wiki

  1. greater than

    Filamu/ Movie tatu za wiki

    zifuatazo ni movie 4 nzuri ambazo unaweza zicheki wiki hii ukiwa umepimzika. Kwenye orodha zipo 4, ila Angalia angalau 3. WIKI YA KWANZA SAVING PRIVATE RYAN waigizaji: Tom Hanks, Matt Damon, Vin Disel Muongozaji: Steven Spielberg Mwaka: 1999 Mahadhi, Drama + Kivita Inahusu: Baada Wizara ya...
  2. LINGWAMBA

    KERO TAMISEMI wiki nzima tumelipia leseni kwenye mfumo wa mtandaoni lakini hatujapa leseni mpaka sasa

    Watumishi wa hii serikali sijui kitu gani wanaweza! Zamani walikuwa na mfumo wa leseni manual katika manispaa, ilikuwa ukilipa mpaka muda wa leseni unaisha hujaipata! Sasa hivi online kuomba nayo unalipia unakaa wiki nzima leseni hawatoi! Inabidi na hizi wizara nyingne nazo tutafute...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukiwa mtumishi wa umma hakikisha kila wiki unatengeneza fedha sawa na mshahara wako wa mwezi mmoja

    Huu ni ushauri tu kwa watumishi. Kutokana na kupigwa na vitu vizito kichwani kama vile Sheria mpya za kikokotoo, na danadana za ongezeko la mshahara pamoja na serikali kushindwa kukopesha watumishi wake bila riba au kwa riba isiyozidi 5% napenda kuwashauri watumishi wa umma wahakikishe chini juu...
  4. Mhafidhina07

    Kama Yanga asiposhinda kwa Madiba mods nawaruhusu munipige ban ya wiki

    Ninao uhakika kuwa Yanga hivyo tujiandae kumpokea bingwa mpya wa mashindano ya CAF ambae atakutana fainali na muarabu. YANGA TUJICHANGE PESA YA KWENDA MISRI KABISAAA.
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali lipeni mshahara wangu wa Machi

    Serikali kwa tafsiri isiyo rasmi ni viongozi wenye mamlaka ya kutoa maagizo kwa ngazi ya kitaifa. Kazi tumefanya, issue ya error ndogo ndogo kwenye mfumo isiwe sababu ya kutunyima pesa. Kuna watumishi wawili kazini nawajua hawajajisajiri kabisa kwenye huo mfumo lakini mshahara wamepata. Mimi...
  6. Nyani Ngabu

    Wiki mbili zilizopota Marekani iliwaonya raia wake waliopo Urusi kuepuka sehemu zenye misongamano ya watu!

    Na yakatimia kweli! Intelligence ya Marekani ni habari ingine kabisa. But that doesn’t mean it’s foolproof https://youtu.be/M665-CETLH4?si=X_wFcE6FcXOZJAI6 Hii hapa habari kutoka New York Post, ya tarehe 8 mwezi huu...
  7. B

    Dkt. Samizi aadhimisha mitatu ya mama kwa kuzindua magati ya maji- Kibondo, wiki ya maji

    Alhamisi 21 Machi, 2024 Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Dkt. Florence George Samizi amezindua Mradi wa Maji Safi na kisima Cha Maji katika eneo la Malagarasi na Gati la Maji Stendi ya Mabasi katika Uzinduzi wa Wiki ya Maji ambayo inaenda sambamba na Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  8. K

    Tanzania tutacheza mechi za kimataifa ratiba hii

    Ndg Wacheji wetu walau wataoenekani duniani
  9. Street Hustler

    Wiki tatu nyuma Ksh dhidi ya Tsh ilikuwa 16.3, Leo 21.1. Wachumi wa Tanzania mnatusaidiaje?

    Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania imekuwa inashuka kwa spidi sana. Wataalamu wa masuala ya fedha tupeni mbinu Bora ya kukabiliana na...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru Aongoza Wanawake Kupanda Miti Mvomero Katika Maadhimisho ya Wiki ya Wanawake Duniani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kupanda miti na kugawa mashuka katika Wilaya ya Mvomero. Siku ya Wanawake duniani huadhimishwa Machi 08 ya kila mwaka. Malengo ya maadhimisho haya ya Siku ya Wanawake duniani...
  11. Heparin

    Freeman Mbowe: Tunaanzisha wiki ya Maandamano kwenye Makao Makuu yote ya Mikoa nchi nzima

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano yatakayofanyika kuanzia Aprili 22-30, 2024. Aidha, amewatangazia Diaspora kufanya maandamano makubwa...
  12. BARD AI

    Burkina Faso yaripoti mauaji ya Watu 170 waliochinjwa ndani ya wiki moja, Machafuko ya Kidini yakitajwa

