A
Anonymous
Guest
Eneo la Mtaa wa Wikichi iliyopo Halmashauri ya Mji, Njombe kuna wachimbaji na wapasuaji wa miamba ya Mawe kwaajili ya Ujenzi kwakweli wamevuka mpaka wanatumia Vilipuzi vinavyotoa sauti kubwa na mitetemo mithili ya Bomu tena ni zaidi ya bomu.
Tatizo wanachimba karibu kabisa na makazi ya watu yaani machimbo yako takribani mita 200 tu na wanatumia Vilipuzi vikubwa (Baruti) na vitu kama hivyo bila tahadhari na wakilipua watoto wanakimbia ovyo na kuwapa mishtuko.
Yaan hiyo milipuko ni mikubwa unaweza fikiri kuna wanajeshi wanafanya mazoezi ya kulipua mabom.
Hiyo milio inayotoka huko mpaka nyumba zinatikisika na mpaka tumeanza kuumwa maskio tunaumba Serikali iingilie kati dhidi ya wachimbaji hao wasiojali afya na usalama wetu.