https://www.youtube.com/watch?v=dPisTx-swGs
Leo tarehe 9 Novemba 2023, JamiiForums inashiriki katika Mkutano wa 5 wa Wiki ya Vyombo vya Habari vya Uganda, ulioandaliwa na Taasisi ya Media Focus on Africa Uganda. Mkunano huo unafanyika jijini Kampala.
Mkutano huu unajadili kuhusu mustakabali wa...
Je, Waziri Mkuu Majaliwa amemuweka Gavana?
Maana mara ya mwisho alimtembelea Waziri Mkuu kisha akaenda bungeni kwa mwaliko wa Spika.
Toka hapo hatujasikia tena zile kauli zake za KIFEDHULI!!
JF tuendelee kumpiga spanna huyu Zerobrain
Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba.
Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga
Hakika kuwafunga Makolo kuna raha yake tena uzuri zaidi tumewashindilia za kutosha
Sijui kama Makolo...
Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka.
Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi. Muhimbili (MUHAS) tunaojiunga au tunaotarajiwa kujiunga katika masomo ya Shahada ya Kwanza kutokea Ngazi...
Anonymous (1ea1)
Thread
diploma
heslb
kimya
mkopo
muhimbili
udahili
wanafunzi
wapo
wiki
Wajuvi wa mambo habari zenu,
Ni wiki ya 2 sasa kausingizi kamenipotea kabsaa, yaani sipati usingizi mchana, sipati usingizi usiku. Hadi nafikiria na kushawishika kugonga tena konyagi labda kanaweza jitokeza kitu ambacho nimefanikiwa kukiacha.
Najaribu kujichunguza labda kuna jambo linanitatiza...
Mwanaume mmoja huko SINGIDA MJINI achafukwa kwa ukosefu wa maji mitaa ya MISUNA na kuamua kuingo'a mita ya maji na kuirudisha kwa wahusika..Angalizo; Enzi za jiwe haya hatukuyaona..ova
Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu.
Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu.
Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi .
Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo.
Zamani...
hii ni wiki ya mateso,dhoruba,milipuko ya moyo na presha kupanda kwa mashabiki wa Utopolo.
mashabiki wa Utopolo wanaumizwa na mafanikio ya Simba.
kuna mmoja katangaza kwa uchungu kuachana na soka,tukio kubwa la soka Tanzania la uzinduzi wa michuano mikubwa Africa yeye kutokuwepo imemuuma...
Tetemeko jipya la ardhi limekumba magharibi mwa Afghanistan - siku kadhaa baada ya mitetemeko miwili mikubwa katika eneo hilo kuua zaidi ya watu 1,000.
Shirika la Utafiti wa Jiolojia la Marekani (USGS) linasema kuwa tetemeko hilo la ukubwa wa 6.3 lilipiga karibu na mji wa Herat. Ilikuwa katika...
Mimi waraka haukunitisha sana japo ulikuwa na facts, ila kilicho nitisha ni zile wiki 6. Kwa wasio fahamu nenda kasome saikolojia ya kuamini ukisha maliza utagundua ni kwanini ulisomwa kwa wiki 6 sio zaidi au pungufu.
Kama kuna mahali serikali inapaswa isijichanganye ni hapa. Ningekuwa nahusika...
Kuna watu roho zimefanya "paaaah!!.😅😂
Bondia wa Peru Dà Silvà Ihelfu ameomba pambano lake na bondia Eduàrdò lifanyike wiki ijayo badala ya mwezi December kama ilivyo pangwa.
kuna watu wameshtuka presha zikapanda ni NHIF sio IHEFU.
timu hiyo ya wafanyakazi ya taasisi wameomba warudiane na timu ya NSSZ ya Zanzibar wiki ijayo.
Shule bianfsi za msingi na seckondari zinatabia hii sana. Lakini mzazi anapolipa hakuna compasatiion ya siku aozokosa. Shule hizi hubeba dhambi tu.
Hawa viongozi wa shule biafsi hukosa utu na kwamba hawana haya kumsimamisha masomo mtoto aisye na hatia.
Hata kama wao wanasepa na maden lakini...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ametoa wiki mbili kwa Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba kukamilisha taratibu za zabuni na ununuzi wa pampu, mashine za umeme wa jua na matanki ya kuhifadhia maji ili huduma...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo (kulia) akipokea fomu ya uwekezaji katika hatifungani ya kijani ya "Kijani Bond" kutoka kwa kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Afisa Mkuu wa Bishara Benki ya CRDB, Boma Raballa wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja 2023 iliyofanyika katika tawi la...
Kuboja Lugira, mtanzania mwenye ulemavu wa kusikia ameendesha baiskeli yake kwa kilomita 961 kutoka Tanga kwenda Mbeya akitumia siku tano kwenda kushiriki maadhimisho ya wiki ya viziwi duniani akiwapa hamasa wengine wenye ulemavu kwamba inawezekana.
Lugira, baba wa mtoto mmoja amesema...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 8, leo Septemba 7, 2023.
https://www.youtube.com/live/soJPf67OkQM?si=PyIaBMuE5kEcrnq-
Ratiba:
Hati za kuwasilishwa Mezani
Maswali kwa Waziri Mkuu
Maswali ya kawaida
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu...
Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka liverpool ambayo ni rekodi mpya ya dunia., offer ya USD 270M. Awali Liverpool walikataa offer ya USD...
Kampuni ya utengenezaji simu aina ya Iphone ya Apple yakubali yaishe, inatarajia kutangaza simu mpya wiki ijayo zenye charger za type C.
Apple imekubali kufuata masharti ya umoja wa ulaya ambayo ilipitisha masharti ya kutaka simu zote na laptop zote zinazouzwa ndani ya umoja huo kua na charger...
Naombeni msaada nimelipia huduma ili niunganishwe lakini kwasasa inaenda week ya 3 sasa sijapewa vifaa na bado sijapata huduma. Nipo mkoani, mwenye mawasiliano na watu wa makao makuu voda naomba namba zao
Cc Chief-Mkwawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.