Eneo la Mtaa wa Wikichi iliyopo Halmashauri ya Mji, Njombe kuna wachimbaji na wapasuaji wa miamba ya Mawe kwaajili ya Ujenzi kwakweli wamevuka mpaka wanatumia Vilipuzi vinavyotoa sauti kubwa na mitetemo mithili ya Bomu tena ni zaidi ya bomu.
Tatizo wanachimba karibu kabisa na makazi ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.