wiki

  1. GENTAMYCINE

    Naona baada ya TEC kuja na Tamko lao Wiki Mbili hizi Wine na Whiskey zitanyweka mno ili Kupunguza Presha

    Na tukizinywa hizo tutakuwa na Hasira hasa katika Maongezi na Majibu yetu huku tukizidi Kukaza Macho na Kurembua kwa sana. Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
  2. D

    Nashauri katoliki waendelee kusoma waraka wa bandari kila wiki baada ya misa hadi Desemba

    Popote walipo TEC chukueni ushauri huu! Waraka uendelee kusomwa kila wiki baada ya misa hadi disemba! Wiki hii serikali waliandaa kila aina ya vigisu na spinning kwa kumtumia Mzee Kikwete na majukwaa, matamasha na maelekezo kwa waandishi ili kukava story zao katika kufumba habari ya waraka...
  3. Mzee Mwanakijiji

    Swali la Wiki: Walidanganya, Walidanganywa, Walijidanganya, Walidanganyana, au Wanadanganya?

    Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu... Mimi ninalo jibu...
  4. JanguKamaJangu

    England: De Bruyne aumia, kuwa nje kwa wiki kadhaa

    Kevin De Bruyne amepata majeraha ya nyama za oaja wakati timu yake ya Manchester City ikishinda magoli 3-0 dhidi ya Burnley katika mchezo wa kwanza wa Premier League. Kocha wa City, Pep Guardiola amesema madaktari watamfanyia vipimo De Bruyne kujua ukubwa wa tatizo lakini kuna uwezekano atakuwa...
  5. benzemah

    Rais Samia: Nanenane Mbeya Iongezewe Wiki Moja

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe aruhusu kuongezwa kwa Wiki moja zaidi ya Maonesho ya Nanenane Mbeya ili Watu waendelee na shughuli zao katika viwanja vya maonesho kama Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Dkt. Tulia Ackson alivyoomba...
  6. UtdProfile_

    Taarifa: Nkunku nje ya uwanja wiki 16 (miezi minne)

    🔴Leo: Chelsea imethibitisha kuwa Christopher Nkunku amefanyiwa upasuaji wa goti lake ambalo alilolipata huko Chicago. (Pre-seasons match), wakati timu hiyo ikijiandaa na Michuano ya Ligi Kuu (Premier League). 🔃Na imethibitishwa na Klabu atakuwa nje kwa wiki 16 Sawa na. Miezi Minne🤔🤔🤔.
  7. BARD AI

    Wiki ya asasi za kiraia yazinduliwa Dar es Salaam

    Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndungulile amezitaka asasi za kiraia kuwa vinara wa kutoa mtazamo mbadala kuhusu miswada inayowasilishwa ili kuwasaidia wabunge kufanya maamuzi sahihi. Ndugulile amesema kazi hiyo kufanywa katika hatua za awali kabla ya muswada kuwa kwenye hatua za mwisho...
  8. BigTall

    DOKEZO Wilaya ya Kyela huduma ya Petroli ni changamoto wiki ya tatu sasa, kwani kuna mgomo wa kimyakimya?

    Jamii Forums naomba muwafikishie taarifa kwa Mkurugenzi wa EWURA kuwa wiki ya tatu hatuna mafuta ya Petrol katika Wilaya ya Kyela Mkoa wa Mbeya. Nauli zimeanza kupanda, sehemu yakwenda kwa buku sasa hivi ni buku mbili hadi shilingi 2,500. Kwani kuna nini kinachoendelea wakati kila siku Waziri...
  9. benzemah

    Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  10. Elon J

    Anayejua ratiba za minada ya kila wiki ndani ya mikoa kati Dodoma, Morogoro na Tanga

    Kama nilivoandika hapo juu anayeajua ratiba za hii MINADA inayokuwepo ndani ya hii MIKOA naomba anisaidie na maeneo inayo patikana na siku gan ndan ya wiki. Hasa Dodoma 🙏🙏🙏🙏
  11. R-K-O

    Mapenzi ya sasa pesa ni muhimu ila tutafute na akili basi, rafiki wiki ya tatu kahonga laki 7 na bado hapewi kwa mwanamke ambae analiwa kwa elf 30

    Nilianza maisha kwa kutegemea mishahara ya ajira serikalini ila nashukuru nikaweza kujiongeza nifanye na biashara, huku kwenye biashara kwakweli huwa nakutana na watu wengi zaidi. Sasa katika watu nilioweza kuwajua ni mfanya biashara flani ni mteja wa mara tulizoeana zaidi kupiga story huku...
  12. D