    BURKINA FASO: Takriban Watu 170 kutoka katoka Vijiji vya Komsilga, Nodin, na Soro katika Mji wa Yatenga, wameripotiwa kuuawa na Waasi wanaohusishwa na Vikundi vya al Qaeda na IS. Taarifa iliyotolewa leo na Mwendesha Mashtaka wa Serikali leo Machi 3, 2024 imeeleza kuwa mauaji hayo yaliyoanza...
  13. GENTAMYCINE

    Werevu walionyamaza Wiki nzima wamefanikiwa kutoka Sare Ugenini, leo Majuha yaliyotamba Wiki nzima yanaenda Kuumbuka Nyumbani

    Mnaacha kutulia Kuandaa Litimu lenu la Tigo Pesa Muamala FC ijiandae Kimkakati ili ishinde Mechi ngumu na muhimu nyie Kutwa tu mpo katika Maredio mnatamba, mnajisifu, mnawazogoa ambao wamewazidi Mafanikio katika CAFCL mkidhani kuwa mnayepambana nae baadae Mbagala ni kama Silipo Tanzania FC...
  14. Webabu

    Wiki ya siku 4 kikazi imefanyiwa majaribio UK. Je, tutafuata mkumbo na jee inatufaa?

    Makampuni kadhaa yametoa matokea chanya kuhusu kuwa na siku nne tu za kazi kwa wiki. Utafiti huo ulioonza mwaka 2022 umeshaanza kushirikisha na makampuni ya nchi nyengine nje ya Uiengereza. Cha kujiuliza ni jee watanzania na waafrika kwa ujumla wiki hii itawafaa na jee watafuata mkumbo kama...
  15. Black Butterfly

    KERO DAWASA Mitaa ya Tabata Segerea kuna shida gani, Mbona hatupati Maji wiki ya tatu sasa?

    Kuna mambo nchi hii yanachosha sana jamani, hebu fikiria Wiki tatu unakosa Maji ambayo unayalipia kila mwezi, ni utaratibu gani huu? Leo naomba kuwauliza Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuna shida gani katika jiji hili, mbona matatizo ya maji hayaishi? Mvua ziwepo zisiwepo...
  16. G

    Nilidhani mabinti wa dukani wanafanana, najuta kumpoteza binti aliekuwa ananifanya niagize mzigo kila wiki, nimebadili wawili ila biashara inasua

    muda mwingi nipo kazini hivyo dukani naacha msaidizi. Kwa miaka miwili mfululizo duka lilikuwa na wateja wengi na nilidhani mimi ndie mjanja nilieumiza kichwa kuchagua eneo zuri, kuweka bei, kuweka bidhaa original, n.k. yani niliona mimi ndio genius, kila baada ya wiki 2 mzigo ulikuwa unakata...
  17. G

    Biashara ikianza kuwa ngumu unaanza kujikosoa, "hivi ni mimi niliesema ajira ya kupokea mshahara kila mwezi na posho za kila wiki ni utumwa ?"

    Nashudia live haya mambo nipo kwenye taasisi ambayo wafanyabiashara inabidi watoe maelezo yenye ushahidi wa hali zao kibiashara ili tuweze kuwasaidia kama wadhamini wa shida wanazopitia, itoshe kusema wafanyabiashara waliofanikiwa ni wachache, usikurupuke kutamani biashara kwa kuwaangalia hawa...
  18. MK254

    Misri atoa onyo kwa HAMAS wana wiki mbili kupata suluhu la mateka, kabla Israel haijaingia Rafah

    Hapo Rafah ndio ngome ya mwisho ya HAMAS, ila penyewe pamejaa wananchi wengi hivyo kupapiga lazima Wapalesina watakufa sana, Misri imesema HAMAS waharakishe hili la dili ya mateka kabla hapajapigwa maana Israel wakianza, kawaida tumeona huwa hawasimamishwi na yeyote.... Egypt tells Hamas it...
  19. N

    Wiki yatatu sasa napiga chafya kila mara na kwa mfululizo, kuna tatizo?

    Ikitokea nimeigusa pua tu basi zinaanza kumiminika chafya nyiiingi hadi kero, Nikipisha na mtu aliyejipulizia unyunyu tu, chafya zinanitoka si za nchi hii, Shemeji yenu akiwa anakarangiza na ile harufu kunifikia, chafyaaaa. Wakati mwingjne nikikaa tu, chafyaaa. Nikiingia chumbani, chafya tu...
  20. MK254

    Watoto 78,000 wafanywa wakimbizi ndani ya wiki moja DRC

    Ndugu zetu wenye uchungu na Waarabu tunaomba kidogo muelekeze macho yenu kwa hawa weusi wenzetu wanaoteseka. Humu utakuta kunao hata wa dini yenu kama dini ndio hufanya mkomalie kuwalilia Waarabu. Displaced people seen in a refugee camp on the outskirts of Goma in North Kivu Province...
Back
Top Bottom