wilaya ya bagamoyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo lashiriki One Stop Centre

    Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Bagamoyo limeshiriki katika zoezi la One Stop Centre linalofanyika katika Kata ya Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali za wananchi. Zoezi hilo limeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Halmashauri ya Mji Bagamoyo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uongozi wa Ofisi ya Uthibiti wa Ubora wa Elimu Wilaya ya Bagamoyo uangaliwe

    Kumekuwa na malalamiko na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na uongozi wa Ofisi ya Uthibiti wa Ubora wa Elimu Wilaya ya Bagamoyo. Baadhi ya wadau wa elimu, hususan kutoka Idara ya Elimu Sekondari, wameeleza kutoridhishwa na baadhi ya mwenendo unaodaiwa kuathiri ufanisi wa utendaji kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Nauza mitiki yangu, ipo shambani jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani

    Habari za wakati huu. Picha nilizoweka hapo ni mitiki yangu ipo kwenye shamba langu jirani na kijiji cha Kibindu wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Natafuta mteja anaefanya shughuli za mazao ya miti au mfanyabiashara wa mazao hayo. Miti yote ina umri sawa ilipandwa mwaka 2007, ina miaka...
  4. W

    JamiiForums Tanzania CCM yawavua Uongozi Wanachama wawili kutokana na kukiuka maadili ya uongozi

    Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 1, 2024 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla ametangaza uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwafuta uongozi wanachama wawili wa chama hicho. Kamati kuu ya CCM imewaondoa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Lindi...
  5. JamiiForums Tanzania DED wa Bagamoyo atoa fursa ya uwekezaj katika ufugaji wa jongoo bahari

    NJOONI MUWEKEZE UFUGAJI WA MAJONGOO - DED BAGAMOYO MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Bw. Shauri Selenda, ametoa fursa kwa wawekezaji nchini kujitokeza kwa wingi kuja kuwekeza katika ufugaji wa Majongoo bahari. Wito huo ameutoa Juni 20 mwaka huu wakati akizungumza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…