
Kiukweli niwe muwazi kiuchumi tumepishana ila hatuchunguzani sana, tunajuana vichache yeye anajua tu kwamba mimi nina biashara kadhaa ambazo...
Habari zenu wanaJF,
Mtendaji mkuu wa DAWASA habari za jioni. Tuna muda wa wiki tatu sasa hatuna maji kabisa hapa Goba, mimi nakaa Goba mitaa ya kwa Morgan na week ya tatu hii hatuna maji! Kikawaida hua tunapataga kwa wiki mara moja lakini kwa kipindi cha hivi karibuni tunakaa hadi wiki 3 ndo...
Naibu Spika alikuwa anaongea katika mkutano wa CCM leo Upanga.
Anasema Bima ya Afya kwa wote kwanza italenga kuwasaidia wale ambao ni vulnerable.
Ulikuwa mkutano ambao ulihudhuriwa pia na Zuberi Mtenvu,Mwenyekiti wa CCM Far.
Imekuwa ni swali ninalojiuliza kila ninapokwenda kulala. Serikali mpya ya rais itachukua muundo gani,itakuwa na muonekano upi?
Sasa hivi nafikiri kwamba nchi ni disoriented,yaani watu wamechanganyikiwa akili. You see some quite spectacular crimes happenning. Juzi mtu kambaka binti yake wa...
Mwenye kufahamu ratiba ya midana mkoa Dar es Salaam naomba anisaidie.
Si lazima ujue ratiba ya minada yote ndio ushare, hata huo mmoja unaoufahamu ukichangia itasaidia sana.
Asante
Vyanzo vyangu kutoka Kremlin vimenidokeza kuwa Mr Putin kakosa kabisa usingizi baada ya taarifa ya msiba wa kijana wetu Tarimo.
Tofauti na watu wengi wanavyofikiria ,Putin anataka kuwatimua mawaziri Kama wawili na majenerali kadhaa sababu ya kutopewa taarifa awali kuwa Kuna kijana wa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023 kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa.
CCM imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao tayari weshawahi kufanya ufugaji na kujipatia uzoefu wa kutosha.
Miongoni mwa maswali yangu ni je...
Diwani Msuya wiki iliyopita si nilikuambia pale maeneo au kijiwe chetu uwe makini sana si unaona mkuu amefanya yake? Nilikuambia na haukutakaa kusikia nilikuambia reconciliation yanaenda Yanakuknock out wewe nje ya mfumo, mkuu anaandaa safu yake ilikuwa ni matter of time tu ya wewe ya kukula...
Kabla sijalala usiku huu nimeingiwa na tafakari nzito.
Leo tayari ni 31st Dec 2022, siku ya mwisho wa mwaka 2022.
Namshukuru Mungu kwa kunipa ingalau kuiona hii siku.
Rafiki yangu, tena wa cheo cha juu, alifariki SIKU YA KRISMASI! Na tumempumzisha jana.
Mimi nimempa nini Mungu?
Ni rehema...
Alitangulia kufa mtalii wa Urusi wiki iliyopita, naye mbunge ameaga dunia baada ya kuruka kutoka ghorofa la tatu humo kwenye hotelini India, jameni Warusi waombewe maana wanakufa sana popote walipo, waswa matajiri....
Indian police investigate death of Russian MP
The politician who was visiting...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kuelezea Utekelezaji wa Ilani ya CCM Jimboni pamoja na kusikiliza na kutatua kero za Wananchi ambapo Jana alikuwa na Mkutano wa hadhara Kata ya Kibondo.
Akiwa Kata ya Kibondo Wananchi...
Swali kwenu nyinyi mamlaka ya maji mkoa wa Morogoro sijui MORUWASA cjui MWARUWASA, mana me mgeni, kwenye huu mkoa nna mwez wa 2.
Sasa toka nihamie kwenye huu mkoa na mtaa nliopanga nyumba apa Karume tunaenda wik ya 2 sasa maji hayatoki shida ni nini asee mana sasa tunakoelekea mtaaan yatazuka...
Kampuni ya TECNO bado ina endelea na Kampeni yake ya kila mechi ina mshindi katika msimu huu wa kombe la dunia ambapo ili kushiriki unachotakiwa kufanya ni kupost picha ya mtu umpendae na ujumbe mzuri wa upendo kisha kuutuma kwa kutumia Hashtag #SambazaFuraha na kuTag account ya Kampuni kwenye...
☝🏾Ukipenda muite Dr. Bashiru Ally Kakurwa
Anatibu upele, harara, Surua, Kaswende Gono na muwasho kwenye ngozi.
Kaongea kwa dakika moja ila anajibiwa wiki nzima, kaongea sehemu moja anajibiwa nchi nzima.
Mpaka sasa Bashiru kajibiwa na CCM karibia nchi nzima.
Na hawajibu alichozungumza ila...
Moto uliozuka katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania karibu na eneo la Karanga Camp umedhibitiwa huku eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 2 hadi 4 zimeteketea.
Akizungumza na waandishi wa habari, Ijumaa Oktoba 28, 2022 katika lango la Mweka, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.