wiki

  1. M

    kwanini Manchester united imekazania ronaldo asiondoke kwani hamna timu zinazomtaka ikumbukwe anapokea mshara wa pauni laki tano kwa wiki.

    mwanzoni mwa mwezi wa saba chelsea walionesha nia ya kumsajili baadae kocha akatangaza hawana mpango na ronaldo , bayern munich nao wakatangaza hawana ela za kumlipa ela ronaldo japo tayari ana miaka 37 , rais wa athletic madrid nae akatangaza kuwa athletic hawana mpango wa ronaldo . man united...
  2. Getrude Mollel

    Matengenezo airport Mtwara kumalizika wiki ijayo, yafika 92%

    Serikali ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuboresha viwanja vya ndege nchini kutanua wigo wa kibiashara ili kuinua uchumi nchini. Katika ya viwanja vya ndege vilivyofanyiwa Marekebisho nchini, kiwanja cha Mtwara matengenezo yake yamefikia 92% ambapo barabara ya kutulia ndege ilitanuliwa...
  3. MSAGA SUMU

    Ni kweli bilionea Midimu alipofariki gari zake zilikaa wiki nzima bila kuzimwa zikiomboleza?

    Midimu bilionea la malori, bilionea la manyumba, bilionea la mang'ombe. Inasemwa kuwa mwamba alipotangulia mbele za haki malori yake yote yalipangwa nyumbani kwake na kuwashwa Kisha kuachwa yakiunguluma mpaka siku mazishi yalipokamilika. Walifanya hivi ili hizi gari zake ziungane na waombolezaji...
  4. F

    Ndoa hewa zimeshika kasi sana kwa Wakristo. Ndoa inafungwa na baada ya wiki moja mume anaishi mkoa mwingine na mke mkoa mwingine

    Habari wadau. Ndoa changa za Kikristo ambazo mume na mke wanaanza kuishi mbalimbali baada tu ya kufunga ndoa zinashika kasi sana kwa kisingizio cha kazi ama ajira. Ndoa inafungwa ila mume na mke hawaishi pamoja toka mwanzoni mwa ndoa. Kuna ndoa ina miaka mitano ila mume na mke hawajawai...
  5. Lady Whistledown

    #COVID19 Mamlaka za Macau zaamrisha kasino kufungwa kwa wiki moja kuzuia mlipuko wa Covid-19

    Mamlaka za Jiji la Macau ambapo ni Kitovu cha Kamari Duniani, imeamuru biashara zisizo muhimu, zinazojumuisha zaidi ya kasino 30, kufungwa kwa wiki moja, ikiwa visa 1,536 vya COVID19 vimerekodiwa Jijini humo tokea Mwezi Juni Inaelezwa kuwa takribani watu 19,000 Jijini humo wamewekwa karantini...
  6. MSAGA SUMU

    Je, Rais Samia kusafiri nchi mbili kufuatia vifo vya viongozi wakuu wastaafu?

    Mipango ya Mungu haiepukiki. Kama mnavyojua dunia imepata mapigo mawili ya misiba Shinzo Abe wa Japan na Rais mstaafu wa Angola ndg Dos Santos. Kwa sababu za kiprotokali mama Samia wiki ijayo huenda akawa bize Sana, kwanza ataenda Tokyo kutoa heshima zake za mwisho kwa Wajapan na familia kwa...
  7. J

    Mwenye usafiri binafsi wa kutoka DSM kwenda Mwanza wiki hii

    Wakuu habari! Naulizia Kama Kuna mwenye usafiri wa private kutoka DSM kwenda MWANZA ndani ya wiki hii tuchekiane PM,Nina kiasi Cha kuchangia mafuta na ninahitajika kufika Mwanza kabla au siku ya Alhamisi. Ahsante!
  8. B

    Mtoto ana Umri wa Wiki Moja na ana Mafua makali Msaada

    Habari, Mtoto wa Umri wa Wiki Moja ana Mafua makali na anakohoa mara mojamoja... Naomba Ushauri wa kitaalam na namna ya kumsaidia kupata na dawa. Asante
  9. Lady Whistledown

    Waandishi wa Habari 13 waswekwa rumande ndani ya wiki moja nchini Ethiopia

    Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro uliopo katika eneo hilo Inaelezwa kuwa Mei 23, 2022 Siku ya Jumatatu, viongozi wa Amhara, eneo la pili...
  10. sky soldier

    Pesa ni Shetani; Mchezaji aliyekataa kuvaa jezi ya kuunga ushoga alazimishwa kuchagua kati ya mshahara wa milioni 200 kila wiki ama kurudi Afrika

    Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani. Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni...
  11. Roving Journalist