    Wiki inakatika hatunaye Balozi Ali Karume

    Wajumbe, Sasa ni wiki moja inakatika hatunaye mtaani Balozi Ali Karume alipokonywa uanachama wa CCM na kisha kusafirishwa usiku wa manane kutoka Zanzibar hadi Tanganyika na kufichwa kusikojulikana. Hakuna anayejua afya ya Karume huko aliko. Katikati ya mjadala huu wa Bandari na Utanganyika...
  13. BARD AI

    Raila Odinga atangaza kuandamana kwa siku 3 kila wiki kuanzia Julai 19, 2023

    Muungano wa Vyama vya Upinzani wa Azimio la Umoja One Kenya, umesema uamuzi huo unatokana na maombi ya Sekta mballmbali Nchini humo zinazotaka kushiriki Maandamano hayo. Taarifa iliyotolewa na Umoja huo leo Julai 14, 2023 imesema ratiba mpya ya Maandamano itahusisha siku za Kazi na itaanza...
  14. aka2030

    Wiki ya Mwananchi inafanyikaje kwenye uwanja uliofungwa?

    Nauliza tu unafanyikaje kwenye uwanja uliofungwa maana TFF imesema ngao ya jamii itafanyika Tanga sababu uwanja umefungwa kwa marekebisho
  15. MSAGA SUMU

    BAWACHABU kuliamsha suala la bandari wiki ijayo

    Baraza la wanawake wa Chadema Bungeni - BAWACHABU wameamua kulianzisha pasipokuchoka mpaka kieleweke. Nusrath, Esther Bulaya, Halima Mdee na wenzao wiki ijayo wamepanga kuongea na Vyombo vya habari kuonesha madudu yote ya DP World. Pamoja na Mambo mengine yote hawa ndio watu pekee nchini wenye...
  16. B

    DAR: Azam FC kuweka kambi ya wiki tatu Tunisia

    Klabu ya soka ya Azam, imetangaza ya kwamba, itaanza rasmi kambi yake ya kujiandaa kwa ajili ya msimu ujao Julai 9 mpaka Julai 30, 2023. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo, kambi itakuwa katika Mji wa Sousse nchini Tunisia. Jumapili ya wiki hii, kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kusafiri...
  17. D

    Naomba connection ya mfugaji wa kuku wa mayai anayeweza kuniuzia trey 50-100 kwa wiki Dodoma na Morogoro

    Salaam wana JF, Naombeni connection ya mfugaji wa kuku wa mayai (layers) aliyepo DODOMA au Morogoro anayeweza kuniuzia trey 50 hadi 100 kwa wiki moja tufanye kazi. Nipatieni tu mawasiliano, nitampigia na kumfata popote alipo anipe mzigo kwa gharama zangu. Ahsante
  18. Chachu Ombara

    Mgao wa Maji umerudi Dar?; Kunduchi-Mtongani wiki inaisha bila maji kutoka

    Salaam ndugu, Ni hatari kwa afya kumaliza wiki nzima bila kupata maji. Labda sijui walitangaza kutakuwa na mgao wa maji, lakini hakuna mgao unaokwenda mpaka wiki nzima bila maji kutoka. Tunajipa matumaini labda maji yatatoka usiku lakini wapi! Nilitegemea mvua nyingi zilizonyesha hivi karibuni...
  19. benzemah

    Ndege Mpya ya Mizigo ya ATCL Kuanza Kazi Wiki Ijayo

    Ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767-300F iliyonunuliwa na serikali itaanza kazi ya kusafirisha mizigo nje ya nchi Juni 26, mwaka huu. Hayo yalibainishwa na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben Reuben alisema kuanzia Jumatatu ijayo, ndege hiyo itaanza kusafirisha...
  20. REJESHO HURU

    EWURA tuambieni ukweli ni upi kuhusu upungufu wa mafuta ya petrol wiki ijayo

    Mod usifute huu uzi na upaste kama ulivyo andikwa kigogo media Kiburi cha rushwa ,uhuni na ujeuri wa EWURA na waziri wa nishati wafikisha mgogoro wa upungufu wa mafuta ngazi za juu serikalini, chanzo chetu ndani ya EWURA kinatujulisha asubuhi na mapema leo hii. Baada ya kuona nchi inaingia...
Back
Top Bottom