wiki

  1. JanguKamaJangu

    UN: Raia 150 wauawa nchini DRC katika mapigano wiki mbili zilizopita

    Mapigano katika jimbo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo la Ituri yalisababisha vifo vya zaidi ya raia 150 katika wiki mbili zilizopita, Umoja wa mataifa ulisema Jumanne. Jimbo la Ituri na jimbo jirani yake la kusini la Kivu Kaskazini zimekumbwa na ongezeko la machafuko kati ya...
  2. Logikos

    Huenda Man City wakawa na Mechi kila Katikati ya Wiki mpaka Mwisho wa Ligi....

    Wakimfunga Bayern Keshokutwa huenda Man City wakawa na Mechi bandika Bandua kila katikati ya Wiki na hapo kuna kiporo cha Brighton ambacho hakijapangiwa Siku (na ukiangalia siku ambayo itakuwa imebaki ni Jtano ya wiki kabla ya mechi ya mwisho) wakati wenzao wa North London game ni chache...
  3. benzemah

    Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

    Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki. Mbali...
  4. mahindi hayaoti mjini

    Zuku wanajimwambafai sana? Au wameelemewa na wateja? Au ni dharau?Au jeuri?

    Yalianza jana kupitia airtel, muamala wa malipo haukufanyika Sasa leo nawapigia simu zuku ili angalau niwafahamishe kuwa nimeshalipa ni airtel ndio wanachelewesha hela yao weeeee dakika 140 zimeisha Dakika 140 zimeisha bila simu kujibiwa Na sasa hivi nipo raundi ya pili dakika 70 zimekata ni...
  5. MK254

    Warusi wabadilisha kauli na kusema kamji ka Bakhmut katachukua wiki zingine kadhaa kukateka

    Juzi walisema wameichukua Bakhmut, leo wameibuka na mengine na kusema bado ni mziki mkali na itachukua wiki kadhaa, wamekiri imewagharimu sana, makaburi kama yote.... ===================== Kiev, April 7, (dpa/GNA) - Ukrainian forces are continuing to resist Moscow’s attempts to seize the...
  6. JanguKamaJangu

    Man City yapanga kumpa Erling Haaland mshahara wa Tsh. Bilioni 1.4 kwa wiki

    Baada ya Real Madrid kuonesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji huyo, Manchester City inataka kuboresha mshahara huo ili kumshawishi abaki. Haaland (22) ambaye amefunga magoli 42 katika michuano yote msimu huu, ana mkataba hadi Mwaka 2027 Kwa sasa, Haaland analipwa Paundi 375,000 kwa wiki...
  7. Metadata

    Natafuta chumba cha kupanga kinondoni, wiki mbili

    Wadau natafuta chumba cha kupanga kwa wiki mbili maeneo ya kinondoni. Mi ntakua dar kikazi Tar 27 March - 08 April, hivyo chumba kiwe furnished. Maeneo ya kinondoni, au karibu na town. Whatsapp +48519634862
  8. B

    Maandamano Kenya sasa mara 2 kwa wiki

    Kimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1. Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki. Kwamba si Jumatatu peke yake ila rasmi na Alhamisi pia. Mola amsimamie Raila Amolo Odinga kuendelea kutoa masomo ya uzalendo kwa pande za...
  9. Tate Mkuu

    Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

    Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania. Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika...
  10. Hismastersvoice

    Nionavyo lengo la wiki ya usalama barabarani ni kuuza stika, anayeamini kupungua kwa ajali anieleze ni kwa vipi

    Kila mwaka polisi huandaa wiki ya usalama barabarani lakini hali ilivyo barabarani ni ileile ya siku zote zaidi ya kuuziwa stika ambazo hazipunguzi ajali! Vurugu za bodaboda na daladala ziko vilevile na pacha wao ajali. Mimi naona lengo si kudhibiti ajali kwa kuwakumbusha madereva juu ya...
  11. J

    Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

    Mchezaji wa Simba Clatos Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa mashindano ya CAF Champions League. Hii ni baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kumpigia kura kwa kishindo kati ya wachezaji wanne waliokuwa wakiwania. Hii inanikumbusha Messi alivyokuwa akifunika UEFA kipindi...
  12. M

    Wiki ya usalama barabarani, Polisi tuwaeleze ukweli

    Leo waziri mkuu mh. Kasim Majaliwa amezindua wiki ya usalama barabarani. Miongoni mwa watu wanachangia ajali za nyingi za barabarani ni polisi kupitia KIKOSI CHA KAMATA KAMATA Polisi hao wanaokimbiza pikipiki bila utaratibu,wanachomoa funguo kwenye pikipiki sasa muendesha pikipiki anapowakwepa...
  13. Stephano Mgendanyi

    Lucy J. Sabu Katika Kilele cha Wiki ya Chipukizi CCM Mkoa wa Simiyu

    MHE. LUCY JOHN SABU KATIKA KILELE CHA WIKI YA CHIPUKIZI CCM MKOA WA SIMIYU Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana Mkoa wa Simiyu Mhe. Lucy John Sabu katika kilele cha Wiki ya Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu yaliyofanyika kimakoa Wilaya ya Bariadi, Mhe. Sabu alikuwa Mgeni...
  14. Execute

    Niliporudi kutoka Uswisi baada ya kukaa kule wiki mbili niliona Dar ni chafu sana

    Nilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza. Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha. Baada ya muda nilizoea...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Amina Mzee ameshiriki maadhimisho ya wiki ya Chipukizi Wilaya ya Micheweni

    MBUNGE MHE. AMINA MZEE AMESHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA CHIPUKIZI WILAYA YA MICHEWENI Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Amina Ali Mzee ameshiriki Maadhimisho ya wiki ya Chipukizi Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba "Ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwanza kabisa...
  16. Chachu Ombara

    Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

    Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara. Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo...
  17. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri wa Maji atoa wiki 2 kwa mkurugenzi, Rais Samia apigilia msumari ''hi kero nisiikute''

    ENG. MARYPRISCA MAHUNDI - NAIBU WAZIRI WA MAJI ATOA WIKI 2 KWA MKURUGENZI, RAIS SAMIA APIGILIA MSUMARI ''HI KERO NISIIKUTE'' Mhe. Eng. Mahundi akiwa Usa River Ausha amesema kuwa Wizara ya Maji imepeleka neema ya miradi ya Maji ili kutimiza dhamira njema ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  18. Mamba_Mtoni

    Msaada: Nimeongezeka uzito kwa kasi ya ajabu; Kilogramu 9 ndani ya wiki 2 (72-81)

    Hii ni baada ya mahakama Kutupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa Na dada zangu wawili na waume zao(mashemeji) Sijui nani aliwadanganya kumbe baba aliniandika Kusimamia Mali zake kwenye wosia Kuhusu mgawanyo wa Mali za urithi Na hatimaye mahakama kunipa umiliki wa urithi 100% (Mashamba 2, nyumba...
  19. JanguKamaJangu

    Watoto wachanga 240,000 hufariki wiki 4 baada ya kuzaliwa kila mwaka

    Takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) zimeeleza vifo hivyo vinatokana na changamoto za kiafya au ulemavu unaohusiana na masuala ya uzazi. Changamoto hizo za kiafya pia zimechangia vifo vya Watoto 170,000 wenye umri wa mwezi mmoja 1 hadi miaka mitano kwa mwaka. ============ An estimated 240,000...
  20. BARD AI

    Mtoto wa wiki mbili aliyechomwa kisu afariki dunia

    Mtoto mchanga wa wiki mbili aliyechomwa kisu na kisha utumbo kutoka nje na mama yake kuuawa akiwa amelala, amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC). Februari 22, mwaka huu Mwanamke huyo ajulikanaye kwa jina la Fausta Tesha (26) mkazi wa...
Back
Top Bottom