    Dodoma: Kilele cha Wiki ya Ubunifu Kitaifa 2022, leo Mei 19, 2022

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango yupo Mkoani Dodoma akiwa mgeni rasmi wa WIKI YA UBUNIFU KITAIFA 2022 Anthony Mtaka, Mkuu wa MKOA - Dodoma Tunawapongeza sana Wizara ya Elimu kuyaleta maonesho haya hapa Dodoma. Na sisi kama mkoa tumetoa fursa. Kwenye...
  12. Exorcist

    Kweli penye nia pana njia, ni wiki ya pili sasa sijanunua kahaba

    Kwakweli siamini kama wiki ya pili hii inakatika eti sijanunua malaya kabisa, si mtandaoni wala sio Sinza, naona kwangu ni mafanikio makubwa sana katika safari yangu ya kuushinda huu Uraibu. Kwa sasa najitajihidi kujiburudisha kwa muziki au bia au vyote kwa pamoja, ila malaya hapana, huo ndio...
  13. kali linux

    CRYPTO-FUNZO KWA WAKURUPUKAJI: Luna coin ilikua ni sawa na $85 wiki ilopita lkn kwa sasa ni takataka(trash coin)

    Hello bosses kwanza kabisa naomba mods msiedit heading ya huu uzi. Kumekuwa na wimbi la watu kutoheshimu professions za wengine na hili linabackfire mdg mdg. Watu wengi siku hz wanadhan kila mtu anaweza kuwa investor wakiongozwa na kaka yao fln kule twitter lkn niwaambieni tu hio ni profession...
  14. I

    Unatumia fedha kiasi gani ndani ya wiki kwa ajili ya vocha?

    Dah, mimi binafsi natumia maximum shilingi 3000, na hapo naumiaga sana 😄😄.... Vipi nyie wenzangu?
  15. britanicca

    Intelligence ya UKRAINE inaitesa Urusi, tangu kuanza kwa wiki hii Urusi alianza kuonekana na uhakika na ushindi wa Azovstal, kumbe kachezewa akili

    Kwakweli Urusi kashindwa vita asubuhi na mapema , Zelensky jana amesema sasa hivi hakuna vita itakayosimama hadi Russia aondolewe Ukraune au aondoke. Halafu ule mchezo wa pale Azovsta ulipangwa, wale wanajeshi wa Ukraine walijitolea muhanga na hivyo kuwa tayari kwa lolote. Lengo lilikuwa ni...
  16. Mawematatu

    Wenyeviti wengine sikio la kufa. Wiki imekwisha hata kuitisha vikao vya ulinzi shirikishi wamegoma

    Serikali inafanya kazi yake, watendaji wanatushangaza Sana. Alianza Mh Rais akasema waache. Wakavamia kunduchi. Lahaullah! Mkuu wa mkoa ametangaza jeshi la police likawataka wakuu wa vituo na wananchi washirikiane, Cha ajabu Kuna mitaa imekaa kimya. Kwa mtaa nilipo mie hata wakija Leo...
  17. Izzi

    Kwa wabunifu na wadau wa ubunifu: Hudhuria wiki ya ubunifu katika mkoa wako

    Habari wana Jukwaa, Sambamba na UZI HUU niliouleta kuhusu Wiki ya Ubunifu Mkoa wa Njombe, nimeona ni vyema nikaleta masasisho kuhusu matukio kuelekea Wiki ya Ubunifu kitaifa itakayofanyika Dodoma. Hapa nawaletea orodha ya Mikoa ambako kuna matukio yatafanyika, Taasisi zinazohusika kuyaandaa na...
  18. B

    Mtangazaji wa ITV Mabere Makubi usiangaike na ajira ITV, wiki ijayo utapata ajira nje nakamilisha mazungumzo

    Mabere Makubi alifukuzwa na ITV baada ya kuripoti Habari ya maandamano ya machinga Mwanza. Alishinikizwa kwenda Kwenye vyombo vya HABARI kuomba radhi. Akatumwa MTU ITV kwenda kushinikiza afukuzwe kazi. Familia yake ikaanza kuteseka na akaanza kuombaomba huku waliomfanyia huu unyama wakiwa...
  19. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    ZANTEL wamepunguza bundle la Wiki kutoka GB 2.2 kwa Tsh 3,000 hadi GB 1.9 kwa Tsh 3,000

    Daahhh sisi tunaotegemea kujifunza, kufanya marketing na sales kwa njia ya mtandao gharama zimepanda tena. Leo naamka nakuta kifurushi cha Wiki cha ZANTEL ambacho ilikuwa unapewa GB 2.2 kwa Tsh 3,000 (Hapo kilipunguzwa pia kutoka GB 2.5) kwa sasa unapewa GB 1.9 tu. Sasa na haya mambo ya YouTube...
  20. B

    Msaada kuhusu utosi wa mtoto mchanga wa wiki Moja kudunda

    Habarini za usiku wapendwa. Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
Back
Top Bottom