Kwa kweli ukiangalia Jamii Furums, WhattsApp, Instagram, n.k. kati ya post 10 za siasa, 9 ni kuhusu CHADEMA. Ni kama vile CCM imeondoka kabisa kwenye ulingo wa siasa wa Tanzania, na hili jambo linasemwa kuwa linonesha hali halisi ya nguvu za vyama hivi vya siasa hasa CHADEMA ambayo habari zake...
Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla.
Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio.
Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
dar
dar es salaam
dawasa
forums
habari
hatuna
hawana
jamii
jamii forums
jana
kero
kimara
kimara temboni
lini
maji
mbili
tuna
ukosefu
ukosefu wa maji
wakazi
wiki
zaidi ya
zake
Mimi ni mmoja wa madereva wa magari makubwa ya mizigo, pia ni mmoja wa waathirika wa changamoto ya mkwamo wa magari ambayo imetokea Kasumulu eneo la mpakani kati ya Malawi na Tanzania.
Kwa muda wa takriban wiki mbili magari yetu ambayo ambayo yana mizigo ya skrepa kutoka Malawi kwenda Uganda na...
Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una changamoto, na tunapojaribu kufuatilia pengine ikibidi kwenda kwa watu wa system hawaji hata ofisini...
Anonymous (ab1f)
Thread
chuo
dar
dar es salaam
dit
jina
technology
wanafunzi
wiki
Vikundi vya ujasiriamali hatujapokea fedha mpaka Leo tokea tarehe 25-10-2024 mkopo wa asilimia 10 (4-4-2) tatizo nini serikali ya halmashauri haina hizo fedha na kama haina ni kipi kiliwafanya kutuita hiyo tarehe wakati wanajua yakuwa hawana hela
Wametuweka kwenye hali ya sintofahamu nyingi...
Anonymous (3f6a)
Thread
arusha
asilimia
halmashauri
mkopo
mpaka
mwezi
pili
sababu
vikundi
wiki
Kama umewahi kufanya biashara utakubaliana nami kuwa biashara inachanganya sana tarehe za mwisho wa mwezi.
Baada ya hapo zinadumaa kwa mwezi mzima. Biashara zote, kuanzia za umachinga, za bucha hadi za vifaa vya ujenzi huchanganya mwisho wa mwezi kisha zinadumaa kwa karibu mwezi mzima.
Hii...
Habari wakuu.
Baada ya kujitafuta nikanunua ng'ombe wa Kisukuma kama 12 hivi! Basi nimerudi tena kutafuta mwanamke ambaye nitamuoa na tutakaye saidiana kuchunga hawa ng'ombe.
Vigezo ni awe anapumua tu,
Nawasilisha
1. Taarifa aliyoitoa Makonda kwa waandishi wa habari kwenye utoaji wa ripoti yake ya miezi 6. Katika kujibu tuhuma anazorushiwa na Tundu Lissu, Makonda alijikuta akitueleza ni vipi Kuna vikao vilikuwa vinaendelea baina yake na viongozi wa chadema Huku Tundu Lissu wakimuacha kwa makusudi kwa...
Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana msaada wowote.
Anonymous (06bd)
Thread
dawasa
huduma
huduma ya maji
katika
kupata
kutoka
maji
ubungo
vijiji
wiki
Tulishazoea miaka ya nyuma, nafasi zinatangazwa kwa ajili ya wanaotaka kusimamia Uchaguzi.
Leo ni takribani wiki moja kabla ya uchaguzi, hakuna tangazo lolote la Tume Huru ya Uchaguzi kuhusu nafasi za kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Je safari hii Tume ina watu wake tayari?
Ndiyo hivyo, dalali - Dereva tuwasiliane 0734189022
Mzigo unajaa kama ki Toyoace kwa makadirio, vitu vya ndani na pikipiki. vimepakiwa fresh kwenye maboksi zaidi.
Mbeya to Moshi
Tuwasiliane.
Yapo madai kwamba mikutano mwingine ya Chadema inaruhusiwa na Polisi lakini baadaye Polisi wanaizuia kutokana na shinikizo kutoka ndani ya Chadema.
Sasa tunakwenda kwenye huu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: matumaini yangu ni kwamba itakuwa Uchaguzi wa amani.
Huu ni Uchaguzi ambao utaonyesha...
Hata kule ulaya mechi za katikati ya wiki huwa zinachezwa usiku tofauti na za week end ili kuwapa mashabiki wengi kuburudika.Sasa nyinyi mechi za katikati ya wiki mnacheza saa kumi jioni hii mnapelekea kujipunguzia mapato na kuwanyima burudani mashabiki wengi Kutokana na muda huo kuwa...
Taarifa za Uzushi zina athari za moja kwa moja kwenye Siasa za Taifa.
Je, athari gani unazozijua?
Pia soma:Swali la Wiki: Uzushi gani maarufu ambao umetawala mitazamo ya watu kwa muda mrefu?
Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.