Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini - Viwanja vya Chinangali - Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2024
https://www.youtube.com/live/fB7fwptjOs4?si=vp7708g7DbUnq9CF
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan...
“Tunaendelea kuwaomba ifikapo Februari 16 tutakuwa tumekamilisha majaribio kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere na hivyo tunategemea megawati za mwanzo 215 tutaanza kuzipata [...] Tunaomba mwendelee kutuvumilia ili tuweze kukamilisha zoezi hili na hivyo kuwahakikishia mnapata umeme wa uhakika.” –...
NASAHA ZA KILA NYOTA WIKI HIZI.
PUNDA
ni vyema kua na tahadhari hususani kwa wale unaowaamini. Usifanye kazi kimazoea itakukost.
NG'OMBE
hiki ni kipindi cha majaribu sana kwako, kazana kwa maombi na sala.
MAPACHA
ni wakati sahihi ya wewe kufanya maamuzi, chagua mmoja anaekufaa achana na...
Ndugu zangu Watanzania,
Jumamosi ya wiki hii ya Tarehe 27 januari 2024 Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan, mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini atakuwa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wiki tatu kwa Mkandarasi wa kampuni ya China National Aero-Technology International Engineering Corporation (AVIC) anayetekeleza ujenzi wa barabara ya Isyonje - Kitondo - Makete sehemu ya Kitulo - Iniho (km36.3) kwa kiwango cha lami kufikisha vifaa...
Mr. NICE ALIWIKA sana lakini anaonekana ni Mzee wa maneno ya kujisifia sana, kumekuwa na takwimu zisizo eleweka za mauzo ya kazi za wasanii hapo zamani. Huku Mr. Nice akitamba kwamba yeye aliuza nakala milioni 1.7 na aliemfuatia alikuwa around laki 380,000/= wakati huo huo tunaambiwa na Feruzi...
Nimejikuta nina hofu ya kupoteza data zangu hasa baada ya matukio kadhaa ya kupoteza flash, kuibiwa simu, n.k. Data zilizokuwemo humo zilipotea moja kwa moja, ni kumbukumbu za muhimu siwezi kuja kuzipata tena.
Najua kuna online back ups lakini hizi kila mwezi inabidi ulipie na pia unahitaji...
Ni mambo ya ajabu sana huku tulipofikishana. Septemba 21 mwaka huu DAWASA iliuhakikishia umma wa Tabata kuwa kutakuwa na uhakika wa maji, lakini mpaka leo navyopandisha mnakasha huu kuna baadhi ya mitaa maji kwetu yamebaki kuwa ndoto.
Hata kama ni mgao, ndio wiki nne na zaidi? Hapana kwakweli...
Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.
Ni kipi Rais anakiweza?
Tangu mwaka huu uanze sikumbuki siku ambayo nilikuwa offline, Nina biashara zangu na kazi sio kwamba nipo idle.
Yani uwe na smartphone halafu ukose data waweza kuhisi unakosa mahitaji ya msingi, ukifika hii stage jijue ushaanza kuwa mraibu.
Matumizi ya data napenda kuingia Youtube kufatilia...
Yaani watu wenu wameuawa takriban 20,000 huku majengo yenu yameporomoshwa mumebaki kama mji wa mazombi, mnaachia mateka almradi kupata afueni kwa wiki moja, kiasha mnaendelea kupigwa na kuuawa, niliuliza hili swali humu na kama kawaida magaidi ya humu yote yakasema HAMAS wana akili na wanajua...
TANESCO imeshindwa kabisa kujiendesha kwanza sehemu kubwa ya nchi iko gizani umeme unakatika Zaid ya masaa manane kwa siku na kuna sehemu transformer imeungua watu wako gizani wiki ya 3 hiii sasa na hakuna hata matarajio,na kuna maeneo watu wanakatiwa umeme Zaid ya saa 24 na bado ukirudi...
Ukiwa humu jukwaani, stori za urahisi wa upatikanaji wa wanawake Lindi zinafika elfu moja au zaidi kwa siku. Picha inayokuja kichwani ni kwamba ukifika tu wanakukimbilia......Big no!
Nina wiki ya pili sasa nahangaika na upwiru (genye) wangu bila mafanikio. Kila nikiwasimamisha na kuwaelewesha...
Habari wana jamvi, kumekuwa na taarifa za chini kwa chini baada ya kuibuka sakata la wasimamizi wa televisheni kule Dstv sasa imehamia Azam nao wamejibu mapigo.
Note; ukimshtumu mtu au kampuni hakikisha hiyo kesi una ushahidi nayo la sivyo inakugeukia, kesi kama hizi ikikugeukia utalipwa faini...
Nikisema hizi shule zinatuibia ninakosea???
Serikali isipokagua uwezo wa watendaji kwenye shule binafsi itakuwa haitendi majukumu yake.
Mtoto wa nursery arudie madude ya mwaka mzima aje. Vipi asipewe kama alivyoelewa??
Hii niliiokota sehem flan wakurugenz wa hizi shule za binafsi...
Tusichoshane Wana lunyasi wenzangu hio gemu hatutoboi, mbaya zaidi
walituahidi kuelekea hii gemu kocha mkuu mpya atakuwepo kwenye technical bench yetu.
Mpaka sasa matola na cadena bado wapo na tetesi ni kwamba Mgunda amesaini tayari mkataba wa kuitumikia TANZANIA PRISONS
Nawauliza viongozi wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela (katikati), akiwasili katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha yanapofanyika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kauli mbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Uchumi”. Kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa...
Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo.
Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi.
Asante.
NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
📌📌 WAZIRI WA MAJI MHE. AWESU AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA NDANI YA WIKI 3 MAJI KUPATIKANA KATORO - GEITA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na kumtaka kutolea ufafanuzi kero ya upatikanaji wa Maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.